Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Kwani mnataka wanawake wapole kama mke wa nabii Tito? Wanaume acheni uoga kazini na nyumbani kuna utofauti mkubwa, msioe wasomi oeni ngumbalu wapo kibao, mmewe Dr gwajima kaoa chuma mpeni hongera zake na pongezi zake![emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu unawasumbua Hawa, kusema ndoa ya mwenzao ukute wenyewe wamewekwa mtu Kati na Wake zao
 
Wabongo mna matatizo sana halafu ushahidi tukiwaomba mnalialia.

Kwanini usingeweka dhana ya kuwa hao wote si wazuri katika kuigiza na badala yake mnajipa mizigo msiyoweza kuibeba ?
 
Kwani mnataka wanawake wapole kama mke wa nabii Tito? Wanaume acheni uoga kazini na nyumbani kuna utofauti mkubwa, msioe wasomi oeni ngumbalu wapo kibao, mmewe Dr gwajima kaoa chuma mpeni hongera zake na pongezi zake![emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi niwe mkweli sijawahi kuona Wanawake wajinga kama hawa wanao jiita wasomi, isipokuwa wachache sana waliorehemewa na Mola muumba.

Ndiyo maana sisi hatuoi wanao jiita wasomi.
 
Pengo la Ummy Mwalimu linajidhihirisha dhahiri!
 
Kwani aliyemteua yeye mwenyewe yukoje??
 
Mimi niwe mkweli sijawahi kuona Wanawake wajinga kama hawa wanao jiita wasomi, isipokuwa wachache sana waliorehemewa na Mola muumba.

Ndiyo maana sisi hatuoi wanao jiita wasomi.
Tatizo mnakariri ukiona huyu anashida basi wote hapana, wanaume niwasumbufu sana tena hawa wasomi ni mbuzi tosha hutumia usomi wao kuwaburuza wake zao sema wanawake huamua kuvumilia tu ,
 
Halafu nyie jamii ya Mitandaoni huwa mnaanzisha story za hovyo hazina evidence yoyote.

Hivi unajua Vetting ya Waziri inavyofanywa. ? Vetting ya level hizo huwa ni za kufa mtu kwa wewe unaweza hata kuukataa uwaziri.

Wakati mwingine unatongozwa na kutiwa kama sehemu ya vetting. Kama Wewe ni mwanaume basi mke wako anaweza kutokewa na akiingia kwenye laini watu wanakula kama sehemu ya vetting . Wewe, unazungumza vetting ya kujua Kama akili yake ipo sawa au lah haikufanyika vyema , yaani Wewe inabidi tukuweke kwenye mental institution, akili yako haipo sawa.

Mlishawahi kusema vetting ya JPM haikufanyika vyema, hivyo sio mtanzania. Wengi wanaoandika huo upuuzi ni watu ambao hawajawahi hata kupitia utumishi wa Umma.
Wewe tukikufanyia vetting, tutajua hata kama ulishawahi kuingiliwa kinyume na maumbile, tunajua, seuze hilo la Afya ya akili .

You are not serious
 
Acha kudanganya watu hapa wewe. Vetting zinafanyika lakini siyo kwa chumvi na mbwembwe ulizotiaa hapa.
 
Yaani ulivyoandika ni kama vile hio ni vetting ya Director wa CIA kumbe unaongelea vetting hizi hizi zilizowapa uwaziri wakina Kingwangala wanaoshinda mitandaoni wakiomba mikopo ya pikipiki kwa MO na kutukanana na watu huko Twitter.
 
Huyu baba mvumilivu sana, anyway, tufanye hayo na tutakuwa salama, bila kusahau mazoezi, hakuna Corona atatia mguu nchini Tanzania. Chanjo tunawaachia manyani na mapanya ya majaribio
...Mkuu Francis, hebu jaza nyama kidogo hapo pa sentesi ya 'Huyu Baba anavumilia sana'!
 
Yaani ulivyoandika ni kama vile hio ni vetting ya Director wa CIA kumbe unaongelea vetting hizi hizi zilizowapa uwaziri wakina Kingwangala wanaoshinda mitandaoni wakiomba mikopo ya pikipiki kwa MO na kutukanana na watu huko Twitter.

Kila level ina vetting yake. Ikiwa leo mimi ni Afisa, nitafanyiwa vetting, ikiwa leo nataka kupewa ukurugenzi, nitafanyiwa vetting kubwa zaidi, ikiwa na kuingizwa kwenye temptation za hela, mapenzi na nk.

Wakati mwingine wanaweza taka jua, mke wako ana mental strength kiasi gani , so wanakuja ma HB wanamtokea, na akiwa na akili ndogo akiingia analiwa kama kawa, wanazidi kukujua, hizo ni Level za juu.

Vetting za Waziri huwa ni kubwa zaidi no matter what , sasa issue ya medical ni ndogo sana kujua na afya yake kwa ujumla. Huwezi kusema Waziri hakufanyiwa vetting vizuri, ni kosa na ukosefu wa akili timamu. Eti anatumia dawa, yaani that guy is not serious. Waziri ni muwakilishi wa rais, anaingia baraza la mawaziri huyo mama then unasema hakufanyiwa vetting vyema
 
Huyu mama siku zake zinahesabika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…