Migato nvaningi
Senior Member
- Sep 7, 2017
- 113
- 99
Ungejua changamoto tunazokumbana nazo wakulima, usingeleta huu upuuzi wako hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo wanasema mkulima afaidike ili msimu ujao kila mtu ashike jembe akalime,, kwa ufupi wakulima wa mahindi mwaka huu wamepiga kazi kwerikweri😁Akiuza kwa bei ghali halafu akanunua mahitaji kwa bei kubwa atapata faida Gani!!?
UNAFIKIRI uchumi wetu utakuaje kwa style Hiyo!!?
Maoni yako ni economic oriented au ni politically perspective!?
Hapa tatizo ni TBS, wanatakiwa watoe semina za kuboresha uzalishaji wa sembe na packaging nzuri kama zile za kenya,, sio mtu unafunga sembe kwenye sulphet halafu utegemee kufanya exportingNi kweli mnanufaika kwa bei hiyo ila mngepambana muwezeshwe muuze unga badala ya mahindi yan hapo ndio mngepiga pesa kinyama tena ingewezekana hata mkiuzia hapa hapa TZ
Mlisaidia kulima Hadi mzuieSisi wanaccm hautuhusu, ninampongeza mama kwa kudhibiti mfumuko wa bei.
Uo ni ujinga wakeNaona hapa kuna ndezi zinashangilia vyakula kupanda bei, eti wakulima nao wanufaike. Hawa nguruwe [emoji200] hawajui kuwa mkulima huwa hacheleweshi kuuza mazao, na sasa kashauza kila kitu. Na ikitokea taifa au shehemu wanakumbwa na njaa wanaokufa njaa siku zote ni haohao wakulima. Acheni huo upuuzi
Kabla ya kuleta hii habari, ulitakiwa utueleze kwanza gharama ya kilimo zikoje kwa Sasa.Mkuu
Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje!
Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/= tena vijijini kabisa hali sio nzuri!
Naamini utasoma na hatua zitachukuliwa!
Ni kweli wanapga kelele tu sijui nan akawalimie.Uk
Uko sahihi Sana mkuu!
Watanzania wanataka mahindi yashuke bei ili wale washibe,wazaliane!
Yakipanda mahindi kelele nyingiii mbona mchele bei juu Sana na hakuna mikelele?!
Watakuambao Toka nawew kalime chakula chako alfu uje upangiwe BeiMkuu
Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje!
Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/= tena vijijini kabisa hali sio nzuri!
Naamini utasoma na hatua zitachukuliwa!
99.99999% ya wakulima washauza mazao yao miezi mingi iliyopita.Mleta mada akili huna
Kama mfumuko wa bei za vyakula unaona mkubwa rudi kijijini ukalime chakula chako
Wacha wakulima tupate faida ya jasho letu
Uongo99.99999% ya wakulima washauza mazao yao miezi mingi iliyopita.
Unapozungumzia faida kwa wakulima nakuona wewe ndio huna akili.
Tatizo wanazeekea uswahilini kama vingunguti hawajui uko duniani nini kinaendeleaKuna watu wanafikira za kizamani Sana mkuu, wanadikiria wakulima wa 70s
Wewe kama ni mwalimu, unalipwa mshahara, husisha akili yako kidogo tu kujua kwamba, mshahra wa mkulima na mazao yake! Kama mkulima asipo uza mazao yake kwa ‘bei ghali’, na kwa Hali hii ya uchumi, atakuwa na njaa, kwa hiyo tumia akili zaidi, ya hiyo, mwalimu!Mkuu
Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje!
Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/= tena vijijini kabisa hali sio nzuri!
Naamini utasoma na hatua zitachukuliwa!
Hata Wakenya ni watu, tuache kuwazia mahindi yetu, tukulishe bure Wewe dogii kwa sababu gani?!Naona hapa kuna ndezi zinashangilia vyakula kupanda bei, eti wakulima nao wanufaike. Hawa nguruwe [emoji200] hawajui kuwa mkulima huwa hacheleweshi kuuza mazao, na sasa kashauza kila kitu. Na ikitokea taifa au shehemu wanakumbwa na njaa wanaokufa njaa siku zote ni haohao wakulima. Acheni huo upuuzi
Kuna takiwa kufanyike price regulations SIO mfumuko uzidi beyond ya hapo,Wewe kama ni mwalimu, unalipwa mshahara, husisha akili yako kidogo tu kujua kwamba, mshahra wa mkulima na mazao yake! Kama mkulima asipo uza mazao yake kwa ‘bei ghali’, na kwa Hali hii ya uchumi, atakuwa na njaa, kwa hiyo tumia akili zaidi, ya hiyo, mwalimu!
Wapumbavu wanaishi Dar es Salaam na mijini wanataka wanunue unga kilo Tsh 1,000 milele. Hawajui mkulima anavyohangaika kufyeka pori, kulima na kupalilia. Hawajui bei ya pembejeo eti leo wanalalamika mahindi na Michele vinakwenda nje ya mipaka ya Tanzania.Mkuu
Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje!
Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/= tena vijijini kabisa hali sio nzuri!
Kufunga mipaka walau hata KWA muda mfupi itasaidia price regulatory mechanism Ili bei ya chakula isije ikapaa Sana Hadi hapo January,mkiacha hivi hivi watakao KUWA na uwezo wa kukinunua ni wachache Sana na hao wakulima wanafurahia bei kubwa watashindwa kuja kukinunua chakula na watalia njaa tena wengi Sana tu na kuilaumu serikali bei zimepanda,ukiongeza na anguko la uchumi wa Dunia kutokana na vita pia ongezeko la bei la bidhaa nyingine litafanya Maisha ya huyo mkulima maskini kuwa magumu mno!!
Ikumbukwe njaa huangusha wafalme tunapaswa kuheshimu na kuchukua tahadhari zote.
Mungu ibariki Tanzania
Naamini utasoma na hatua zitachukuliwa!
Sisi wanaccm hautuhusu, ninampongeza mama kwa kudhibiti mfumuko wa bei.
Mungu ibariki TanzaniaMkuu