Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Iran atalipizaje sasa?

Mitambo ya kutengeneza missile aliyoitoa China imeharibiwa.

Mifumo ya ulinzi wa anga aliyopewa na Putin nayo pia imeharibiwa.

Radar imelipuliwa ikateketezwa na mazayuni.

Sasa hivi analala uchi tu kama mwanamwali anayesubiri kupigwa pumbu.

Hii komenti wakiisoma marafiki zangu Ritz na Webabu nahisi urafiki utakufa. Akiiona faiza Foxy najua ndio sitakubaliwa tena, maana nabembeleza mapenzi.
Unaweza kutuma hata picha hata za kuediti ili tuamini habari yako kama hutojari lakini.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jisomeeni


US defense chief: Iran ‘should not make the mistake of responding to Israel’s strikes’

By Reuters

“Iran should not make the mistake of responding to Israel’s strikes, which should mark the end of this exchange,” Austin says in a statement.
Nimecheka sana mpaka watu wanadhani nimewehuka hahaha FaizaFoxy Ritz Malaria 2
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jisomeeni


US defense chief: Iran ‘should not make the mistake of responding to Israel’s strikes’

By Reuters

“Iran should not make the mistake of responding to Israel’s strikes, which should mark the end of this exchange,” Austin says in a statement.
Hivi ni vitisho tu.
Hata kabla ya May na Oktoba mosi USA waliitisha Iran hivi hivi.
 
Aisee lilikuwa suala la musa kwa Iran, now picha inasafishwa negative soon tutaiona printed 😀!.
USA haina ubavu wa kuingia vitani na taifa lingine kwa sasa especially kama Iran ambayo inajiweza katika angle nyingi.
Tambua akijihusisha na Iran basi ategemee Russia kujaribu silaha zake kupitia Iran na ategemee vita ya kishia kuzuka huo ukanda.
Maana vikundi vya wanamgambo vya kishia vyote viko huo ukanda.
Nadhani unaelewa nani ataumia zaidi.
Maana wataanza kuharibu miundombinu ya USA iliyopo hapo middle east .
 
Tangu lini Iran ilikatazwa kitu na USA na ikatiii mmesaau Tramp na mikwara yake lkn alipelekewa moto Iran anawajua adui zake ndani nnje. Ivyo viuma vitapepea tu Hiii trip target ni kambi za jesh na wajeda wanyewe,
 
Mungu hakuwa mjinga kuwaacha wasambae dunia nzima kama mateka na wakimbizi .
Wakati wa kuwarejesha kwao umefika .
Ni wapumbavu tu wanaobisha uwepo wa Mungu na historia ya kutokea kwa Taifa hilo ambalo asili yake ni Uajemi. Kwa hiyo hao wa Israel ni waajemi kwa asili ndio maana hata ndani ya Iran wapo . Urusi wapo ,Itali wapo ,Uingereza ,wapo,Ujerumani ,wapo,Marekani wapo ,Ufaransa wa wapo , Na nchi zote karibu zote za Ulaya mashariki wapo ,Afrika ya Kaskazini wapo ,Afrika kusini wapo, mashariki ya kati ndio wamejichanganya kila mahali. Sasa katika hali hiyo watakosaje watu wa kuwapigania kwa kiwango chochote .

Na Marekani mara nyingi wanaingilia hiyo vita ili kuepusha madhara makubwa yanayoweza kutokea kwa sababu ni wazi kuwa katika teknolojia wanayoibuni kila siku mayahudi hawawezi kukubali taifa lao liangamizwe na mtu yeyote . Katika hali ya kutetea taifa lao watajibu mapigo ya kuangamiza watu wengi na miundombinu na miradi ya Nchi za magharibi ikiwemo visima vya mafuta na pia miradi ya Nyuklia inayofadhiliwa na Urusi . Kwa ni busara tu inayotumika kuionya Israel kuingia kwenye nchi na nchi kama Irani yenye watawala magaidi wanaosaidiwa na Urusi bila kujua kuwa vita haina macho . Iraki ilikua na nguvu kubwa sana lakini ilipoanza kuhangaika na Mombo ya Israel badala ya maendeleo yake ikasambaratishwa .
Libya ilikua na nguvu na uchumi mkubwa sana ilipoanza kuhangaika na mambo ya Israel na kutisha kuifuta kwenye Ramani ya dunia ,ilisambaratishwa. Ujerumani lilikua taifa kubwa lenye nguvu kubwa sana na Hitler akiwa mtawala mtata sana ,kosa la kuwaza kuwafuta wayahudi kwenye uso wa dunia likawa ni anguko lake . Sasa kwa satu wanaofikiri kuwa bibilia ni kijitabu tu wataabika sana Irani itakapoanguka na kupotea kabisa kwenye nchi kubwa duniani .

Mungu aliwaweka pale kwa kazi yake na alijua ni wabishi na wanamsimamo mgumu sana lakini wakati wa kusudi lake ukitimia watarejea na kuwa watiifu kwa Masihi Yeshua au Yesu.

Irani pia inadhaminiwa na Urusi na China na Korea ,Yote hayo ni Mataifa makubwa yenye nguvu za kiuchumi .
Irani kama Irani haina uwezo bila kuwa na marafiki wenye nguvu .
Ukiona marafiki danampambambania rafiki yao basi ujue ana manufaa kwao.

Kwa hiyo Irani ikijidanganya kuwa itaishambulia Israel ijue ndio mwisho wake kwa sababu Israel ina watu wenye uwezo mkubwa wa kisayansi na wamejiwekeza kwenye Mataifa makubwa ya magharibu.
Muda utasema na maandiko yatatimilika kama yalivyoandikwa.
Waandika mambo mengi ambayo mwisho wake ni ujinga. Hao west&USA& ISRAEL siwalitaka Asad asiwe Raisi wa Syria mpaka leo wamefikia wapi?. Sasa kama hapo kwa Asad wameahindwa unafiikiri nirahisi kwa muajemi anatengeneza Siraha zake Mwenyewe?.
 
Bahati mbaya washirika wa Irani ni wale wapuuzi ambao hawanaga msaada wa moja kwa moja inapotokea vita. Marekani ikitokea vita anamsapoti mshirika wake kuanzia vifaa vya kijeshi, intelijensia, personnel nk. Urusi na wenzake hawanaga huo uwezo so Iran ajue likitokea lolote imekula kwake atachakazwa within days
Mbona huko Ukrein hapeleki Jeshin amsaidie au aruhusu tu Ukrein avurumushe makombora Moscow?.
 
Waandika mambo mengi ambayo mwisho wake ni ujinga. Hao west&USA& ISRAEL siwalitaka Asad asiwe Raisi wa Syria mpaka leo wamefikia wapi?. Sasa kama hapo kwa Asad wameahindwa unafiikiri nirahisi kwa muajemi anatengeneza Siraha zake Mwenyewe?.
Muajemi ni mrahisi kuliko Msyiria. Soma historia.
 
Hawa watu wameshaona udhaifu mkubwa wa Iran baada ya ndege za Israel kufanya operation yake bila pingamizi huku wakitumia zaidi ya masala mawili wakiwa kwenye ANGA la Iran..
Tusisahau kuwa Iran wali-update rada zote na mifumo ya kujilinda akisaidiwa na Russia na china lkn bado Israel wameweza kuzima rada zote kuanzia Syria na Iraq

Ndani ya masala mawili ya operation Iran walishindwa kujibu wala kuona ndege za Israel,.
Jana NETANYAU amewaambia wairan kuwa wameweka akiba maeneo mengine ya kupiga ikiwemo nuclear power plant na makazi yote ya viongozi wakuu wa iran
Walokole kama ninye ni jaanga ..mabom yamerushwa kutoka mbali huko karibia kilometa 140 ndo unasema Walsingham..Iran hivi kwa akili y kawida makombora na ndege ni kipi kina urahis kukilenga
 
Back
Top Bottom