basi siku ile kapewa nyumba ya serikali na Magufuli angesema jamani nimekuwa waziri na rais wenu miaka kedekede, nishakusanya mijumba ya kutosha dunia nzima, hizo hela za kunijengea lijumba lingine nendeni kanunueni mashine za dialysis pelekeni hospitali za wilaya...
Jana kafa mwamba mmoja wa IT, Mzee Gordon Moore, aliyegundua semiconductors za INTEL zinazo run computers...
Kafa ana utajiri wa dola bilioni 7, bilioni 8 nyingine kaziacha kwenye mfuko wa misaada, nyingine bilioni 5 alishagawa.
Mswahili angekufa nazo 20 mfukoni.