Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini

Haya pia yana gharama zake
Kumbuka Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Stockholm 1986, wakati anatoka kuangalia sinema na mke wake Lisbet bila kuwa na walinzi.
Toka mwaka 1986 wameshapita mawaziri wangapi? Na wameshapigwa tena Risasi wangapi?
 
n
nasubiri mauvccm yaje kupinga hii taarifa. Yani haya mamtu hua ni kama hayana akili stupidiest creatures
 
Hapo kwa mwigulu na makamba aisee ni hatari na nusu.

Kila mtu ana gari la milioni 600 na chawa wa kutosha.

Nepi na Msomali nao hawako nyuma.

Umaskini ni umaskini tu aisee.
 
Mkuu Hizi nchi zimeendelea kuanzia kifikra... Hta raia cheo cha waziri wanaona kawaida tu... Unataka kufananisha na nchi ambayo imejaa husda, chuki na wivu??...
 
Kibongo bongo Hizo private t'ime usipokuwa Makini ndo wajaa husda,chuki na wivu ndo hutumia muda huo kukumaliza... So ulinzi ni muhimu.
 
Haya uliyoyaandika yana uhusiano gani na hoja inayojadiliwa?hapa hoja ni mbona huko ni matajiri lakini viongozi wao wana ishi maisha ya kawaida sana,kulinganisha na sisi masikini jinsi viongozi wetu wanavyoishi?!!
 
Kuna baadhi ya mawaziri wetu walikwenda huko wakapelekewa bus wakajifanya wao siyo wa hadhi ya bus, wenyeji wakawabeba walio tayari wakasepa, mwisho wa siku wanakuta hakuna anayehangaika nao, akilini mwao walitaka hata mizigo wabebewe
 
Mbona nimeangalia hayupo kwenye list ya Baraza la mawaziri Sweden?
 
Kibongo bongo Hizo private t'ime usipokuwa Makini ndo wajaa husda,chuki na wivu ndo hutumia muda huo kukumaliza... So ulinzi ni muhimu.
Nipe mfano mmoja tu,aliyemalizwa wakati wa private time, wakati wanaomba kura huwa tunakunywa nao ulanzi !
 
Haya pia yana gharama zake
Kumbuka Waziri Mkuu wa Sweden Olof Palme aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Stockholm 1986, wakati anatoka kuangalia sinema na mke wake Lisbet bila kuwa na walinzi.

Risasi unaweza ukapigwa hata ukiwa na limsafara kama kote, acheni kutetea ujinga.
 
Sasa unapolinganisha Sweden na Tanzania, je Tanzania ina infrastructure kama Sweden?
 
Si huyo tu na Sweden.

Nchi nyingi za ulimwengu wa kwanza viongozi wengi wa ngazi ya kati na chini hupenda kutumia usafiri wa umma khasa reli.

Lakini hiyo ni kwasababu tayari miundombinu ya nchi hizo tayari ilikuwa imeishajengwa kwa kiwango cha hata kabla ya uhuru wa Tanganyika.

Wanokifanya ni kuiboresha kadri miaka inavyozidi kwenda.

Tuna safari ndefu kwani kwanza, yabidi kukubali kujitambua na pili ni kuacha ufisadi na wizi wa fedha na mali ya umma.
 
Hana lolote Mzungu huyo. Njaa zake- anakula burger, miuchafu chafu tu ya nyama.
Aje huku asubuhi apewe uji wa mchana apewe Ugali safi mboga ya maboga Dagaa na mazaga zaga kibao tu. Usiku anakula bonge la kingfish, pweza na ubwabwa.Kachumbari la nguvu na mazagazaga yote Fresh hata firiji hayajaona!
Umasikini unawatesa hao maswedes wao kujiona kupanda gari lina mimoshi moshi, anakula Burger Usiku halafu aende kuota Trump anamparandia wakati ma V8 yamesambaa, mfyuuuu Njaa tu hizo.
 
Mawazo finyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…