TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

Sio kila kifo kimepangwa na Mungu... Unless unataka kuonyesha unajua kubishana tu ilimradi... Unaweza kufia hata unapiga deki msikit ila ikawa ni kifo cha kujitakia wewe mwenyew uzembe au watu wamekusababishia, ila sio kwa mapenzi ya Mungu...
Ni vile Mungu haongei ovyo na wanawadamu, ila nina uhakika kuna watu wanakufa hadi yeye anashangaa mbona wamekufa kabla ya muda au kwa kujitakia wao wenyew...
 
Pole sana Mh.Mchengerwa na familia yenu kwa ujumla..

Mungu awe mfariji wenu..
 
Ameumaliza mwendo.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
 
Bwana ASALAMALEKO wewe ni mtu wa dini gani?!
Kama wewe siyo mwislamu sina cha kuongea na wewe kwakuwa una unachoamini ambacho ni tafauti na ninachoamini!
Ama kama wewe ni muislamu unayemini kuwa Quran ni kitabu cha Allaah alichoteremshiwa Nabii Muhammad
صلى الله عليه وآله وسلم
ili kitabu hicho kiwe mwongozo kwa watu wote , soma maneno haya yaliyopo katika Suurat Aali Imaran Aya namba 145 Allaah anasema:
"{ وَمَا كَانَ لِنَفۡسٍ أَن تَمُوتَ إِلَّا بِإِذۡنِ ٱللَّهِ كِتَٰبٗا مُّؤَجَّلٗاۗ وَمَن يُرِدۡ ثَوَابَ ٱلدُّنۡيَا نُؤۡتِهِۦ مِنۡهَا وَمَن يُرِدۡ ثَوَابَ ٱلۡأٓخِرَةِ نُؤۡتِهِۦ مِنۡهَاۚ وَسَنَجۡزِي ٱلشَّٰكِرِينَ }
Na haiwezi nafsi yoyote kuwa ni yenye kufa ila kwa idhini ya Allaah kama ilivyo andikwa ajali yake. Na mwenye kutaka malipo ya duniani tutampa; na mwenye kutaka malipo ya Akhera tutampa. Na tutawalipa wenye kushukuru.".
 
Mbona kuna watu wamepigwa risasi nyingi na wakapona?! Na mbona kuna watu waliteleza wakaanguka vibaya ikawa sababu ya vifo vyao?!
Sisi waislamu tunaamini kutokana na Aya ya 145 ya suratu Aali Imran mtu hafi hadi siku aliyoandikiwa na Allaah iwe imefika!.
 
Kwenye uislam hakuna mji mtukufu
 
mtu kufia makkah sababu inakuwa nini wakuu? au huyo mwendazake alidhulumu watu kabla hajaenda huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…