Wake zao wabovu hawana elimu wala mbele na nyuma hata wanaume wanaomponda wana cv mbaya tu hawajamkuta huyo mother kabisaNa wao watuonyeshe wake zao tuone magaga na kilimanjaro zao pamoja midela yao, wivu tu unawasmbua.
🤣🤣🤣🤣 Namuomba radhi Bibi afya..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cc muombe radhi bibi wa Afya lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee daddie bhana lolHuyo ni mumewe kweli au kaokota tu lijamaa huko wafanye nalo maigizo?
They look very uncomfortable!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyu mwanaume nae mmmmh,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Namuomba radhi Bibi afya..
Utakachogundua haraka ni kuwa mama anaijua vyema wizara ya afya na mapungufu yake ya muda mrefu. Bila shaka amepania kuondoa mapungufu hayo aliyokuwa anabaniwa nyuma kiwadhifa. Lakin kitakachokuduwaza ni utakapogundua ni kama hakuwa na ndoto za cheo alichonacho. Mipasho mingi. Ubabe mwingi. Kujiamin kwingi. Mbwembwe nyingi. Dharau nyingi kwa afisa waandamiz wenzake. Ni kama amelewa hali aliyomo mapema. Amejiamin na kujiaminisha mno. Angekuwa mama yang ningemshaur ajiboreshe kwenye lugha ya mawasiliano kwa ngaz yake. Aishi na kutenda kama wazir wa afya. Tena Daktari. Apunguze mbwembwe za kisiasa aweze kuaminika. Dr kubehave kama comedian si jambo zuri.bado sijaona mapungufu yake ,labda ngoja nianze kumfuatilia kwa ukaribu.naona watu Wana mng'akia kiasi flani.
Mbona unachanganya sasa mara wizara ya Elimu, mara wizara ya Afya, sasa tushike lipi?Utakachogundua haraka ni kuwa mama anaijua vyema wizara ya elim na mapungufu yake ya muda mrefu. Bila shaka amepania kuondoa mapungufu hayo aliyokuwa anabaniwa nyuma kiwadhifa. Lakin kitakachokuduwaza ni utakapogundua ni kama hakuwa na ndoto za cheo alichonacho. Mipasho mingi. Ubabe mwingi. Kujiamin kwingi. Mbwembwe nyingi. Dharau nyingi kwa afisa waandamiz wenzake. Ni kama amelewa hali aliyomo mapema. Amejiamin na kujiaminisha mno. Angekuwa mama yang ningemshaur ajiboreshe kwenye lugha ya mawasiliano kwa ngaz yake. Aishi na kutenda kama wazir wa afya. Tena Daktari. Apunguze mbwembwe za kisiasa aweze kuaminika. Dr kubehave kama comedian si jambo zuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vichaa hawa
Kwahiyo una taka kusema ndie kamwambia twende tuka kimbie tuwa komeshe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siyo tukakimbie twende nikukimbize kidogo
Kwahiyo una taka kusema ndie kamwambia twende tuka kimbie tuwa komeshe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]siyo tukakimbie twende nikukimbize kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akamuitia na wapiga picha a kamwambia na style ya kusimama[emoji23]