FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Unaongea kujifurahisha sio? Hahah, anyway, tukaze tu.., mi nimeshauona mwanga, na nitaufikia...Sitamani kuwa tajiri ila kuwa na pesa za kukidhi mambo ya msingi maana hata nikiwa na mapesa mengi mwisho wa siku sijaona kama ni big deal sana hasa Kwa mtu kama mie ambae sinywi pombe sitoweza kufaidi hizo pesa nyingi..
Uzuri wa Jk Kwa kuwa ana pesa ila ana majukumu ya Kimataifa nk so anapata pa ku spend na kupata credit zaidi..
Na pia raha ya hayo mapesa uwe unatumia Kwa wahitaji nk kama unavyoona Mo anafanya ndio inakuongezea value ila ukikaa nayo tuu unarundika hakuna thamani ya maisha utaiona..
kwani umeambiwa kaizindua leo?Kuwa na nyumba US wakati una miaka 80 ina faida gani? Au kwa faoda ya Rizwani? Sii angejenga hata hoteli hapa tz watu wakapata kazi ?
Kwani unajua wajukuu zake wanaishi wapi?...Marehemu Baba wa Taifa Nyerere, alikuwa na Nyumba Marekani ??...[emoji57][emoji848]
HUYU BENJA KAJIOZEA ZAKE HUKO MTWARA HALAFU KAACHA MAJUMBA YA KIFAHARI UGHAIBUNI.View attachment 2565556
The Benjamin hotel New york
Yeye alipenda madaraka tu,ila hakupenda kujilimbikizia mali.Sasa Nyerere si ni mwanakijiji na mjima yule,yeye atakula na kulala Kijamaa 😀😀
Harafu sio kujifurahisha inategemea wewe unaichukuliaje maisha na ni mambo gani yanakupa furaha..Unaongea kujifurahisha sio? Hahah, anyway, tukaze tu.., mi nimeshauona mwanga, na nitaufikia...
Moja ya sifa kubwa ya sisi Masikini ni kuwa na kukariri data za namna hii …hata Mimi nawajua Matajiri wengi na utajiri wao kuliko wanavyojijuabasi siku ile kapewa nyumba ya serikali na Magufuli angesema jamani nimekuwa waziri na rais wenu miaka kedekede, nishakusanya mijumba ya kutosha dunia nzima, hizo hela za kunijengea lijumba lingine nendeni kanunueni mashine za dialysis pelekeni hospitali za wilaya...
Jana kafa mwamba mmoja wa IT, Mzee Gordon Moore, aliyegundua semiconductors za INTEL zinazo run computers...
Kafa ana utajiri wa dola bilioni 7, bilioni 8 nyingine kaziacha kwenye mfuko wa misaada, nyingine bilioni 5 alishagawa.
Mswahili angekufa nazo 20 mfukoni.
Ndio ulevi na furaha yake ilikuwa hapo.Yeye alipenda madaraka tu,ila hakupenda kujilimbikizia mali.
Nyerere ndio Katiba? taja section gani ya kwny Katiba imevunjwa ?Ulisikia Nyerere ana nyumba nje ya nchi?
Yap maana uwezo wa kujilimbikizia mali alikuwa nao,labda hakutaka kuacha ugomvi wa mirathi kwa watoto wake.Ndio ulevi na furaha yake ilikuwa hapo.
Mbona Mbowe ni Tajiri japo CCM bado inatawala? acha kutafuta visingizioKwa Mambo ya hovyo aliyoyafanya na kusababisha hadi leo sisi ni maskini kwa kutuachia CCM maksudi bora tu angemiliki tu makasri hata huko Uswiz.
Hakuna,Kwani kuna ubaya jamani ?Hata akitaka awe na nyumba kila jiji kubwa dunia nzima. No sweat mzee.Nyerere ndio Katiba? taja section gani ya kwny Katiba imevunjwa ?
Haya wewe ulipaswa kushehekea sema ndio hivyo tena tunasubiria Katiba Mpya tuwe matajiri nasi tuwe tunakata keki hadi kwny kumbukumbu za kuzaliwa Dada wa kaziMwanaume wa dsm anasherehekea birthday yake
Khaaaaaah,na kasri kule Kawe beachNa ana kijiji Msoga
Kwamba hizo hotel ulizoweka juu hapo ni zake 😄Hivi Benjamin mwenyewe mnamfahamu au mpo mpo tu
Km watoto wake watu wengi wamewajua msibani, ndo aandike jina lake kwa Mali zake tena ughaibuni??Kwamba hizo hotel ulizoweka juu hapo ni zake [emoji1]
Yule mwamba hata kama ingekuwa ni zake sidhani kama angeruhusu ziandikwe kwa jina lake
Kwani uzalendo ni kutokuwa na Nyumba? kuna watu bado wanaota miiko ya azimio la ArushaKwann awe na nyumba huko huku akituhimiza uzalendo
Hapibesidei kwa waziri wetu.Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula mezani. Serikali haina shamba
View attachment 2565319
View attachment 2565320
View attachment 2565321
Wanasema na Dubai Ana apartment, hii story nilisoma mwaka jana nadhani