Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Hakuna cha agents wa mossads wala wasaliti, ni technology waliyonayo US, wakikutaka watakupata tuu hakuna pa kujificha, wakati Trump anasema we know exactly where he is watu walimwona mwehu, angalia documentary ya Palantir utaelewa, Maduro alikamatwa chumbani kwake kalala akiwa kazungukwa na makomandoo 200 lakini alichukuliwa kama kukuKatika kitu kitawatesa Iran basi ni suala la kujaa Ma agents wa Mossad Kila idara kiasi kwamba asilimia kubwa ya viongozi wao na uwezo wao wa Jeshi uko wazi
View: https://www.instagram.com/p/DVbFhy7EZu8/?igsh=dWdicXpmazV0bG4x
Naamini kosa walilolifanya Iran ni kuwaamini Russia ambao nao wanaongozwa na hao hao Wayahudi.
Mara elfu moja wangeegemea China na N.Korea la sivyo wataangamia sana na huenda Utawala wao ukaanguka.
Teknolojia inafanya kazi kukiwa na wasaliti.Hakuna cha agents wa mossads wala wasaliti, ni technology waliyonayo US, wakikutaka watakupata tuu hakuna pa kujificha, wakati Trump anasema we know exactly where he is watu walimwona mwehu, angalia documentary ya Palantir utaelewa, Maduro alikamatwa chumbani kwake kalala akiwa kazungukwa na makomandoo 200 lakini alichukuliwa kama kuku
Hawa Iran hovyo kabisa, wana technolojia ya kuua lakini hawana technolojia ya kujilinda! Haiwezekani ukawa na akili ya kutengeneza nyuklia, droni au makomobora ya masafa ya km 2000 halafu ukashindwa akili ya kutengeneza namna bora ya kujilinda. Viongozi wote muhimu wanauliwa, hivyo vita hata kama wana nguvu watashindaje!?. Hapa ndo tunapohitimisha kuwa Myahudi yuko mbali sana kwenye technolojia, maana anateknolojia ya kukuangamiza na kujilinda asiangamie. Iran aachane na vita ajenge nchi kama wenzie akina Qatari, ili wairan wale mema ya Dunia hii huku wakifurahia uumbaji wa Mungu hapa duniani, FullstopWaziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema leo Machi 17, 2026 kuwa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika shambulio la Israel.
Ali Larijani amekuwa akijulikana kwa miongo kadhaa kama kiongozi mwenye msimamo wa wastani na mtazamo wa kimkakati ndani ya uongozi wa Iran. Amewahi pia kuwa katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, akichangia kwa kiasi kikubwa kuongoza mkakati wa nchi hiyo wakati wa vita kati ya Marekani, Israel na Iran.
Mara ya mwisho Larijani alionekana Ijumaa, alipohudhuria maandamano ya Siku ya Al-Quds ya kuunga mkono Wapalestina mjini Tehran, pamoja na Rais Masoud Pezeshkian.
Mapema leo Jeshi la Israel ilitangaza kumuuwa Kamanda wa Kikosi Cha Basij, Gholamreza Soleimani
Soma pia Jeshi la Israel yadai kumuua Kamanda wa kikosi cha Basij ya Iran (IRGC)
Mkuu, mimi kwa maoni yangu naona Iran sio kama viongozi wake hawalindwi au kujificha kwenye mahandaki. Ila USA na Iran wanatumia ndege kama B2 kushusha makombola ambayo yanawachimbua hadi chini. Wao iran wanategemea drones ambazo haziwez kuwachimbia kwenye mahandaki viongozi wa israelHawa Iran hovyo kabisa, wana technolojia ya kuua lakini hawana technolojia ya kujilinda! Haiwezekani ukawa na akili ya kutengeneza nyuklia, droni au makomobora ya masafa ya km 2000 halafu ukashindwa akili ya kutengeneza namna bora ya kujilinda. Viongozi wote muhimu wanauliwa, hivyo vita hata kama wana nguvu watashindaje!?. Hapa ndo tunapohitimisha kuwa Myahudi yuko mbali sana kwenye technolojia, maana anateknolojia ya kukuangamiza na kujilinda asiangamie. Iran aachane na vita ajenge nchi kama wenzie akina Qatari, ili wairan wale mema ya Dunia hii huku wakifurahia uumbaji wa Mungu hapa duniani, Fullstop
Tech ya leo haihitaji insiders or wasaliti,hamas mbona top brass yao yote ilimalizwa, Taleban technology haikuwepo, wakishakuwa na picha yako hata ya miaka 10 iliyopita watakupata tuu,na viongozi wote wa Iran wanazo picha zao ndio maana wanawaua wanavyotakaTeknolojia inafanya kazi kukiwa na wasaliti.
Mbona inawachukua miaka kuwakamata viongozi wa Taliban au Hamas? Hapo teknolojia inakuwa likizo au?
View: https://youtube.com/shorts/DP39h4iGALE?si=Ja9Y_RX5Yp-mg2al
Hawa Iran hovyo kabisa, wana technolojia ya kuua lakini hawana technolojia ya kujilinda! Haiwezekani ukawa na akili ya kutengeneza nyuklia, droni au makomobora ya masafa ya km 2000 halafu ukashindwa akili ya kutengeneza namna bora ya kujilinda. Viongozi wote muhimu wanauliwa, hivyo vita hata kama wana nguvu watashindaje!?. Hapa ndo tunapohitimisha kuwa Myahudi yuko mbali sana kwenye technolojia, maana anateknolojia ya kukuangamiza na kujilinda asiangamie. Iran aachane na vita ajenge nchi kama wenzie akina Qatari, ili wairan wale mema ya Dunia hii huku wakifurahia uumbaji wa Mungu hapa duniani, Fullstop
Sio Mkuu wa ulinzi ni kama Katibu Mkuu Kiongozi,walikuwa wanamuita Katibu wa baraza la ulinzi.
Pili,Iran wanatakiwa wafanye jambo haiwezekani wanaknewa kirahisi hivi na Israel na proxy wake Marekani.
Kwamba Wameshindwa kumteketeza Kiongozi wao hata mmja? Pili makombora yake ya ballistic mbona hayajaleta madhara makubwa?
Tunaona,na pia tunaona picha aidha za AI au za zamani za netanyahu
Urusi alipewa makombora na drone nyingi tu na Iran,wenzako walisomesha vizuri watoto wao,wewe kutwa kupiga kelele kanisaniwanapewa kila kitu na russian au china, hawana huo ujuzi ...
Urusi alipewa makombora na drone nyingi tu na Iran,wenzako walisomesha vizuri watoto wao,wewe kutwa kupiga kelele kanisani
Kwa hiyo unaamini Waziri wa Israel Benjamin Netanyahu aliuliwa na makombola ya Iran?Tunaona,na pia tunaona picha aidha za AI au za zamani za netanyahu
Acha uongo makomando 2oo?Hakuna cha agents wa mossads wala wasaliti, ni technology waliyonayo US, wakikutaka watakupata tuu hakuna pa kujificha, wakati Trump anasema we know exactly where he is watu walimwona mwehu, angalia documentary ya Palantir utaelewa, Maduro alikamatwa chumbani kwake kalala akiwa kazungukwa na makomandoo 200 lakini alichukuliwa kama kuku
Uko timamu kweli mkuu?
View: https://youtube.com/shorts/Qv8fgLMbJqc?si=Cs6W7w8jahV7ZkbB
Wanauwa mmoja wao wanauliwa 1000 yote Israel kabaki mi show off watu wake wanapokea kipogo
Safi sana Iran
Video za michongo hizo fusion hazina maelezo ya kujitosheleza ama kweli huyo fundi anayetengeneza hizo video zako anakuibia tu pesa zako bure!!
View: https://youtube.com/shorts/Qv8fgLMbJqc?si=Cs6W7w8jahV7ZkbB
Wanauwa mmoja wao wanauliwa 1000 yote Israel kabaki mi show off watu wake wanapokea kipogo
Safi sana Iran
Sio 200 tuu, alikuwa na special forces 24/7 kwa ulinzi wakeAcha uongo makomando 2oo?
Unashangaa hao 200, Samuya msafara wake sometimes ni magari 200,unafikiri wale ni wapishiAcha uongo makomando 2oo?
Tulizana wewe dawa iwaingie yule Larijani alikuwa bado flexible kaja badala yake huyu ni kiboko hata USA wanamfahamu alikuwa hataki ujinga kwenye mazungunzo ya Nuclear .Video za michongo hizo fusion hazina maelezo ya kujitosheleza ama kweli huyo fundi anayetengeneza hizo video zako anakuibia tu pesa zako bure!!
Je una habari kuwa Waziri wa Ujasusi wa Iran, Esmaeil Khatib na kaangamizwa?Tulizana wewe dawa iwaingie yule Larijani alikuwa bado flexible kaja badala yake huyu ni kiboko hata USA wanamfahamu alikuwa hataki ujinga kwenye mazungunzo ya Nuclear .
Trump anamjutia Ayatollah Ali Khomen bado alikuwa have disappeared vita huyu wa sasa mwanae yeye hataki mazungumzo mpaa USA aondoke hapo Gulf states na huyu badala ya Larijani ni balaa mnachochea moto kila abaye kuja ni balaa kule aliye ondoka.
Afu Ayatollah mpya kawarudisha wale wote walio kuwa wa zamani ili wawe ma adviser na hao wa zamani ndio walio jenga foundation ya IRGC
View: https://youtube.com/shorts/CQR6BmSfDt8?si=XfRW0F28I8z-8Uva