Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeguswa hisia? Ni ndugu yako?Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Sio kila kifo kimepangwa na Mungu... Unless unataka kuonyesha unajua kubishana tu ilimradi... Unaweza kufia hata unapiga deki msikit ila ikawa ni kifo cha kujitakia wewe mwenyew uzembe au watu wamekusababishia, ila sio kwa mapenzi ya Mungu...Sio lazima.
Kwani kule hakuna wagonjwa ?! Siku yako ya kufa kama imefika Allaah haangalii upo wapi na unafanya nini! Siku ya kufa ikifika lazima ufe.
Siku ya kufa ikifika ukiwa bar unapiga safari lager na mishikaki ya kitimoto utakufa na pia siku ya kufa ikifika ukiwa msikitini umemsujudia mola wako pia utakufa!.
Ebu onyesha mstari wa biblia unaoidhinisha ushogaKwenye jibu nililokupa kuna sehemu nimeandika siyo maandiko matakatifu?
Papa Francis kusema ndoa za mashoga zipewe baraka kanisani nae si katoa kwenye maandiko yenu matakatifu pia
Kifo ni kifo tu.
Kuongoza ni kuonyesha njiaUsilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Ukikua utaacha maswali ya namna hii . .watu wazima hawawezi kuuliza maswali ya kitoto aina hiyoWewe umeguswa hisia? Ni ndugu yako?
Hiyo kauli sio yake. Yule aliyeisema mwanzo hakujua inagusa hisiq za watuUsilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Unabubujikwa na machozi hapo ulipo?Ukikua utaacha maswali ya namna hii . .watu wazima hawawezi kuuliza maswali ya kitoto aina hiyo
Bwana ASALAMALEKO wewe ni mtu wa dini gani?!Sio kila kifo kimepangwa na Mungu... Unless unataka kuonyesha unajua kubishana tu ilimradi... Unaweza kufia hata unapiga deki msikit ila ikawa ni kifo cha kujitakia wewe mwenyew uzembe au watu wamekusababishia, ila sio kwa mapenzi ya Mungu...
Ni vile Mungu haongei ovyo na wanawadamu, ila nina uhakika kuna watu wanakufa hadi yeye anashangaa mbona wamekufa kabla ya muda au kwa kujitakia wao wenyew...
Mbona kuna watu wamepigwa risasi nyingi na wakapona?! Na mbona kuna watu waliteleza wakaanguka vibaya ikawa sababu ya vifo vyao?!Sio kila kifo kimepangwa na Mungu... Unless unataka kuonyesha unajua kubishana tu ilimradi... Unaweza kufia hata unapiga deki msikit ila ikawa ni kifo cha kujitakia wewe mwenyew uzembe au watu wamekusababishia, ila sio kwa mapenzi ya Mungu...
Ni vile Mungu haongei ovyo na wanawadamu, ila nina uhakika kuna watu wanakufa hadi yeye anashangaa mbona wamekufa kabla ya muda au kwa kujitakia wao wenyew...
We labda ukafie chumbani kwa Nyau.Alipangiwa atakufa huko makkah. Waislam wanaamini mtu huwa anafuata kaburi lake. Na mimi natamani kulifuata kwenye taifa teule Israel nitafurahi balaa nikifa Israel.
Ritz Jagina Malaria 2 gTurn Adiosamigo 100 others and 100 others
Nyau de adriz
Kwenye uislam hakuna mji mtukufuKweli kabisa ! Kufa katika ibada tukufu tena katika mji mtukufu ni alama ya mwisho mwema japo hatusemi ni kwenda peponi kwa 100%.
Kuna baadhi ya mambo hukumu yake ipo kwa Allaah anayejua mioyo ya waja wake inaamini na kufikiria nini!
Sisi tunahukumu yale tunayoyaona na yaliyomo kwenye mioyo tunamuachia Allaah mwenye uwezo wa kuchunguza mambo yenye kutendwa kwa siri na Yale yaliyomo kwenye mioyo ya waja.
Pamoja na hayo kama Kuna jambo la kionewa wivu mimi huyu marehemu namuonea wivu kwani na mimi natamani nifienkatika mji aliofia yeye nikifanya ibada aliyokuwa akiifanya yeye na hatimaye nizikwe katika mji huo mtakatifu.