Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wakiwa wanapambana akina nani dhidi ya nani?amakweli sasa naanza kuamini israel ndo itakayokuwa chanzo cha vita ya 3 ya dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiwa wanapambana akina nani dhidi ya nani?amakweli sasa naanza kuamini israel ndo itakayokuwa chanzo cha vita ya 3 ya dunia
Mrussi nyuma ya muiran kamwe USA awezi kufanya kitu kikafanikiwa kuitikisa iran ....mrussi huwa hana maneno mengi ...yeye akimwambia iran shambulia ni kimya kimya mtashangaa tu muiran anashambulia kumbe mrussi yupo nyuma ya hayo maagizo ...pia ukitazama wanacho kifanya USA NA ISRAEL ni kama kujikosha tu ukweli ni kwamba lileshambulio lilikuwa la uoga na kujikosha kwa USA na NATO na ISRAEL hivyo wanaogopa kama iran ikijibu basi itabidi wajikoshe tena kwa kujidai kufanya shambulio lingine uchwara....tujiulize imekuwaje ISRAEL na USA walidhike na kashambulio uchwara kiasi kile 🙄 nikama katoto kanadanganywa na mama yake kwa kuambiwa tema tumchape ....Aisee lilikuwa suala la musa kwa Iran, now picha inasafishwa negative soon tutaiona printed 😀!.
Umeandika kwa komedi au unamaanisha ulichokiandika?Ukimuona Putin mwambie wa Ukraine wanamsabahi.Mrussi nyuma ya muiran kamwe USA awezi kufanya kitu kikafanikiwa kuitikisa iran ....mrussi huwa ana maneno mengi ...yeye akimwambia iran shambulia ni kimya kimya mtashangaa tu muiran anashambulia kumbe mrussi yupo nyuma ya hayo maagizo ...pia ukitazama wanacho kifanya USA NA ISRAEL ni kama kujikosha tu ukweli ni kwamba lileshambulio lilikuwa la uoga na kujikosha kwa USA na NATO na ISRAEL hivyo wanaogopa kama iran ikijibu basi itabidi wajikoshe tena kwa kujidai kufanya shambulio lingine uchwara....tujiulize imekuwaje ISRAEL na USA walidhike na kashambulio uchwara kiasi kile 🙄 nikama katoto kanadanganywa na mama yake kwa kuambiwa tema tumchape ....
Ningekupa elimu ...sema basi...kwanza putin kesha chukua ukrain yote hadi sasa niulize kivipi ? Kuna kete putin ajaisukuma tu... akiisukuma ukrain yote inakuwa yake bila ya vita ni kete ya uhakika kwa asilimia 100...niulize ni kete gani? Kama hapa JF kuna mtu jinius kama mimi aniambie ni kete gani hiyo... nitamtumia vocha sasa hivi.....Umeandika kwa komedi au unamaanisha ulichokiandika?Ukimuona Putin mwambie wa Ukraine wanamsabahi.
Aache upuuzi, sasa nini maana ya kuwa na Jeshi.Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni
US defense chief: Iran ‘should not make the mistake of responding to Israel’s strikes’
By Reuters
“Iran should not make the mistake of responding to Israel’s strikes, which should mark the end of this exchange,” Austin says in a statement.
Hahaha Israel kama Taifa na Biblia (Imani) wapi na wapiIsaya 60:9-10
[9]Hakika yake visiwa vitaningojea,
Na merikebu za Tarshishi kwanza,
Ili kuleta wana wako kutoka mbali,
Na fedha yao na dhahabu yao pamoja nao,
Kwa ajili ya jina la BWANA, Mungu wako,
Kwa ajili yake Mtakatifu wa Israeli,
Kwa kuwa amekutukuza wewe.
[10]Na wageni watajenga kuta zako,
Na wafalme wao watakuhudumu;
Maana katika ghadhabu yangu nalikupiga,
Lakini katika upendeleo wangu nimekurehemu.
Hao USA wanajipendekeza kama Neno la Mungu linavyosema
Masikini mnatabu sanaNingekupa elimu ...sema basi...kwanza putin kesha chukua ukrain yote hadi sasa niulize kivipi ? Kuna kete putin ajaisukuma tu... akiisukuma ukrain yote inakuwa yake bila ya vita ni kete ya uhakika kwa asilimia 100...niulize ni kete gani? Kama hapa JF kuna mtu jinius kama mimi aniambie ni kete gani hiyo... nitamtumia vocha sasa hivi.....
Onyo la kwanza kwa Iran lilitolewa na IDF kabla ya shambulio, walipoitaarifa Iran maeneo watakayoyapiga, na muda watakaopiga. Osrael iliiambia Iran kuwa itapiga maeneo ya kijeshi pekee, lakini ili ibakie hivyo, Iran isithubutu kujibu mashambulizi.Bado mnasema Israel ndo Taifa Lenye Nguvu...
Anakupiga Mtu halafu onyo anatoa Mwingine Ole wako umrudishie 🤣🤣..
Ina maana anajua Ukimrudishia Watu watajua kuwa hana Nguvu 🤣🤣 kama anavyosifiwa
Kwa hiyo wakae washambuliwe hadi Israel atosheke?Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni
US defense chief: Iran ‘should not make the mistake of responding to Israel’s strikes’
By Reuters
“Iran should not make the mistake of responding to Israel’s strikes, which should mark the end of this exchange,” Austin says in a statement.
Mbona kipindi kile Urusi pia aliionya Israel isijaribu kujibu shambulizi la Iran. Kila upande una supporters wake so tulizeni mishonoSasa nimeelewa kumbe hii fire exchange sio baina ya Iran na Israel, badala yake ni US na Iran
Nafikiri hii kuimarisha mahusiano na Urusi ni sehemu ya walichojifunza. Sadam alitelekezwa mwenyewe sawa na GaddafiSasa,Iran na washirika wake kuna kitu walijifunza?
Hii Nayokupa Hapa Chini Ni Movements Ya How Taifa la Israel Lilianzishwa.. ni History kidogo...Kwenye "kuanzisha" taifa la Israeli nakupinga.
Unadhani Urusi anaweza kuwa msaada kwao ilhali Urusi nao wanasaidiwa silaha kutoka Korea Kaskazini na hata haohao Iran?Nafikiri hii kuimarisha mahusiano na Urusi ni sehemu ya walichojifunza. Sadam alitelekezwa mwenyewe sawa na Gaddafi
Hebu jifunze kutofautisha mambo.Hii Nayokupa Hapa Chini Ni Movements Ya How Taifa la Israel Lilianzishwa.. ni History kidogo...
1.Zionist Movement (Late 19th Century)
Modern efforts to establish a Jewish state began with the rise of the Zionist movement in the late 19th century, led by figures like Theodor Herzl. Zionists aimed to create a national homeland for Jewish people in response to increasing anti-Semitism in Europe. This movement gained momentum among Jews in Europe and beyond.
2.British Involvement and the Balfour Declaration (1917)
During World War I, the British government issued the Balfour Declaration, which expressed support for the establishment of a "national home for the Jewish people" in Palestine. Following the war, the British took control of Palestine under a League of Nations mandate, governing the region from 1920 to 1948.
3. Growing Tensions and Migration (1930s-1940s)
Increasing anti-Semitism, particularly with the rise of the Nazis in Germany, led many Jews to migrate to Palestine. Tensions between Jewish and Arab communities grew, fueled by conflicting nationalist aspirations and the rising number of Jewish immigrants.
4. United Nations Partition Plan (1947)
After World War II and the Holocaust, there was strong international support for a Jewish state. The United Nations proposed a partition plan to create separate Jewish and Arab states in Palestine. While Jewish leaders accepted the plan, Arab leaders rejected it, leading to increasing conflicts.
5. Declaration of the State of Israel (1948)
On May 14, 1948, David Ben-Gurion, head of the Jewish Agency, declared the establishment of the State of Israel. The British mandate ended the next day, and the new state was immediately recognized by several countries, including the United States and the Soviet Union.
Unapingaje Ukweli Mkuu
Ukweli unapodhihiri uongo hujitengaIsrael ni marekani iliyosegelea rasilimali zake wanazozitunza waarabu
Kwani Israel Ilikuwepo Hapo kabla?Hebu jifunze kutofautisha mambo.
Walilianzisha taifa la Israeli AU
Walipanga kuwarudisha kwenye ardhi yao ya tangu mababu zao?
Hapo hakuna jipya ulilonielekeza.Sijawahi kukubaliana na justifications za hovyo namna hiyo.
Marekani ilikuwa koroni la uingereza kwa miaka mikini. Hivyo ni watu wenye uhusiano wa kidamu piaUkweli unapodhihiri uongo hujitenga
Sasa hivi mnaandika kwa kujiamini kabisa;kama Israel ni marekani na Uingereza ni nani!?