Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo nini ushauri wako wa mwisho kwa Iran?Hii vita inajulikana Iran anapigana na Marekani na washirika wake wala sio Israel.
Yaani Iran asimame na Israel man to man jua halitazama kabla Israel haijafutwa na Iran.
Kwahiyo Iran kasimama peke yake huku wazungu wote wa Ulaya hasa magharibi wameungana kuisaidia Israel.
Usifananishe Saddam na IRAN.Hata Saddam alirusha scuds mpaka akasifiwa zaidi ya kuwa praised god!Hatimaye akanyongwa hadharani huku anatukana hovyo na kulia kama katoto.
Iran tulioaminishwa ina nguvu sio hii kabisa, imewavunja moyo kabisaaIsrahell buuure Kabisaaaa
Urusi kapeleka silaha kibao pamoja na AD za kutosha, kwahyo Iran nae ombaomba tu hamna kitu paleHii vita inajulikana Iran anapigana na Marekani na washirika wake wala sio Israel.
Yaani Iran asimame na Israel man to man jua halitazama kabla Israel haijafutwa na Iran.
Kwahiyo Iran kasimama peke yake huku wazungu wote wa Ulaya hasa magharibi wameungana kuisaidia Israel.
Nini kitashindikana kama mlengwa akili zake ni zilezile na mbinu hizohizo?Usifananishe Saddam na IRAN.
Saddam walimuekea vikwazo vya kiuchumi na silaha on top of that wakam disarm kwa kisingizio Cha kua ana silaha za sumu na maangamizi. Baada ya kuona hana tena silaha hatari na ndipo wakampiga mande na hakuna nchi iliyoingilia zaidi ya kulaani tu.
Mnadhani mazingira yale yatajirudia kwa IRAN?
Acha hizi ndoto kijana! Russia anashughulishwa na NATO kwenye vita vyake ba Ukraine.Mrussi nyuma ya muiran kamwe USA awezi kufanya kitu kikafanikiwa kuitikisa iran ....mrussi huwa hana maneno mengi ...yeye akimwambia iran shambulia ni kimya kimya mtashangaa tu muiran anashambulia kumbe mrussi yupo nyuma ya hayo maagizo ...pia ukitazama wanacho kifanya USA NA ISRAEL ni kama kujikosha tu ukweli ni kwamba lileshambulio lilikuwa la uoga na kujikosha kwa USA na NATO na ISRAEL hivyo wanaogopa kama iran ikijibu basi itabidi wajikoshe tena kwa kujidai kufanya shambulio lingine uchwara....tujiulize imekuwaje ISRAEL na USA walidhike na kashambulio uchwara kiasi kile 🙄 nikama katoto kanadanganywa na mama yake kwa kuambiwa tema tumchape ....
Trump akiingia white house nakuhakikishia Iran inaenda kuwa kama iraq ya Saddam HusseinUsifananishe Saddam na IRAN.
Saddam walimuekea vikwazo vya kiuchumi na silaha on top of that wakam disarm kwa kisingizio Cha kua ana silaha za sumu na maangamizi. Baada ya kuona hana tena silaha hatari na ndipo wakampiga mande na hakuna nchi iliyoingilia zaidi ya kulaani tu.
Mnadhani mazingira yale yatajirudia kwa IRAN?
Na silaha zenyewe nao wanaomba kutika N.Korea.Acha hizi ndoto kijana! Russia anashughulishwa na NATO kwenye vita vyake ba Ukraine.
Hawezi kwa sasa kumpa back up Iran labda silaha tu.
Katuni mpya ya tom and Jerry imetoka fanya haraka kuitafuta unapotezKwa hiyo,ukitulia unaona muungano huo waa muda wako jf badara ya kuangalia katuni BRICS utakuwa na ubavu kwa USA achilia mbali Ulaya?
Tumia akili vita vikitokea na iran nato ndiyo wanapata tabu kule ukrain...ndiyo maana marekani analia sana kwa Israel asichochee vitaAcha hizi ndoto kijana! Russia anashughulishwa na NATO kwenye vita vyake ba Ukraine.
Hawezi kwa sasa kumpa back up Iran labda silaha tu.
Asante sana!Kumbe una uelewa mzuri tu.Vema.Kwanza unajua imani ni historia inayokuwepo katika jamii kwa masimulizi,mafundisho,hadithi na mapokeo?Kama ni hivyo,kwa nini hao waliokukataza usigeuke nyuma wanakulazimisha uione historia imeanza mwaka 1948 tu na si vinginevyo?Kwa nini na wewe hujishughulishi kurudi nyuma kadiri uwezavyo ili kujiweka huru?Uliandika kuhusu Israeli kuvamiwa na kupotezwa na dola kama Rumi na Ottoman.Je,waliisha na kutoweka?Hiyo ardhi waliyoondolewa kimapigano kwamba waliisahau kabisa?Ni mara ngapi kihistoria Israeli walishindwa vita na aidha kutwaliwa utumwani au kuishi mafichoni na baadaye kurudi palepale kwenye ardhi yao?Kama umeisoma historia yao,ni kipi cha ajabu wao kurudi tena kwao nchi yao ya asili,Israeli?Usifungwe na historia za wasanii.Iache akili yako ichakate mambo kwa uhuru bila kulazimishwa uelekeo.
Teh teh teh hapo Ukraine kuna niniMrussi nyuma ya muiran kamwe USA awezi kufanya kitu kikafanikiwa kuitikisa iran ....mrussi huwa hana maneno mengi ...yeye akimwambia iran shambulia ni kimya kimya mtashangaa tu muiran anashambulia kumbe mrussi yupo nyuma ya hayo maagizo ...pia ukitazama wanacho kifanya USA NA ISRAEL ni kama kujikosha tu ukweli ni kwamba lileshambulio lilikuwa la uoga na kujikosha kwa USA na NATO na ISRAEL hivyo wanaogopa kama iran ikijibu basi itabidi wajikoshe tena kwa kujidai kufanya shambulio lingine uchwara....tujiulize imekuwaje ISRAEL na USA walidhike na kashambulio uchwara kiasi kile 🙄 nikama katoto kanadanganywa na mama yake kwa kuambiwa tema tumchape ....
Sorry.Sijaelewa hilo neno katuni sikuliandika.Sijajua limetokea wapi.Katuni mpya ya tom and Jerry imetoka fanya haraka kuitafuta unapotez
Tumia akili vita vikitokea na iran nato ndiyo wanapata tabu kule ukrain...ndiyo maana marekani analia sana kwa Israel asichochee vita
Iliwasaidia mwanzoni kwanini isiwe sasa?Wingi si hoja.Wana nini?Umoja ni nguvu kwenye kuvunja kuni tu na siyo mambo ya maendeleo,teknolojia na uvumbuzi.
Hiyo ni tofauti.Watadai nchi ambayo wamo humohumo kivipi sasa?Labda ungeeleza kwamba wawakatae wageni wabaki wao tu.Asante sana!
Hapo Zamani Marekani Ilikuwa inakaliwa na Wahindi wekundu au Tunaweza Kuita Red Indian au Red indians..
Na Ilikuwa Ikiitwa Turtle Island Vipi na wenyewe Wanaruhusiwa Kurudi na Kudai Nchi yao kutoka kwa Wamarekani baada ya kukaliwa kwa Miaka zaidi ya 800 bila Wao kuitawala?
Iliwasaidia kipi hicho?Iliwasaidia mwanzoni kwanini isiwe sasa?
We siuseme ukweli tu kuwa upo unaangalia katuni ya tom and Jerry 😁😁😁😁😁😁Sorry.Sijaelewa hilo neno katuni sikuliandika.Sijajua limetokea wapi.
Pitia kidogo juu ya Cold WarIliwasaidia kipi hicho?