Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Hapo maana yake ni nini sasa, mimi nadhani maana yake wayahudi hawakuficha picha za uharibifu, Ila Ayatola anazificha, anaishia tu kusema wmeuawa wanajeshi wanne...

Tumwambie aweke picha.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Maana yake hakuna madhara makubwa yaliyotegemewa.
BBC ilitangaza maafa ya shambulio la Iran ndani ya Israel Oktoba mosi.
Ila mbona hadi leo ukienda BBC huoni news zozote za maafa kwa Iran!?
Na BBC iko operational ndani ya Tehran.
 
madhara ya Israel kwa Iran mara hii sio makubwa nadhan Iran wanatafakari lakini hawamuogopi kenge yeyote wanaweza kushambuliwa hao US hasa kwenye base zao huko Iraq
Wajaribu kama hatujamwona Ayatollah kwenye kifusi akijaribu kuipiga drone kwa fimbo, kama kijana wake aliyewahishwa peponi
 
Hapo maana yake ni nini sasa, mimi nadhani maana yake wayahudi hawakuficha picha za uharibifu, Ila Ayatola anazificha, anaishia tu kusema wmeuawa wanajeshi wanne...

Tumwambie aweke picha.
Hao jamaa ni wabishi mno, yaani leo hii wanaamini media ambayo kila siku huwa wanaiponda humu ndani
 
Wajaribu kama hatujamwona Ayatollah kwenye kifusi akijaribu kuipiga drone kwa fimbo, kama kijana wake aliyewahishwa peponi
Mara ngapi hizo base zinashambuliwa mpaka baadhi ya wanajeshi wa US wamerejeshwa na vilema em fuatilia mkuu acha ushabiki, Iran sasaiv sio ile enzi za sadam Iran wanajiamini na wanauwezo, jaribu kujifunza nyuma Iran kuna nani kwa sasa
 
Kwani hapa tunabishana nini?

Kwamba hakuna madhara?
Yaani madege mia moja ya kijeshi yashushe makombora kwa muda wa masaa matatu, halafu pasiwepo madhara?

Yaani hata wewe kwa akili yako tu ndogo ya kiislamu unaona hili linawezekana?
 
1
 
Bado mnasema Israel ndo Taifa Lenye Nguvu...
Anakupiga Mtu halafu onyo anatoa Mwingine Ole wako umrudishie 🀣🀣..
Ina maana anajua Ukimrudishia Watu watajua kuwa hana Nguvu 🀣🀣 kama anavyosifiwa
Myahudi wa Mwanjelwa unaniangusha Sasa.
 
Bado mnasema Israel ndo Taifa Lenye Nguvu...
Anakupiga Mtu halafu onyo anatoa Mwingine Ole wako umrudishie 🀣🀣..
Ina maana anajua Ukimrudishia Watu watajua kuwa hana Nguvu 🀣🀣 kama anavyosifiwa
Anakusaidia tu kujua uwezo wa adui yako, usije ukang'olewa meno.
 
Watu wanaona Iran ni nchi ya kupush over ..vita ikianza nakuhakikishia zile carrier pale hazirasogea pale karibu maana kuzamishwa ni dakika zisizo zidi 5 tu
US anadhani ni yeye peke ndio ana silaha, hapo ananikumbusha watani zangu wasukuma, na ile chagulaga wanadhania kila mwanamke wa kisukuma atabaki na ule ujinga, eti mnajipanga wanaume afu mnamuambia chagulaga. Hawajui siku hizi kuna wasichana wakisukuma wanafata dini ya kislamu, wengine wana ma PhD wanadhania watabaki na ule ujinga wakukimbizana. Ndio US anadhani akimtisha Iran watamuogopa na huto tu Carriers twake na tundege twake F35 na B2 πŸ˜„
 
Lakini mkuu, si umesema kwamba Jewish kingdoms existed on the area before common era, kabla hawajashindwa vita na kutawanyika?

Kumbe sasa ile ardhi ilikuwa kweli ni ya wayahudi na walikuwa na haki ya kurudi pale, hili unalionaje mkuu?
BCE ile ardhi ilikuwa Ni ya Roman Empire na hata Kipindi cha Yesu Ilikuwa Chini Ya Roman Empire ila sio yao Walijaribu Kutaka Uhuru Wao kipindi Hicho ila kwa bahati Mbaya wakajikuta Wanakula Kichapo kutoka kwa Warumi..

Soma "Antiquities of the Jews" kitabu kilichoandikwa na Mwanahistoria maarufu Myahudi Flavius Josephus..

Na Utakuta Jewish War au JW ambayo ilidumu kwa Muda mrefu mpaka wakina Simon Bar Kokhba Kuuliwa na Kuaribiwa kwa Hekalu la Wayahudi ambalo mpaka leo halijajengwa

So Haikuwahi kuwa Ardhi yao ikumbukwa Miaka kadhaa nyuma Walienda Hapo baada ya kutoka Utumwani Babilon miaka ya 3000 iliyopita..

So ilikuwa ni Ardhi yao Kwenye kipindi cha miaka 4000 iliyopita kipindi cha Kina Abrahamu na Kina Isaka na Yakobo baada ya hapo Haikuwahi kuwa Ardhi yao na Ushahidi wa Kuwa Ilikuwa Ardhi Yao unabaki kuwa Kwenye Vitabu vya Dini peke yake na sio Historia..

Na ndo maana Nimemwambia jamaa mmoja anithibitishie Hapo juu Kihistoria bila kuweka ushahidi wa Kiimani akaja juu..

Hebu Niambie Utamwambiaje Mhindu au Mchina kwamba Hiyo ilikuwa ni Ardhi ya wayahudi ukitumia kitabu ambacho sio cha Historia ila ni cha kidini yeye asichokiamini??

Kuna changamoto ya Kuamini kuwa ile ilikuwa ardhi yao na ndo maana Katika Ku establish Taifa hilo Waliingizwa kwanza Watu wengi sana Kutoka sehemu mbalimbali walioHisiwa kuwa ni wayahudi na wakapelekwa hiyo sehemu halafu wakaomba kuwa state kwa waingereza Wakapewa..

Huku Palestine ikiwa Muda kihistoria ni eneo lao ikanyimwa na ndio ugomvi ulipo mpaka leo palestine Ni ardhi yao kutumia Historia na wale wanadai ni Ardhi yao Kupitia TANAKH na Biblia na maandiko yao ya Kidini kwahyo ngoma Ngumu
 
Marekani wameishachelewa sana Iran yupo mbali saizi uwezi kumtisha tena.
Kuna watu huwa akili zao zimeganda na wamarekani ni wa moja wao haswa hao waliopo Pentagon.

US wananikumbusha bwege mmoja alikuwa anasema mwanamke wa kinyiramba akikunyima, ujue una mkosi kweli kaoge maji ya baharini. Anadhani wanyiramba wote ndio wako sawa. Exactly kama US anadhani bado watu wajinga, watamuogopa anapigana yeye afu anasema sikuhusika wala sikumsaidia IsraelπŸ˜„
 
Kama ni kweli basi Marekani imeiga kwa Irani hii tabia ya kununua ugomvi!
 
Man to man ndio nini!? Kupigwa ni kupigwa tu! Kwani vita ilianzaje hii!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…