Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Hapo maana yake ni nini sasa, mimi nadhani maana yake wayahudi hawakuficha picha za uharibifu, Ila Ayatola anazificha, anaishia tu kusema wmeuawa wanajeshi wanne...

Tumwambie aweke picha.
😂😂😂😂😂Maana yake hakuna madhara makubwa yaliyotegemewa.
BBC ilitangaza maafa ya shambulio la Iran ndani ya Israel Oktoba mosi.
Ila mbona hadi leo ukienda BBC huoni news zozote za maafa kwa Iran!?
Na BBC iko operational ndani ya Tehran.
 
madhara ya Israel kwa Iran mara hii sio makubwa nadhan Iran wanatafakari lakini hawamuogopi kenge yeyote wanaweza kushambuliwa hao US hasa kwenye base zao huko Iraq
Wajaribu kama hatujamwona Ayatollah kwenye kifusi akijaribu kuipiga drone kwa fimbo, kama kijana wake aliyewahishwa peponi
 
Hapo maana yake ni nini sasa, mimi nadhani maana yake wayahudi hawakuficha picha za uharibifu, Ila Ayatola anazificha, anaishia tu kusema wmeuawa wanajeshi wanne...

Tumwambie aweke picha.
Hao jamaa ni wabishi mno, yaani leo hii wanaamini media ambayo kila siku huwa wanaiponda humu ndani
 
Wajaribu kama hatujamwona Ayatollah kwenye kifusi akijaribu kuipiga drone kwa fimbo, kama kijana wake aliyewahishwa peponi
Mara ngapi hizo base zinashambuliwa mpaka baadhi ya wanajeshi wa US wamerejeshwa na vilema em fuatilia mkuu acha ushabiki, Iran sasaiv sio ile enzi za sadam Iran wanajiamini na wanauwezo, jaribu kujifunza nyuma Iran kuna nani kwa sasa
 
😂😂😂😂😂Maana yake hakuna madhara makubwa yaliyotegemewa.
BBC ilitangaza maafa ya shambulio la Iran ndani ya Israel Oktoba mosi.
Ila mbona hadi leo ukienda BBC huoni news zozote za maafa kwa Iran!?
Na BBC iko operational ndani ya Tehran.
Kwani hapa tunabishana nini?

Kwamba hakuna madhara?
Yaani madege mia moja ya kijeshi yashushe makombora kwa muda wa masaa matatu, halafu pasiwepo madhara?

Yaani hata wewe kwa akili yako tu ndogo ya kiislamu unaona hili linawezekana?
 
Hii Nayokupa Hapa Chini Ni Movements Ya How Taifa la Israel Lilianzishwa.. ni History kidogo...

1.Zionist Movement (Late 19th Century)

Modern efforts to establish a Jewish state began with the rise of the Zionist movement in the late 19th century, led by figures like Theodor Herzl. Zionists aimed to create a national homeland for Jewish people in response to increasing anti-Semitism in Europe. This movement gained momentum among Jews in Europe and beyond.


2.British Involvement and the Balfour Declaration (1917)

During World War I, the British government issued the Balfour Declaration, which expressed support for the establishment of a "national home for the Jewish people" in Palestine. Following the war, the British took control of Palestine under a League of Nations mandate, governing the region from 1920 to 1948.


3. Growing Tensions and Migration (1930s-1940s)

Increasing anti-Semitism, particularly with the rise of the Nazis in Germany, led many Jews to migrate to Palestine. Tensions between Jewish and Arab communities grew, fueled by conflicting nationalist aspirations and the rising number of Jewish immigrants.


4. United Nations Partition Plan (1947)

After World War II and the Holocaust, there was strong international support for a Jewish state. The United Nations proposed a partition plan to create separate Jewish and Arab states in Palestine. While Jewish leaders accepted the plan, Arab leaders rejected it, leading to increasing conflicts.


5. Declaration of the State of Israel (1948)

On May 14, 1948, David Ben-Gurion, head of the Jewish Agency, declared the establishment of the State of Israel. The British mandate ended the next day, and the new state was immediately recognized by several countries, including the United States and the Soviet Union.


Unapingaje Ukweli Mkuu
1
 
Bado mnasema Israel ndo Taifa Lenye Nguvu...
Anakupiga Mtu halafu onyo anatoa Mwingine Ole wako umrudishie 🤣🤣..
Ina maana anajua Ukimrudishia Watu watajua kuwa hana Nguvu 🤣🤣 kama anavyosifiwa
Anakusaidia tu kujua uwezo wa adui yako, usije ukang'olewa meno.
 
Watu wanaona Iran ni nchi ya kupush over ..vita ikianza nakuhakikishia zile carrier pale hazirasogea pale karibu maana kuzamishwa ni dakika zisizo zidi 5 tu
US anadhani ni yeye peke ndio ana silaha, hapo ananikumbusha watani zangu wasukuma, na ile chagulaga wanadhania kila mwanamke wa kisukuma atabaki na ule ujinga, eti mnajipanga wanaume afu mnamuambia chagulaga. Hawajui siku hizi kuna wasichana wakisukuma wanafata dini ya kislamu, wengine wana ma PhD wanadhania watabaki na ule ujinga wakukimbizana. Ndio US anadhani akimtisha Iran watamuogopa na huto tu Carriers twake na tundege twake F35 na B2 😄
 
Lakini mkuu, si umesema kwamba Jewish kingdoms existed on the area before common era, kabla hawajashindwa vita na kutawanyika?

Kumbe sasa ile ardhi ilikuwa kweli ni ya wayahudi na walikuwa na haki ya kurudi pale, hili unalionaje mkuu?
BCE ile ardhi ilikuwa Ni ya Roman Empire na hata Kipindi cha Yesu Ilikuwa Chini Ya Roman Empire ila sio yao Walijaribu Kutaka Uhuru Wao kipindi Hicho ila kwa bahati Mbaya wakajikuta Wanakula Kichapo kutoka kwa Warumi..

Soma "Antiquities of the Jews" kitabu kilichoandikwa na Mwanahistoria maarufu Myahudi Flavius Josephus..

Na Utakuta Jewish War au JW ambayo ilidumu kwa Muda mrefu mpaka wakina Simon Bar Kokhba Kuuliwa na Kuaribiwa kwa Hekalu la Wayahudi ambalo mpaka leo halijajengwa

So Haikuwahi kuwa Ardhi yao ikumbukwa Miaka kadhaa nyuma Walienda Hapo baada ya kutoka Utumwani Babilon miaka ya 3000 iliyopita..

So ilikuwa ni Ardhi yao Kwenye kipindi cha miaka 4000 iliyopita kipindi cha Kina Abrahamu na Kina Isaka na Yakobo baada ya hapo Haikuwahi kuwa Ardhi yao na Ushahidi wa Kuwa Ilikuwa Ardhi Yao unabaki kuwa Kwenye Vitabu vya Dini peke yake na sio Historia..

Na ndo maana Nimemwambia jamaa mmoja anithibitishie Hapo juu Kihistoria bila kuweka ushahidi wa Kiimani akaja juu..

Hebu Niambie Utamwambiaje Mhindu au Mchina kwamba Hiyo ilikuwa ni Ardhi ya wayahudi ukitumia kitabu ambacho sio cha Historia ila ni cha kidini yeye asichokiamini??

Kuna changamoto ya Kuamini kuwa ile ilikuwa ardhi yao na ndo maana Katika Ku establish Taifa hilo Waliingizwa kwanza Watu wengi sana Kutoka sehemu mbalimbali walioHisiwa kuwa ni wayahudi na wakapelekwa hiyo sehemu halafu wakaomba kuwa state kwa waingereza Wakapewa..

Huku Palestine ikiwa Muda kihistoria ni eneo lao ikanyimwa na ndio ugomvi ulipo mpaka leo palestine Ni ardhi yao kutumia Historia na wale wanadai ni Ardhi yao Kupitia TANAKH na Biblia na maandiko yao ya Kidini kwahyo ngoma Ngumu
 
Marekani wameishachelewa sana Iran yupo mbali saizi uwezi kumtisha tena.
Kuna watu huwa akili zao zimeganda na wamarekani ni wa moja wao haswa hao waliopo Pentagon.

US wananikumbusha bwege mmoja alikuwa anasema mwanamke wa kinyiramba akikunyima, ujue una mkosi kweli kaoge maji ya baharini. Anadhani wanyiramba wote ndio wako sawa. Exactly kama US anadhani bado watu wajinga, watamuogopa anapigana yeye afu anasema sikuhusika wala sikumsaidia Israel😄
 
Aibu kubwa mno hii kwa Israel,
Ndio tuseme Marekani imenunua ugomvi!?
Wanaopanga mikakati ya Vita ni marekani,wanaotoa bajeti ya vita ni marekani,silaha zinazotumika vitani ni zamarekani,wanaoilinda Israel ni wamarekani, wanaotoa tathmin ya madhara na kutoa vitisho kwa Iran ni viongozi wa ngazi za juu wa Marekani,wanachodhamini Israel ni uwanja wa Vita tu. Kusema vita vya Israel na Iran ni ubatili.
Kama ni kweli basi Marekani imeiga kwa Irani hii tabia ya kununua ugomvi!
 
Hii vita inajulikana Iran anapigana na Marekani na washirika wake wala sio Israel.

Yaani Iran asimame na Israel man to man jua halitazama kabla Israel haijafutwa na Iran.

Kwahiyo Iran kasimama peke yake huku wazungu wote wa Ulaya hasa magharibi wameungana kuisaidia Israel.
Man to man ndio nini!? Kupigwa ni kupigwa tu! Kwani vita ilianzaje hii!?
 
Back
Top Bottom