Waziri Uingereza atimuliwa kazi kwa tuhuma za ushoga!!!

Naona kwa Arusha na Kilimanjaro,vijana wadogo wadogo wa kiume wanapigwa sana pumbuh kwa kutaka urahisi wa Maisha,na kwa watu wazima wengi Ni kwasababu za masharti ya waganga(kibiashara).
Uko sahihi Mkuu kuna vitu nimeanza Kunotice Nyuma na mpaka sasa naona kama nataka confirm na hiyo research yangu, Watu wenye mafanikio na Wenye mauza uza kwenye biashara zao nyingi lazima ukute Shoga
 
Mbona bongo kuna wabunge na mawaziri wengi mashoga?
Tatizo la huyo jamaa siyo kuwa shoga, mwanzisha thread kashindwa kuelezea. Tatizo ni namna anavyo-approach wenzake. Ni kama unavyosikia mwanaume kafukuzwa kazi kwa sababu ya kuwasumbua kina mama. BTW watanzania wengi hawajui hata kuwa ''basha'' ni ushoga. Wao wanadhani kile kitendo cha kuwa ''bwabwa'' au ''choko'' tu ndiyo ushoga.
 
Uko sahihi Mkuu kuna vitu nimeanza Kunotice Nyuma na mpaka sasa naona kama nataka confirm na hiyo research yangu, Watu wenye mafanikio na Wenye mauza uza kwenye biashara zao nyingi lazima ukute Shoga
Wewe siku si nyingi unaweza kuwa shoga kwa sababu unaamini kabisa ushoga unaongeza chances za kufanikiwa. Hiyo ni imani yako tu na inaweza kuja kukufanya ukatenda mambo ya kishoga.
 
Uko sahihi Mkuu kuna vitu nimeanza Kunotice Nyuma na mpaka sasa naona kama nataka confirm na hiyo research yangu, Watu wenye mafanikio na Wenye mauza uza kwenye biashara zao nyingi lazima ukute Shoga
Endelea kufanya uchunguzi mkuu ukipita conclusion share na sisi.

Yaani kwa pande hizo,matajiri wanafanya Sana hizo mambo mkuu.
 
Inaezekana anajua kuwa munewe wanampakua kisamvu na ndio chanzo cha utajiri wao
 
We sema ulimla kiboga
 
Umeelewa kwa usahihi kabisa, Huyu kilichomponza ni harassment, Amemfanyia mwenzie harassment na pengine huyo mtongozwaji amejisikia kudhalilishwa ndio maana hatua zimechukuliwa kwa mhusika. Hawa jamaa hawawezi kumuachisha mtu kazi kwa kua ni shoga.
 
Huku waliomfukuza Kazi wakisema sababu Ni amefanya 'Gross Misconduct'.
 
basi hilo jamaa litapata soko si kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…