Safi kabisaCentral African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament.
This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts. View attachment 3194032
Nchi maskini hii jamani.Yaani pale Bangui mji mkuu utafikiri kwetu Simiyu.Mji haujaendelea barabara ya lami moja tu.Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament.
This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts. View attachment 3194032
Kisiasa Ni hivi karibuni na Itakua Tanzania ya Magufuli na Samia ndiyo umaskini umepungua.Unajua kuna muda unaweza kuamini zilikuwa ni propaganda kwamba Tanzania ilikuwa ni nchi ya tatu kwa umaskini duniani. Kuna hizo nchi Central Africa, Burundi, Ivory Coast mbona mazingira yao hayaendani na Tanzania, au Tanzania imeendelea hivi karibuni!
Sina uhakika kuhusu Central Africa na Burundi, lakini usifananishe Cote D’Ivoire na Tanzania.Unajua kuna muda unaweza kuamini zilikuwa ni propaganda kwamba Tanzania ilikuwa ni nchi ya tatu kwa umaskini duniani. Kuna hizo nchi Central Africa, Burundi, Ivory Coast mbona mazingira yao hayaendani na Tanzania, au Tanzania imeendelea hivi karibuni!
Hizo HUWA ni propaganda tu....Unajua kuna muda unaweza kuamini zilikuwa ni propaganda kwamba Tanzania ilikuwa ni nchi ya tatu kwa umaskini duniani. Kuna hizo nchi Central Africa, Burundi, Ivory Coast mbona mazingira yao hayaendani na Tanzania, au Tanzania imeendelea hivi karibuni!
Umeshafika Ivory Coast au umeandika tu,Unajua kuna muda unaweza kuamini zilikuwa ni propaganda kwamba Tanzania ilikuwa ni nchi ya tatu kwa umaskini duniani. Kuna hizo nchi Central Africa, Burundi, Ivory Coast mbona mazingira yao hayaendani na Tanzania, au Tanzania imeendelea hivi karibuni!
Simiyu pazuri sanaNchi maskini hii jamani.Yaani pale Bangui mji mkuu utafikiri kwetu Simiyu.Mji haujaendelea barabara ya lami moja tu.
Niliiona Abidjan kwenye TV ni balaa nilijua ulaya, halafu Liberia kapata uhuru miaka 200 iliyopita?Sina uhakika kuhusu Central Africa na Burundi, lakini usifananishe Cote D’Ivoire na Tanzania.
Unayoiita Ivory Coast hasa Jiji kama Abidjan ni moto wa kuotea mbali Mkuu.
Kwenye list yako pengine utaje Liberia nchi ambayo wamepata uhuru takriban miaka 200 iliyopita na ni ndogo kijiografia lakini wapo nyuma sana kimaendeleo.
Mkuu unaujua uchumi wa Ivory Coast vizuri au unaongozwa tu na uzalendo wa kishamba kuiweka hiyo nchi kwenye list yako?Unajua kuna muda unaweza kuamini zilikuwa ni propaganda kwamba Tanzania ilikuwa ni nchi ya tatu kwa umaskini duniani. Kuna hizo nchi Central Africa, Burundi, Ivory Coast mbona mazingira yao hayaendani na Tanzania, au Tanzania imeendelea hivi karibuni!
Wakati huku vipodozi na mikorogo inaingia 2000s Ivory coast 80sMkuu unaujua uchumi wa Ivory Coast vizuri au unaongozwa tu na uzalendo wa kishamba kuiweka hiyo nchi kwenye list yako?
Mkuu komaa na Ashura wakoAshura U.T.I sugu ananisumbua sana pamoja na kumhudumia kote kule. Ngoja niende Bangui nikajipatie demu ambaye ataniona kama Mfame wa Saudia.
Mkuu Ivory Coast unaifahamu kweli au umesimuliwa tu?Unajua kuna muda unaweza kuamini zilikuwa ni propaganda kwamba Tanzania ilikuwa ni nchi ya tatu kwa umaskini duniani. Kuna hizo nchi Central Africa, Burundi, Ivory Coast mbona mazingira yao hayaendani na Tanzania, au Tanzania imeendelea hivi karibuni!
Hii itakuwa kweli aiseeee. Au ndo maana AZIZ KI akaona mademu wa Bongo wako sawa na wale mabikra 72 tulioahidiwa? 😆😂🤣Mkuu komaa na Ashura wako
mademu wa Bangui U.T.I zao kupona mpaka umeze box 18 za Azuma maana ni wachafu balaa
Abidjan wako vizuri na wanaendelea kuboresha miundombinu. Wako na mradi wa kujenga jengo refu zaidi Afrika ya Magharibi.Niliiona Abidjan kwenye TV ni balaa nilijua ulaya, halafu Liberia kapata uhuru miaka 200 iliyopita?