Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Anawasalimu,Larijani kashapokea simuTuambieni kwanza Netanyahu mmeisha mzika au bado.
Hio habari kama kweli ameuliwa Larijani watasema tu Iran hawafichi sio hao Israel wanaficha Netanyahu kauliwa akiwa na mageneral 19 time itaongea kama kisha lambishwa mchanga
Teh teh eti Majenerali 19,unajua mfumo wa vyeo wa Jeshi la Israel? Huyo Mkuu wa Majeshi mwenyewe sio 4stars general halafu nchi iwe na majenerali 19 haijalishi ni brigedia au niniTuambieni kwanza Netanyahu mmeisha mzika au bado.
Hio habari kama kweli ameuliwa Larijani watasema tu Iran hawafichi sio hao Israel wanaficha Netanyahu kauliwa akiwa na mageneral 19 time itaongea kama kisha lambishwa mchanga
Ndio huyo huyo,mimi nilijua kabisa hatamaliza wiki,taarifa zinasema kauliwa akiwa na mtoto wake.Huyu jamaa si ndio alikuwa na waandamanaji juzi wakisherekea quds?
Huyu anasemakana ndio alikuwa anaoiongoza Iran baada ya kifo cha Ayatollah. Hao ni wale establishment wachache aliebakia.Baada ya tops kuuwawa wote, watakaosalia wataanza kusalitiana.
Bila hivyo mmarekani na muisrael kazi wanayo
Na hapo Marekani alishatangaza dau la dola 10ml kwa kila kichwa na free and safe relocation.Baada ya tops kuuwawa wote, watakaosalia wataanza kusalitiana.
Bila hivyo mmarekani na muisrael kazi wanayo
DaaaNdio huyo huyo,mimi nilijua kabisa hatamaliza wiki,taarifa zinasema kauliwa akiwa na mtoto wake.
Sasa kama Israel imeshasema ameuliwa hao Wairan ndio wasifahamu hadi sasa na wenyewe wanaficha nini basi.Tuambieni kwanza Netanyahu mmeisha mzika au bado.
Hio habari kama kweli ameuliwa Larijani watasema tu Iran hawafichi sio hao Israel wanaficha Netanyahu kauliwa akiwa na mageneral 19 time itaongea kama kisha lambishwa mchanga
Mkuu mimi kea jinsi nilivyoielewa mbinu ya Iran. Inaonekana jamaa walishakua na mpango wa hii vita kwa muda mrefu. Walishajua mbinu ya israel kuua viongozi, kwaiyo wakaja na mfumo wa mwili kufanya kazi hata ukikatwa kichwa yaani decentralized warfareIt's not about replacement, it's about influence and decision making kwenye sekta muhimu za kiusalama na kiutawala.
Mfano huyo jamaa ni engine kwenye masuala mazima ya usalama n.k do you think atakayeletwa ata perfome the same as him?
Jina la hizi mashine kwa anaejua?Kufuatia kuuawa kwa makamanda waandamizi wa Iran, Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limeanzisha wimbi kubwa la mashambulizi dhidi ya miundombinu ya utawala kote jijini Tehran, likilenga vituo vya uongozi, makao makuu ya intelijensia, pamoja na maeneo ya vyombo vya usalama.View attachment 3558996
Siyo huenda, huyo ameenda kukutanishwa na Khamenei huyo motoni; wewe inapofikia Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel anatoa habari hiyo kwenye BBC ujue kwishne.
Kule Iran labda uwaue wowote ndo ukose upinzani.
Hakuna kiongozi yeyote wa Israel aliyeuwawa yanauwawa tu Mabumunda ya Iran ambayo hayajitambui!!Tatizo kwasasa Kuna wimbi kubwa la Mauaji kati ya Wakuu wa Israel na Iran kufikia Sasa wameuwana wengi sana.
Ndiomana ukichunguza ndani ya Israel zile nyuso tunazijua kwasasa uzioni popote ata kwenye mikutano Yao ya kimya kimya.
So hii Vita vikisha tutalajie kuona viongozi wapya pande zote mbili muda ni mwalimu
Alikuwa ni shoga!!😛😛Shoga atawafanyaje hao 72?
Mu Israel yupi kauwawa?Tatizo kwasasa Kuna wimbi kubwa la Mauaji kati ya Wakuu wa Israel na Iran kufikia Sasa wameuwana wengi sana.
Ndiomana ukichunguza ndani ya Israel zile nyuso tunazijua kwasasa uzioni popote ata kwenye mikutano Yao ya kimya kimya.
So hii Vita vikisha tutalajie kuona viongozi wapya pande zote mbili muda ni mwalimu
Acha kujifariji mechi ipo dakika ya 80 na hakuna dakika za nyiongeza.Kule Iran labda uwaue wowote ndo ukose upinzani.
Duh,IDF confirms that IRGC General Esmail Qaani has survived.
Unaripoti ukiwa zako choo cha MBAVU unachambaIran hana uwezo wa kuua hata balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv
intelligence mkuu. Mossad wapo wa kutosha Tehran.Duh,
IDF kazi yao kumwaga moto kutokea angani, wanawezaje kuthibitisha kuwa fulani kaliwa kichwa na fulani kasalimika?