Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msitudanganye sababu ni CCM kuchota fedha za uchaguzi 2020.NHIF inaelemewa na wafanyakazi wa Serikali.
Ili mfuko usielemewe wategemezi waondolewe au mtu atibiwe kutokana na anavyochangia
NHIF ilianzishwa na Mkapa pia, 1999Hii ni moja ya mashirika yaliyoanzishwa bila upembuzi yakinifu.
Serikali ijifunze toka serikali ya Awamu ya Tatu chini ya Benjamin William Mkapa.
Mkapa alianzisha kwa weledi mkubwa TANROADS na TRA ya sasa.
Tunashindwa nini kujifunza na tuna ma PhD yanaozea vichwani mwa kina Mwigulu.
Viwango viko sawa kwa waajiriwa tu. Wanaojilipia wametungiwa vifurushi ambavyo hata ukichaguwa cha juu kabisa huduma utapata chini ya muajiriwa.Dhana ya Mfuko ni kuchangia kabla ya kuugua ili uwe na uhakika wa kutibiwa hata kama huna fedha kwa kutumia kadi ya bima ya Afya.
Pamoja na kuwepo kwa utofauti wa michango viwango vya huduma za matibabu vipo sawa kwa kila mwanachama na hakuna ukomo wa huduma kulinga na kiwango ulichochangia.
Swali ni kwa nini kuna ubaguzi wa kuwafanya wasiojiriwa wapate huduma ndogo kwa malipo makubwa zaidi.Inaonekana una chuki sana na wafanyakazi wa serikali.Kama wewe ukubahatika kuajiriwa usipambane walioajiriwa wakose privilage wanazozipata,badala yake leta michango ya maboresho sio mikwamo.Lengo la serikali ni kuwafikia watu wengi zaidi wawe ndani ya bima alafu wewe unakuja na zana yakuondoa wategemezi kama hizi sio chuki ni nini?
Hivi kama sikosei, mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Bima ya Afya ni Mama Anna Makinda ..... kaazi kwelikweli.Ila mashirika ya umma kwanini kila shirika ni hasara tu ninachojua ni usimamizi mbovu ona TTCL nayo suala la mda
Nani kakwambia hakuna viwangoNHIF ina tatizo.... Moja la tatizo ni kutoa huduma sawa kwa kila mtu..
Waweke viwango vya huduma kutokana na mtu achangiavyo
Sasa ajira tu, si wapoteze mfuko unakata hela zetu wengine miaka miwili hatujatibiwa, je tukisema hela zetu zirudishwe ?Waziri anakosea anapokiri bima ya afya NHIF inakaribia kufa, kwanini wasitafute njia mbadala itakayowawezesha kumudu hayo mazingira ya kuongezeka gharama za matibabu?
😂🤣😅😆😁😄😃😃😀Hapo Ndiyo UtajuaWashakula hela wanasingizia magongwa yasiyoambukizwa
Phd za mchongo haziwez leta mafanikio kwenye jamiiHii ni moja ya mashirika yaliyoanzishwa bila upembuzi yakinifu.
Serikali ijifunze toka serikali ya Awamu ya Tatu chini ya Benjamin William Mkapa.
Mkapa alianzisha kwa weledi mkubwa TANROADS na TRA ya sasa.
Tunashindwa nini kujifunza na tuna ma PhD yanaozea vichwani mwa kina Mwigulu.
Tunazika hapa hapa manspaa kusafirisha ni gharama nyingineIkifa tunazika au tunasafirisha? Si kwenye ilani tulikuwa tunataka kutoa bima kwa kila raia?[emoji205]
Ummy kazidi lopolopo, siasa nyingiii,Wakati mikakati ya kuboresha huduma za afya ikiendelea kuwekwa, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amebainisha dalili za kufa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutokana na kulemewa na madeni ya matibabu ya wanachama wake.
Akifungua mkutano wa siku tano wa kikanda wa kuwajengea uwezo kuhusu ugonjwa wa kipindupindu jijini hapa jana, Waziri Ummy alitaja magonjwa yasiyoambukiza ndiyo sababu kuu ya gharama kubwa.
“Kuongeza uelewa ni jambo la msingi, kwa mfano bima yetu ya afya (NHIF) inakaribia kufa kwa kuwa umeelemewa na ongezeko la madai yanayohusu NCD (magonjwa yasiyoambukiza),” alionya Ummy.
Magonjwa yasiyoambukiza yanajumuisha moyo, saratani, mfumo wa upumuaji na kisukari yanayochangia asilimia 71 ya vifo vinavyotokea duniani ambapo ni sawa na watu milioni 41 kila mwaka.
Akisisitiza kuhusu uelewa wa dalili za magonjwa na jinsi ya kujikinga nayo, Waziri Ummy alisema “fanyeni kuwa jukumu la msingi ili kuzuia kuenea kwa maambukizi, najua tutafanikiwa kupambana na kipindupindu katika nchi zetu.”
Kutokana na hali hiyo, waziri huyo ameiagiza NHIF kuachana na utaratibu iliouanzisha hivi karibuni wa kudhibiti idadi ya wagonjwa wanaohudhuria vituo vya afya.
Taarifa ya NHIF
Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 11 jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Bernard Konga alisema wametumia Sh99.09 bilioni mwaka 2021/22 kulipia magonjwa yasiyoambukiza.
Alisema kiasi hicho ni sawa na asilimia 18 ya fedha zote zilizolipwa huku dawa za saratani na huduma ya kusafishwa figo (dialysis) zikitumia fedha nyingi zaidi. Alisema magonjwa yasiyoambukiza ni mzigo mkubwa kwa mfuko huo.
“Dawa za saratani zinaila zaidi NHIF. Haya ni magonjwa yanayotokana na mtindo wa maisha, kuna huduma ya kusafishwa damu kwa wagonjwa wa figo, tunatumia Sh35.4 bilioni kwa mwaka,” alisema.
Konga, alisema mpaka sasa mfuko huo una wanachama 4,831,233 sawa na asilimia nane ya Watanzania wote huku asilimia sita wakihudumiwa na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) huduma nyingine za bima zikihudumia asilimia moja. Hata hivyo, alisema kuna udanganyifu mwingi unaofanywa na watoa huduma hali inayouumiza mfuko huo lakini wanapambana na hali hiyo.
“Udanganyifu upo na tumekuwa tukichukua hatua, tutasitisha mikataba itakayoonekana inahatarisha uendelevu wa mfuko. Tumekuwa tukichukua hatua ikiwamo kupiga faini, kuwaripoti wahusika katika mabaraza yao kuhakikisha tumelipia huduma halali kulingana na miongozo,” alisema Konga.
Taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mashirika ya umma ya Machi 2022, inaonyesha NHIF ilipata hasara ya Sh109.71 bilioni.
Chanzo: Mwananchi
Kwa kweli bima ina hela huku hospital kitengo cha pharmacy tunapata mgao wetu safiii kila mwezWashakula hela wanasingizia magongwa yasiyoambukizwa
Kwan bima wameanzisha au wame copy??Alianzisha au alicopy na kupaste kutoka nchi nyingine
Tulia kimya tulambe asali weweMwananchi apewe ruhusa kuchagua bima ya afya. Ataingia makubaliano yeye binafsi ie makato, coverage. NHIF inaendeshwa kisiasa zaidi. Bunge plus wizara are to blame. This was pointed out by the CAG. What action was taken???