fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
yupo na husen bolt wake pengine picha imepigwa na droneWatanzania hamfai[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yupo na husen bolt wake pengine picha imepigwa na droneWatanzania hamfai[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]yupo na husen bolt wake pengine picha imepigwa na drone
EboooooCorona tuachie mapafu yetu
Ooooh kumbe, mie niliona mahali wanazungumzia hilo kuwa eti mama Gwajima ni mngoni kutoka songea. Nilishituka pia maan mbona hana hata haiba ya kingoni.Hata sio mngoni ana asili ya uchaga flani ila kakulia singida
Yupo na baby wake😂😂😂😂😂😂😂
Hahaha Una nini lakini fundi25😂😂😂😂😂
Ana wambia hakuna sponsor wa kumuibia my wake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Yupo na baby wake
Wewe hufai ujue😂😂😂😂😂😂Ana wambia hakuna sponsor wa kumuibia my wake!
ne niyiri pa jiji la wazaramoNene nivi kumbwani mlongo.
Huyu mwamb mbona kama Uncle Shamte aliyechangamka 😂😂😂Nilikuwa simjui Mr wake
Ila kwa mwonekano jamaa anakaa tu hamna namna
Hapa kinahitajika Chama cha Wababa Tanzania (CHAWABATA)
Jamaa inaonesha kabisa kawekwa mtu kati
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana wambia hakuna sponsor wa kumuibia my wake!
Hahaha umemaliza😁Nimezitama hizo picha na kugundua haya:
1. Lengo sio kufanya mazoezi, lengo hapo ni kupiga picha. It is a staged photo.
2. Muonekano unaonyesha kuwa sio watu wa mazoezi.
3. Body language inaonyesha hawana ule muunganiko wa kimapenzi baina ya mke na mume au mtu na rafiki yake wa
karibu. Hakuna chemistry baina yao.
4. Mama inaonekana anamburuza mwenzake.
HITIMISHO LANGU.
Uhusiano wao huenda una shida kubwa mahali fulani na hili ni jaribio la kutafuta kufunika shida isije ikaonekana.
USHAURI WANGU KWA DR. GWAJIMA
-Achana kabisa na mtindo wa maisha yako binafsi kuyaleta mbele ya kamera, gharama yake ni kubwa huko mbele ya safari.
-Ukiamua kuwa mwanasiasa basi jifunze kuishi kama mwanasiasa. Usitamani kuishi kama mtu maarufu wakati bado unajifunza kuwa mwanasiasa.
Na nene nivi bahapa mlongo.ne niyiri pa jiji la wazaramo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana wambia hakuna sponsor wa kumuibia my wake!
Al- Kasusu ya Nimr sio 😁😁😁 sema mama yuko vizuri kuanzia kifuani kushuka chini!Aisee aibu nimeona mimi, sijui kwanini hata!
Cha msingi hayo matunda na iyo alkasusu ya Nimri waliyokunywa hapo vitababisha jamaa mnara utasoma 5G+ atashuhulika kweri-kweri.
hiyo reception naifunika na picha Rihanna fresh kabisa.Al- Kasusu ya Nimr sio 😁😁😁 sema mama yuko vizuri kuanzia kifuani kushuka chini!
Lets forget about the Reception 😁
Kikao ni lazima na tuzo ya heshima tumpe bwana Gwajiboy 😂Bila shaka kesho jioni wanaume tutakuwa na kikao cha kujadili huu uvumilivu wa mwamba na tutamkabidhi tuzo ya ushujaa.
Hiko chuma kweli, maana sio kwa uropokaji ule mbele ya ma Camera 😂😂😂Kwani mnataka wanawake wapole kama mke wa nabii Tito? Wanaume acheni uoga kazini na nyumbani kuna utofauti mkubwa, msioe wasomi oeni ngumbalu wapo kibao, mmewe Dr gwajima kaoa chuma mpeni hongera zake na pongezi zake![emoji23][emoji23][emoji23]