Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

Yaani ulivyoandika ni kama vile hio ni vetting ya Director wa CIA kumbe unaongelea vetting hizi hizi zilizowapa uwaziri wakina Kingwangala wanaoshinda mitandaoni wakiomba mikopo ya pikipiki kwa MO na kutukanana na watu huko Twitter.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo kipi ni bora sasa,mbona watanzania hamueleweki mnataka nini??

Hivi hizo familia zenu mnaziendeshaje kwa kweli??
 
Halafu nyie jamii ya Mitandaoni huwa mnaanzisha story za hovyo hazina evidence yoyote...

Kwani ukikaa kimya utapoteza nini badala ya kuanika ujinga wako? Hivi majuzi kuna waziri alishindwa kuapa na rais akampiga chini pale pale, kisha akakazia kuwa ana mashaka hata na elimu yake. Kama vetting inafanyika kama unavyosema, iweje rais aseme ana mashaka na elimu ya mteuliwa?
 
Kila level ina vetting yake. Ikiwa leo mimi ni Afisa, nitafanyiwa vetting, ikiwa leo nataka kupewa ukurugenzi, nitafanyiwa vetting kubwa zaidi, ikiwa na kuingizwa kwenye temptation za hela, mapenzi na nk...
Peleka ujinga mbali.
 
nilitegemea mngemchallange yeye wazir na wizara yake,Cha ajabu mnamjadili mzee wa watu na ndoa yake...akipita humu akaona yanayoendelea,atakuwa disappointed Sana.

Hayo aliyojirekodi nayo ndio majukumu ya wizara yake?
 
Kwa hiyo kipi ni bora sasa,mbona watanzania hamueleweki mnataka nini??

Hivi hizo familia zenu mnaziendeshaje kwa kweli??
Tulia mh. Gwajima! Punguza kiki na kupenda kuuza sura muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…