Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,143
- 2,872
Israel anatangaza amemua kiongozi fulani wa Iran, serikali ya Iran inathibitisha lakini hatusikii Iran akisema amemuua kiongozi wa Israel halafu Israel wakakataa kuthibitisha.Tofaut nyengine kwenye hii Vita ipo apa. Upande mmoja Viongozi wake wakifa wanasema!!!
Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!
kwamadai adui yao akiona atapata nguvu zaidi au shabaa zaidi!!!
Swali wasomaji wa Jamii forums
Ikiwa tunaona kipigo wanachopewa Israel kutoka Iranian na hezbollah!!
Mejengo yao yalivo sagwa vile na Waisrael wanatwambia Vifo ni 14 !!!!!
Uwongo wao ni wawaziwazi unaotokana na iyo Sheria yao kuficha maumivu yao!!!
manake Kombora linavunja vunja zege pamoja na nondo!!!
Lkn Kombora ilo ilo linashindwa kupenda kwa Binadamu mwenye nyama tu!!!!!
2) Swali kuu!!
ikiwa Israel inaficha japo Vifo tu ya raia wake.
JE bado wewe unategemea kuja kuambiwa ukweli wa Vifo vya viongozi wao wangazi yoyote?????
Ukweli kwenye hii Vita tutasikia tu Vifo vya upande wa Iranian tu.
Sio Israel saaauuu ilo!!!!
ndo kuzidiwa kwenyewe sasa hukoMkuu, mimi kwa maoni yangu naona Iran sio kama viongozi wake hawalindwi au kujificha kwenye mahandaki. Ila USA na Iran wanatumia ndege kama B2 kushusha makombola ambayo yanawachimbua hadi chini. Wao iran wanategemea drones ambazo haziwez kuwachimbia kwenye mahandaki viongozi wa israel
hamna lolote ayatola mpya mwenyewe amekatwa mguu alafu amekua kiziwiTulizana wewe dawa iwaingie yule Larijani alikuwa bado flexible kaja badala yake huyu ni kiboko hata USA wanamfahamu alikuwa hataki ujinga kwenye mazungunzo ya Nuclear .
Trump anamjutia Ayatollah Ali Khomen bado alikuwa have disappeared vita huyu wa sasa mwanae yeye hataki mazungumzo mpaa USA aondoke hapo Gulf states na huyu badala ya Larijani ni balaa mnachochea moto kila abaye kuja ni balaa kule aliye ondoka.
Afu Ayatollah mpya kawarudisha wale wote walio kuwa wa zamani ili wawe ma adviser na hao wa zamani ndio walio jenga foundation ya IRGC
View: https://youtube.com/shorts/CQR6BmSfDt8?si=XfRW0F28I8z-8Uva
Hakuna tatizo yuko mwingine badala yake je una habari USA karibu atamkimbia Israel sa akibaki Israel peke yake ndio itakuwa balaa.Je una habari kuwa Waziri wa Ujasusi wa Iran, Esmaeil Khatib na kaangamizwa?
Tatizo humjui Trump, Mara zote anacheza na Akili za Wafuga Midevu na MajinHakuna tatizo yuko mwingine badala yake je una habari USA karibu atamkimbia Israel sa akibaki Israel peke yake ndio itakuwa balaa.
USA kisha zidiwa hana jinsi Carriers zake zote mbili zimepigwa zipo out of order base zimesambaratishwa
Lakini unaona kichapo anacho pelekewa Israel au hukioni.
View: https://youtu.be/MwRX8N6PLL4?si=r1P2GMp-VIZrdI8-
View: https://youtu.be/N7N4n6GsGVs?si=oQUFUzGhdmZI_GyO
Yes kama mlivyo chezewa akili na Wayahudi wakiwambia Hezbullah kwisha 😄Tatizo humjui Trump, Mara zote anacheza na Akili za Wafuga Midevu na Majin
Hakuna kitu hapo Hezbollah ilikuwa kipindi cha Gaidi Hassan Nasrallah sasa hivi ni bure kabisa !!!Yes kama mlivyo chezewa akili na Wayahudi wakiwambia Hezbullah kwisha 😄
View: https://youtube.com/shorts/SgKSm78ljZA?si=GD6_J359Z5UZfG7V
View: https://youtube.com/shorts/rS5TmCzJLMk?si=wxi8o_oNmwNCmJOa
Hakuna hata Missiles za Iran au Hezbullah zinepiga Israel zote zimepopolewa kutokana na wewe lakini kutokana na Waisrael wanaliaHakuna kitu hapo Hezbollah ilikuwa kipindi cha Gaidi Hassan Nasrallah sasa hivi ni bure kabisa !!!
Fikiria juzi wakirusha maroketi 200 yote yalipopolewa na mengine hayakufika hiyo kijeshi inaitwa tactics failure yaani kushindwa kimbinu.
Njaa inakusumbua tu wewe!!Toka lini Askari wa Iran wakaweza kuingia Israel kwanza watapita wapi?Hakuna hata Missiles za Iran au Hezbullah zinepiga Israel zote zimepopolewa kutokana na wewe lakini kutokana na Waisrael wanalia
Makamanda wake Iran walingia ndani ya Israel wakasafisha safisha walio taka wauwa hio pia Israel hasemi
View: https://youtube.com/shorts/nl6Ngc9plc4?si=h6TVgunN1wzDTagb
We ndio una matatizo ya kiakili vipi wasiweze wakati Hezbullah ipo pua kabisa na Israel.Njaa inakusumbua tu wewe!!Toka lini Askari wa Iran wakaweza kuingia Israel kwanza watapita wapi?
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu inakusumbua!!!
Kwani Mazishi ya Netanyahu yatakuwa lini maana mlisema amekufa!!We ndio una matatizo ya kiakili vipi wasiweze wakati Hezbullah ipo pua kabisa na Israel.
View: https://youtu.be/3c1fKTKP5js?si=c_W-j08qFhPpv9rn
Mtaficha mpaa lini jamaa wenu kisha kufa
Kisha weka kwenye sanduku huyoKwani Mazishi ya Netanyahu yatakuwa lini maana mlisema amekufa!!
Tuwekee picha tuone mabaki yake!!Kisha weka kwenye sanduku huyo
Wewe kenge msafisha choose si ulisema Iran anga liko free waulize wamarekani F35 imepata dozi leo na USA wamekiri imepigwa na Iran ikabidi wakaishushe haraka ili isiangukie Iran
View: https://youtu.be/JXEyAaMmGso?si=O2AhyMwHUBUPjHp5
Post from Al Jazeera English
Iran’s Revolutionary Guard Corps (IRGC) says it attacked and “damaged” a US F-35 fighter jet. US Central Command spokesperson Captain Tim Hawkins told CNN a ...youtube.com
Tuwekee picha tuone mabaki yake!!
Hizo video zako za MICHONGO sijui Nani anakudanganya nazo!!
View: https://youtu.be/pXZPHzPmGXs?si=XB8KY5Tnp5I3TudS
Sawa we endelea kubisha ikiwa hata USA kakubali lakini kajidai wana investigate sababu 😄
View: https://youtube.com/shorts/2LPwHdEvx08?si=RagUn9OT9IG53XKF
Boss wako Netanyahu anavyo mdharau mungu wa wakanisa
Wikipedia si hata marehem netanyahu angeweza ongeza kituwanakopi na kufanya reverse engineering hakuna new idea wanayo-develop
''since at least 2014, the Iranian firm Mado has marketed a copy of the L550E, called MD550. The Mado variant is used for the Iranian Shahed-136 UAV ''
...
Hii vita imefanya nijue wabongo wajinga sana. kumbe jina sahihi ni Ali, unakutana na jitu kobazi la kimbangulile linajiita Ally. Pumbavu sanaWaziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema leo Machi 17, 2026 kuwa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika shambulio la Israel.
Ali Larijani amekuwa akijulikana kwa miongo kadhaa kama kiongozi mwenye msimamo wa wastani na mtazamo wa kimkakati ndani ya uongozi wa Iran. Amewahi pia kuwa katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, akichangia kwa kiasi kikubwa kuongoza mkakati wa nchi hiyo wakati wa vita kati ya Marekani, Israel na Iran.
Mara ya mwisho Larijani alionekana Ijumaa, alipohudhuria maandamano ya Siku ya Al-Quds ya kuunga mkono Wapalestina mjini Tehran, pamoja na Rais Masoud Pezeshkian.
Mapema leo Jeshi la Israel ilitangaza kumuuwa Kamanda wa Kikosi Cha Basij, Gholamreza Soleimani
Soma pia Jeshi la Israel yadai kumuua Kamanda wa kikosi cha Basij ya Iran (IRGC)
We jidai video za michongo wakati hio ni channel ya India tukikuwekea za channel za kiarabu unajidai lugha ya majini. We tatizo lako level yako ni ya kusafisha vyoo tu huwezi kuwa na akiliHizo video zako za MICHONGO sijui Nani anakudanganya nazo!!