Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Mtoa roho asiende mbali sana na hapo alipobisha hodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya akina Ali Kibao hayakugusa hisia za watu?Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Akikujibu vema ni tagNaomba unijibu haya Maswali yangu yafuatayo ukiwa kama CHAWA GEGEDU wa Familia yake na ya Mkwe wake.....
1. Nini kimesababisha hasa Kifo cha Baba yake?
2. Kabla ya Baba yake kwenda huko alikofia alipimwa Afya?
3. Kumeshindikana nini Kuurudisha Mwili Tanzania ili azikwe na imelazimika azikwe huko huko alikofia?
4. Je, katika hizi Ratiba zote tajwa hapa juu Mama Mkwe na Dogo Dullah watahudhuria?
5. Kwa mazingira yaliyoko huko Alikofia Baba yake Mzazi na Umri wake kulikuwa na Ulazima wowote Yeye kwenda?
6. Kwanini haya Maamuzi ya Baba yake kuzikwa huko huko Alikofia yamekuwa ni ya haraka sana na yanalazimishwa?
7. Je, yale Masharti ya Watu kwenda Kuhiji huko Alikofia yalifuatwa vyema na Yeye Marehemu na Mwanae Waziri?
Nasubiria majibu yako CHAWA GEGEDU wa Familia zote mbili ya Mfiwa na Mkwe na pia ukiwa kama Mwanafunzi wangu.
Ni kweli kabisa ibada ya HIJA au umra inatakiwa ifanyike kwa kutumia mali zilizopatilana kwa njia ya halali!Pole Sana Ila nasikia kwenda huko unabidi utumie HELA ambazo hazina makando kando.
"Allahumma ighfir lahu warhamhu wa ‘afihi wa’fu ‘anhu wa akrim nuzulahu wa wassi’ madkhalahu waghsilhu bil-ma’i wath-thalji wal-barad, wa naqqihi mina adh-dhunubi wal-khataya kama yunaqqa ath-thawbu al-abyadu mina ad-danas, wa abdilhu daran khayran min darihi, wa ahlan khayran min ahlihi, wa adkhilhu al-jannata wa a’idhhu min ‘adhabil-qabri wa min ‘adhabin-nar."Baba yake Wazir wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Alhaj Omary Mchengerwa amefariki leo Alfajiri akiwa kwenye Ibada ya Umrah huko Makkah.
Kwa mujibu wa taarifa ya Familia ya Mchengerwa, Mzee Omary atazikwa leo huko huko Makka.
Ifuatayo ni Ratiba ya Ibada ya Visomo vitakavyoongozwa na Mufti wa Tanzania Dkt Zuberi Bin Ali wa Mbwana nyumbani kwa Waziri Mchengerwa, Masaki Dar es Salaam.
LEO: TAREHE 24 FEBRUARI 2025
Dua ya Kisomo itafanyika nyumbani kwa Mhe. Mohamed Mchengerwa Masaki saa 10 Alasiri
KESHO TAREHE: 25 FEBRUARI 2025
Dua ya kisomo itafanyika Jimboni Rufiji
KESHO KUTWA TAREHE: 26 FEBRUARI 2025
Dua itafanyika nyumbani kwake Marehemu Alhaj Omary Mchengerwa Yombo.
Kuna Mdau wa Masuala ya Aviation nimetoka Kumuuliza gharama ya Kumsafirisha Mzee huko alikofia hadi Dar ni 15M tu.Swali la 3 lina mashiko, kama mimi nina uwezo wa kugharamia kujenga studio ya wasanii kwa milioni 60 je gharama za kusafirisha zikoje
Hii Dua ni Kwa wale wanaofia Makkah au marhum Wote?"Allahumma ighfir lahu warhamhu wa ‘afihi wa’fu ‘anhu wa akrim nuzulahu wa wassi’ madkhalahu waghsilhu bil-ma’i wath-thalji wal-barad, wa naqqihi mina adh-dhunubi wal-khataya kama yunaqqa ath-thawbu al-abyadu mina ad-danas, wa abdilhu daran khayran min darihi, wa ahlan khayran min ahlihi, wa adkhilhu al-jannata wa a’idhhu min ‘adhabil-qabri wa min ‘adhabin-nar."
Maana yake:
“Ewe Mwenyezi Mungu! Msamehe na umrehemu, mpe afya na umuachilie. Mheshimishe kwa mapokezi mema na mpatie nafasi pana. Muoshe kwa maji, theluji na barafu. Mtakase na madhambi kama vazi jeupe linavyotakaswa na uchafu. Mbadilishie nyumba bora kuliko aliyokuwa nayo, familia bora kuliko aliyokuwa nayo, na muingize Peponi. Muepushe na adhabu ya kaburi na moto wa Jahannam.”
Dua hii inafundishwa katika Hadithi ya Mtume Muhammad (SAW) na ni nzuri sana kwa kumuombea msamaha marehemu wa kiume. Inaweza kusomwa baada ya Swala ya Janaza au wakati wowote wa kumuombea marehemu.
Chawa Gegedu huwa na Majibu ya Maswali magumu, yenye Mitego mingi na yanayohitaji pia Akili Kubwa sana Kuyajibu?Akikujibu vema ni tag
Ni ule wakati ambao Papa Francis anabariki wewe kuolewa na mwanaume mwenzako huko motoni ndo wakati huo huo tunaenjoy mabikraHivi wakati wa mabikira Kuwa enjoy ni wakati gani?
Huzuni yao iliishia kwenye kifo cha kikatili cha mzee Kibao, they got no tears left, dont blame the victim.Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Sina tatizo lolote. Nimeona Wote mmetupia taarifa hiyohiyo, maudhui yaleyale, muda huohuo. Inatokea sana kwa wenye multiple ID.Tatizo Lako ni nini? 😄
Hata kifo cha Mzee Mohamed Kibao kiligusa hisia za watu.Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Ungesoma heading usingepata shida iliyokukutaSina tatizo lolote. Nimeona Wote mmetupia taarifa hiyohiyo, maudhui yaleyale, muda huohuo. Inatokea sana kwa wenye multiple ID.