Waziri wa Michezo wa Afrika ya Kati akimkabidhi Kocha wa Timu yao Taifa zawadi ya Pikipiki baada ya kufuzu CHAN 2025

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament.

This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
IMG_4838.jpeg
 
Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament.

This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts. View attachment 3194032
Nchi maskini hii jamani.Yaani pale Bangui mji mkuu utafikiri kwetu Simiyu.Mji haujaendelea barabara ya lami moja tu.
 
Unajua kuna muda unaweza kuamini zilikuwa ni propaganda kwamba Tanzania ilikuwa ni nchi ya tatu kwa umaskini duniani. Kuna hizo nchi Central Africa, Burundi, Ivory Coast mbona mazingira yao hayaendani na Tanzania, au Tanzania imeendelea hivi karibuni!
 
Kisiasa Ni hivi karibuni na Itakua Tanzania ya Magufuli na Samia ndiyo umaskini umepungua.
 
Unajua kuna muda unaweza kuamini zilikuwa ni propaganda kwamba Tanzania ilikuwa ni nchi ya tatu kwa umaskini duniani. Kuna hizo nchi Central Africa, Burundi, Ivory Coast mbona mazingira yao hayaendani na Tanzania, au Tanzania imeendelea hivi karibuni!
Sina uhakika kuhusu Central Africa na Burundi, lakini usifananishe Cote D’Ivoire na Tanzania.

Unayoiita Ivory Coast hasa Jiji kama Abidjan ni moto wa kuotea mbali Mkuu.

Kwenye list yako pengine utaje Liberia nchi ambayo wamepata uhuru takriban miaka 200 iliyopita na ni ndogo kijiografia lakini wapo nyuma sana kimaendeleo.
 
Hizo HUWA ni propaganda tu....

Kuna nchi maskini hatari
 
Unajua kuna muda unaweza kuamini zilikuwa ni propaganda kwamba Tanzania ilikuwa ni nchi ya tatu kwa umaskini duniani. Kuna hizo nchi Central Africa, Burundi, Ivory Coast mbona mazingira yao hayaendani na Tanzania, au Tanzania imeendelea hivi karibuni!
Umeshafika Ivory Coast au umeandika tu,
 
Nchi maskini hii jamani.Yaani pale Bangui mji mkuu utafikiri kwetu Simiyu.Mji haujaendelea barabara ya lami moja tu.
Simiyu pazuri sana
Bangui mji mbaya sana vibaka wakutosha,bodaboda ndio balaa lingine
Airport imechoka
 
Ashura U.T.I sugu ananisumbua sana pamoja na kumhudumia kote kule. Ngoja niende Bangui nikajipatie demu ambaye ataniona kama Mfame wa Saudia.
 
Sina uhakika kuhusu Central Africa na Burundi, lakini usifananishe Cote D’Ivoire na Tanzania.

Unayoiita Ivory Coast hasa Jiji kama Abidjan ni moto wa kuotea mbali Mkuu.

Kwenye list yako pengine utaje Liberia nchi ambayo wamepata uhuru takriban miaka 200 iliyopita na ni ndogo kijiografia lakini wapo nyuma sana kimaendeleo.
Niliiona Abidjan kwenye TV ni balaa nilijua ulaya, halafu Liberia kapata uhuru miaka 200 iliyopita?
 
Unajua kuna muda unaweza kuamini zilikuwa ni propaganda kwamba Tanzania ilikuwa ni nchi ya tatu kwa umaskini duniani. Kuna hizo nchi Central Africa, Burundi, Ivory Coast mbona mazingira yao hayaendani na Tanzania, au Tanzania imeendelea hivi karibuni!
Mkuu unaujua uchumi wa Ivory Coast vizuri au unaongozwa tu na uzalendo wa kishamba kuiweka hiyo nchi kwenye list yako?
 
Unajua kuna muda unaweza kuamini zilikuwa ni propaganda kwamba Tanzania ilikuwa ni nchi ya tatu kwa umaskini duniani. Kuna hizo nchi Central Africa, Burundi, Ivory Coast mbona mazingira yao hayaendani na Tanzania, au Tanzania imeendelea hivi karibuni!
Mkuu Ivory Coast unaifahamu kweli au umesimuliwa tu?
 
Niliiona Abidjan kwenye TV ni balaa nilijua ulaya, halafu Liberia kapata uhuru miaka 200 iliyopita?
Abidjan wako vizuri na wanaendelea kuboresha miundombinu. Wako na mradi wa kujenga jengo refu zaidi Afrika ya Magharibi.

Liberia mwaka jana wamesherehekea miaka 177 ya uhuru.
 
Back
Top Bottom