Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Hata sio mngoni ana asili ya uchaga flani ila kakulia singida
Ooooh kumbe, mie niliona mahali wanazungumzia hilo kuwa eti mama Gwajima ni mngoni kutoka songea. Nilishituka pia maan mbona hana hata haiba ya kingoni.
 
Nilikuwa simjui Mr wake

Ila kwa mwonekano jamaa anakaa tu hamna namna

Hapa kinahitajika Chama cha Wababa Tanzania (CHAWABATA)

Jamaa inaonesha kabisa kawekwa mtu kati
Huyu mwamb mbona kama Uncle Shamte aliyechangamka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha umemaliza😁
 
Aisee aibu nimeona mimi, sijui kwanini hata!

Cha msingi hayo matunda na iyo alkasusu ya Nimri waliyokunywa hapo vitababisha jamaa mnara utasoma 5G+ atashuhulika kweri-kweri.
Al- Kasusu ya Nimr sio 😁😁😁 sema mama yuko vizuri kuanzia kifuani kushuka chini!

Lets forget about the Reception 😁
 
Kwani mnataka wanawake wapole kama mke wa nabii Tito? Wanaume acheni uoga kazini na nyumbani kuna utofauti mkubwa, msioe wasomi oeni ngumbalu wapo kibao, mmewe Dr gwajima kaoa chuma mpeni hongera zake na pongezi zake![emoji23][emoji23][emoji23]
Hiko chuma kweli, maana sio kwa uropokaji ule mbele ya ma Camera πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…