uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Ni ule wakati ambao Papa Francis anabariki wewe kuolewa na mwanaume mwenzako huko motoni ndo wakati huo huo tunaenjoy mabikra
Ha ha ha! Sasa kwani mabikira si maandiko matakatifu ndugu yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ule wakati ambao Papa Francis anabariki wewe kuolewa na mwanaume mwenzako huko motoni ndo wakati huo huo tunaenjoy mabikra
Hajui ni watu wawili tofauti kabisa ambalo mmoja anakunywa Ulanzi wa Iringa na mwingine hanywi kwa sasa Ulanzi wa Iringa😄😄Tatizo Lako ni nini? 😄
Acha roho ya kishetani na kichawi hapa.Mtoa roho asiende mbali sana na hapo alipobisha hodi
Ela za dhulma, utawala wa dhulma ila Mungu yupo.Ndugu zangu watanzania,
Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake Mzazi mzee Omary Mchengerwa akiwa katika ibada huko Makka.
Ambapo taarifa inasema ya kuwa atazikwa huko huko Makka. ila ataombewa dua na kufanyiwa Ibada huku Tanzania itakayoongozwa na Mufti Dkt Zubeir.
Embu Soma hapa👉Baba yake Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Alhaj Omary Mchengerwa amefariki leo Alfajiri akiwa kwenye Ibada ya Umrah huko Makka.
Kwa mujibu wa taarifa ya Familia ya Mchengerwa, Mzee Omary atazikwa leo huko huko Makka.
Ifuatayo ni Ratiba ya Ibada ya Visomo vitakavyoongozwa na Mufti wa Tanzania Dkt Zuberi Bin Ali wa Mbwana nyumbani kwa Waziri Mchengerwa, Masaki Dar es Salaam.
LEO: TAREHE 24 FEBRUARI 2025
Dua ya Kisomo itafanyika nyumbani kwa Mhe. Mohamed Mchengerwa Masaki saa 10 Alasiri
KESHO TAREHE: 25 FEBRUARI 2025
Dua ya kisomo itafanyika Jimboni Rufiji
KESHO KUTWA TAREHE: 26 FEBRUARI 2025
Dua itafanyika nyumbani kwake Marehemu Alhaj Omary Mchengerwa Yombo.
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyeweNo reforms no election
Baadhi ya maswali haya Lucas hawezi kukupa majibu sahihi kwa sababu yanahusiana na imani ya dini ya kiislamu na yeye Lucas Bado hajasilimu ( japo tunamkaribisha yeye na wewe na watu wote katika dini tukufu ya uislamu ) Licha ya kwamba kujibu maswali hayo hata kama angekuwa muislamu alitakiwa awe msomi wa dini ya kiislamu ndiyo ajibu maswali hayo.Naomba unijibu haya Maswali yangu yafuatayo ukiwa kama CHAWA GEGEDU wa Familia yake na ya Mkwe wake.....
1. Nini kimesababisha hasa Kifo cha Baba yake?
2. Kabla ya Baba yake kwenda huko alikofia alipimwa Afya?
3. Kumeshindikana nini Kuurudisha Mwili Tanzania ili azikwe na imelazimika azikwe huko huko alikofia?
4. Je, katika hizi Ratiba zote tajwa hapa juu Mama Mkwe na Dogo Dullah watahudhuria?
5. Kwa mazingira yaliyoko huko Alikofia Baba yake Mzazi na Umri wake kulikuwa na Ulazima wowote Yeye kwenda?
6. Kwanini haya Maamuzi ya Baba yake kuzikwa huko huko Alikofia yamekuwa ni ya haraka sana na yanalazimishwa?
7. Je, yale Masharti ya Watu kwenda Kuhiji huko Alikofia yalifuatwa vyema na Yeye Marehemu na Mwanae Waziri?
Nasubiria majibu yako CHAWA GEGEDU wa Familia zote mbili ya Mfiwa na Mkwe na pia ukiwa kama Mwanafunzi wangu.
Ni vibaya kuhukumu jambo ambalo huna ushahidi nalo!Hakuna lolote watu wanaenda na pesa za dhuruma
Afadhali umesadia kuuliza maswali niliyokuwa najiuliza maana haiwezekani mtu azikwe ugenini wakati ana mji wake, watoto, majukuu na jamaa zake.
Hizi ni akilia na fikra za kitumwa
Sasa unakubaliana kuwa Samia alipotamka hayo maneno Baada ya kifo cha mzee Kibao alifanya ujinga sio?Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Huku hakunaga Waislamu wako hawa Bakwata ambao Wana muandamo wao wa mwezi wa Ramadan
Mpeni pole Samia kwa kufiwa na mzazi mwenzie! Itabidi akatishe ziara ya Tanga.
Acha umbumbumbu.Embu soma majibu ya Chifu Mkuu upate Elimu na kuondoa upofu wako wa akili. Ni post #87Labda akizikwa Tanzania, pepo itakuwa mbali. Uarabuni ni jirani zaidi na ahera!!
Kweli kabisa! Hadithi inapatikana katika kitabu maarufu Cha hadithi Cha swahihi Muslim swahaba aliyemsikia Mtume"Allahumma ighfir lahu warhamhu wa ‘afihi wa’fu ‘anhu wa akrim nuzulahu wa wassi’ madkhalahu waghsilhu bil-ma’i wath-thalji wal-barad, wa naqqihi mina adh-dhunubi wal-khataya kama yunaqqa ath-thawbu al-abyadu mina ad-danas, wa abdilhu daran khayran min darihi, wa ahlan khayran min ahlihi, wa adkhilhu al-jannata wa a’idhhu min ‘adhabil-qabri wa min ‘adhabin-nar."
Maana yake:
“Ewe Mwenyezi Mungu! Msamehe na umrehemu, mpe afya na umuachilie. Mheshimishe kwa mapokezi mema na mpatie nafasi pana. Muoshe kwa maji, theluji na barafu. Mtakase na madhambi kama vazi jeupe linavyotakaswa na uchafu. Mbadilishie nyumba bora kuliko aliyokuwa nayo, familia bora kuliko aliyokuwa nayo, na muingize Peponi. Muepushe na adhabu ya kaburi na moto wa Jahannam.”
Dua hii inafundishwa katika Hadithi ya Mtume Muhammad (SAW) na ni nzuri sana kwa kumuombea msamaha marehemu wa kiume. Inaweza kusomwa baada ya Swala ya Janaza au wakati wowote wa kumuombea marehemu.
Usilete ujinga wako kwenye Mambo yanayogusa Hisia za Watu.
Hii kuwa ukienda Hijja na hela za Makando kando huwezi kurudi Sio Kweli. Kuna watu chungu nzima tunawajua kuwa ni mafisadi papa wamekwenda Hijja na wamerudi!na hakuna hela isiyo na makandokando,labda uchapishe zako!
Usichukue kauli kutoka kwenye sentensi ndefu na kauli ndefu na kuisimamisha yenyewe bila miguu.Mwashambwa uwe na adabu kwa Rais.
Kauli ya 'kifo ni kifo', ni kauli ya Rais Samia. Kumwambia aliyeirudia kauli ya Rais ni mjinga maana yake unamwambia mmiliki wa kauli hiyo ni mjinga!! Ndicho ulichokusudia?
Pole yake...Baba yake Wazir wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Alhaj Omary Mchengerwa amefariki leo Alfajiri akiwa kwenye Ibada ya Umrah huko Makkah.
Kwa mujibu wa taarifa ya Familia ya Mchengerwa, Mzee Omary atazikwa leo huko huko Makka.
Ifuatayo ni Ratiba ya Ibada ya Visomo vitakavyoongozwa na Mufti wa Tanzania Dkt Zuberi Bin Ali wa Mbwana nyumbani kwa Waziri Mchengerwa, Masaki Dar es Salaam.
LEO: TAREHE 24 FEBRUARI 2025
Dua ya Kisomo itafanyika nyumbani kwa Mhe. Mohamed Mchengerwa Masaki saa 10 Alasiri
KESHO TAREHE: 25 FEBRUARI 2025
Dua ya kisomo itafanyika Jimboni Rufiji
KESHO KUTWA TAREHE: 26 FEBRUARI 2025
Dua itafanyika nyumbani kwake Marehemu Alhaj Omary Mchengerwa Yombo.
Alipangiwa atakufa huko makkah. Waislam wanaamini mtu huwa anafuata kaburi lake. Na mimi natamani kulifuata kwenye taifa teule Israel nitafurahi balaa nikifa Israel.Ndugu zangu watanzania,