Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Ni kweli anatakiwa kupiga kimya.

Lakini haki ya wapalestina haitafutwi kwa kudhamini magaidi wa Hezibola na Hamas, atumie approach nyingine.
 
Unaongea vitu vya maana sana shida unamjibu mlokolo anayeamini hata ukimpa tigo myahudi unabarikiwa ..ni kazi kweli
 
amakweli sasa naanza kuamini israel ndo itakayokuwa chanzo cha vita ya 3 ya dunia
Nani apigane vita vya dunia?

Iran atapigwa na hakuna wa kumsaidia.

Nani alimsaidia Saddam Huwezi Mabeberu yalivyokuwa yanamshushia mawe?

Kule afghanstani wamaghariki mbona walipiga tu?

Putin ameshachoka na vita anasubiri Trump awe raisi aahirishe vita.

Yule dogo mnyoa panki kazi kuvuta bange tu na kupiga mkwara.

Mchina anafocus kukuza uchumi ili awe superpower hana mpango na vita.
 
Vyovyote vile utakavyoelewa ila Iran asithubutu kujibu.

Mpaka muda huu ni mtuhumiwa so cha kufanya ni yeye kukaa kimya kusubiri uamuzi wa mahakama.
Dunia imeshaatoka huko mkuu mambo ya kuonewa hayapo tena.. ule mfreji ukizibwa uchumi wa usa na dunia nzima utacolaspe ..unacolase wakti huo nchi inahitaji mafuta ya kurushia ndegen na uzalishaji kwenye mitambo .kwa usa ana weza poteza hata usd 3trilloo tano sio kazi Mtu akishaakuwa na mahaba anaweza kukulazimisha uamini damu ina rangi nyekundu
 
Hata Saddam alirusha scuds mpaka akasifiwa zaidi ya kuwa praised god!Hatimaye akanyongwa hadharani huku anatukana hovyo na kulia kama katoto.
Bakumbuka wakaishiaa kusema "Sadama Mwanaume"![emoji23][emoji23][emoji23]

Tatizo kubw la waarabu/ waislam ni kutaka kufunika imani zingine kwa namna yoyote ile. Sasa pale ME jamii iliyogoma kabisa kufunikwa ni wayahudi...mataifa ya kikristo kadhaa yalifutika hata jamii za wakristo zinafutwa na kuuliwa hovyo tu middle East, wanakalia kusema wanamwachia Mungu.

Myahudi kagoma kabisa ! Na hawatakaa wamuweze kwa kua amejua kuwa lugha ya ustaarabu hawaijui anawachinja kama wachinjavyo wao.

Hawa jamaa ni wabinafsi na roho mmbaya sana...duniani wana mataifa zaidi ya 40 ya kiarabu, lkn kataifa kamoja tu ka Kiyahudi kanawaumiza roho hawalali kuwaza kukaangamiza!!
 
Let them,Arabs, rot in hell!
 
Watu wanaona Iran ni nchi ya kupush over ..vita ikianza nakuhakikishia zile carrier pale hazirasogea pale karibu maana kuzamishwa ni dakika zisizo zidi 5 tu
 
Do ..hii taarif umeituoa wapi ..kama amna missle production na amna airdefence si ndo vizuri waende huko palipo tambarare
 
Iran alipiga nini sasa?

Ayatolla alipata mshituko mkubwa na sasa hivi anakaribia kufa.

Warusi walimdanganya wameweka mifumo ya ulinzi wa anga, Mazayuni yakatimba hadi chumbani yakawa yanajichagulia pa kupiga.

Innalilah wainalilah raijun!
Huku kuna watu wajinga mmoja wapo ni wew
 
Bado mnasema Israel ndo Taifa Lenye Nguvu...
Anakupiga Mtu halafu onyo anatoa Mwingine Ole wako umrudishie 🤣🤣..
Ina maana anajua Ukimrudishia Watu watajua kuwa hana Nguvu 🤣🤣 kama anavyosifiwa
Wenzio wanatawala kuanzia Israel marekan ulaya mpaka maca kwa mfalme. We baki kukariri maisha ukitegemea kutoka.
 
Watu wanaona Iran ni nchi ya kupush over ..vita ikianza nakuhakikishia zile carrier pale hazirasogea pale karibu maana kuzamishwa ni dakika zisizo zidi 5 tu
Mbona zipo pale middle east kila siku na hazizamishwi?
 
Tangu lini Iran ilikatazwa kitu na USA na ikatiii mmesaau Tramp na mikwara yake lkn alipelekewa moto Iran anawajua adui zake ndani nnje. Ivyo viuma vitapepea tu Hiii trip target ni kambi za jesh na wajeda wanyewe,
General wao aliuwawa kama panya na Iran ikaishia kurusha magimbi kwenye kambi za USA
 
Hizo picha mimi nafikaje huko Tehran sasa ili nipige nikutumie? Mbona unanipa kazi ngumu sana.
Mbona Israel ikishambulia Syria na Lebanon tunaona mapicha kama yote!?
Mbona Iran iliposhambulia Israel tuliona video ya makombora yakitua Israel na kufanya uharibifu!?
 
Lakini mkuu, si umesema kwamba Jewish kingdoms existed on the area before common era, kabla hawajashindwa vita na kutawanyika?

Kumbe sasa ile ardhi ilikuwa kweli ni ya wayahudi na walikuwa na haki ya kurudi pale, hili unalionaje mkuu?
 
Natamani vita isiishe ila mataifa ndo yayeketee ili waislam wajiridhishe kati ya waislama wakristo nani zaidi
 
Mbona Israel ikishambulia Syria na Lebanon tunaona mapicha kama yote!?
Mbona Iran iliposhambulia Israel tuliona video ya makombora yakitua Israel na kufanya uharibifu!?
Hapo maana yake ni nini sasa, mimi nadhani maana yake wayahudi hawakuficha picha za uharibifu, Ila Ayatola anazificha, anaishia tu kusema wmeuawa wanajeshi wanne...

Tumwambie aweke picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…