Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwa hiyo unanipangia kutoa uthibitisho kwa ukitakacho wewe?Imani na historia zinaenda pamoja.Kwa nini uchague kimoja na ukatae kingine?Unataka kubumbabumba nini hapo?Kwani Israel Ilikuwepo Hapo kabla?
Unaweza Kuthibitisha Tukiondoa Swala la Vitabu vya Kiimani?
Unaweza kuthibitisha Kihistoria Uwepo wa Taifa la Israel kabla ya Miaka hiyo..
Nataka Tukuze mjadala...Na tufungue Mikono iliyowazi
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 nimecheka sanaaaa aiseeAisee lilikuwa suala la musa kwa Iran, now picha inasafishwa negative soon tutaiona printed 😀!.
Hapana Sina Lengo la Kubumba Ila Uliposema Imani Na Historia zinaenda Pamoja Kidogo napata Mashaka (Samahani kwa kusema hivyo)..Kwa hiyo unanipangia kutoa uthibitisho kwa ukitakacho wewe?Imani na historia zinaenda pamoja.Kwa nini uchague kimoja na ukatae kingine?Unataka kubumbabumba nini hapo?
Mashindwi yapo kaka?USA haiiwezi Iran.Naandika haya nikiwa nakamua mawese hapa kijiji cha Kumshindwi-Kigoma.
Kwa kawaida genius ninapo shusha nondo huwa watu wenye akili ndogo huanza kwa kushangaa na kustaajabu kama wewe ila nikisha shusha nondo wote wanabaki kimya ..ni kweli urussi amekwisha kuichukua ukrain yote tena hiyo kete putin anaijua na waukrain wanaijua na NATO wanaijuaOoh haya sasa masihara, ushakunywa double kick unaiona Ukraine kama kigamboni hv
Aibu kubwa mno hii kwa Israel,Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni
US defense chief: Iran ‘should not make the mistake of responding to Israel’s strikes’
By Reuters
“Iran should not make the mistake of responding to Israel’s strikes, which should mark the end of this exchange,” Austin says in a statement.
Kumbe una uelewa mzuri tu.Vema.Kwanza unajua imani ni historia inayokuwepo katika jamii kwa masimulizi,mafundisho,hadithi na mapokeo?Kama ni hivyo,kwa nini hao waliokukataza usigeuke nyuma wanakulazimisha uione historia imeanza mwaka 1948 tu na si vinginevyo?Kwa nini na wewe hujishughulishi kurudi nyuma kadiri uwezavyo ili kujiweka huru?Uliandika kuhusu Israeli kuvamiwa na kupotezwa na dola kama Rumi na Ottoman.Je,waliisha na kutoweka?Hiyo ardhi waliyoondolewa kimapigano kwamba waliisahau kabisa?Ni mara ngapi kihistoria Israeli walishindwa vita na aidha kutwaliwa utumwani au kuishi mafichoni na baadaye kurudi palepale kwenye ardhi yao?Kama umeisoma historia yao,ni kipi cha ajabu wao kurudi tena kwao nchi yao ya asili,Israeli?Usifungwe na historia za wasanii.Iache akili yako ichakate mambo kwa uhuru bila kulazimishwa uelekeo.Hapana Sina Lengo la Kubumba Ila Uliposema Imani Na Historia zinaenda Pamoja Kidogo napata Mashaka (Samahani kwa kusema hivyo)..
Maana kuna Viti vingi ambavyo Kihistoria Havipo Ila kiimani Vipo..Ni Vingi sana na Vingine Kiimani Havipo ila Kihistoria Vipo..
Lets Stick to Israel Nation on Political History na Sio kwamba Nakupangia Just Clarification tu mkuu...
Na Kuweka Sawa baadhi ya Mambo Usione kama Napinga au nakupangia Just Naweka sawa mambo..
Before 1948, there was no known political entity officially known as the "State of Israel." Nafikiei hata wewe Unajua
The concept of a Jewish nation-state in the land of historic Israel existed mainly as an aspiration rather than as a political reality.
hii ndo Hiyo Historical View
1. Ancient Israel and Judea (Before Common Era)
There were early Jewish kingdoms in the region, notably the Kingdom of Israel and the Kingdom of Judah. These entities existed approximately from the 10th to 6th centuries BCE but fell to empires such as the Assyrians, Babylonians, and later the Romans.
2. Roman and Byzantine Rule (1st Century BCE – 7th Century CE)
The area became part of the Roman Empire, which renamed it "Provincia Judaea." After the Jewish-Roman wars, Rome suppressed Jewish revolts and renamed the region "Syria Palaestina" to minimize Jewish identification with the land.
Jewish political autonomy in the region effectively ended, but small Jewish communities remained.
3. Islamic and Ottoman Periods (7th Century – 1917)
After the Muslim conquests in the 7th century, the region became part of various Islamic empires, including the Umayyad, Abbasid, and Fatimid caliphates.
The Ottoman Empire ruled the area from 1517 until World War I. Under Ottoman rule, the region was part of "Southern Syria" and included diverse communities of Arabs, Jews, Christians, and others, but there was no political entity called "Israel."
4. British Mandate of Palestine (1920 – 1948)
After World War I, the League of Nations granted Britain control over Palestine. This mandate aimed to prepare the region for independence, guided by the terms of the Balfour Declaration (1917), which supported a "Jewish national home" in Palestine.
During this period, Jewish immigration increased, and tensions between Jews and Arabs grew. Jews organized politically and militarily, laying foundations for self-governance.
sasa Ulitakiwa Kujiuliza kwanini During British Mandate of Palestine ndo kuwa na Jews Wengi sana wanaoingia Hapo Palestine na kusema Ni mji wao..
Sipo kutetea Waarabu au Chochote ila nipo kutetea History iliyopo
5. UN Partition Plan and Independence (1947–1948)
In 1947, the United Nations proposed a partition plan to create separate Jewish and Arab states in Palestine, but there was no official Jewish state or recognized nation-state of Israel at this time.
In 1948, the Jewish leadership, led by David Ben-Gurion, declared the independence of the modern State of Israel. This declaration was internationally recognized by some countries, marking the first official establishment of Israel as a nation-state.
So that is the History how Israel Got its State
Ndiyo, kama Urusi wameonyesha hadi noti ya Brics wakitaka kuondoa utegemezi kwa dola itakua sahihi kuassume kwamba wanahitaji wanachama zaidi katika hili kusudio. Iran hatonyimwa msaada ila hautakua mkubwa au hautakuja kwa wakatiUnadhani Urusi anaweza kuwa msaada kwao ilhali Urusi nao wanasaidiwa silaha kutoka Korea Kaskazini na hata haohao Iran?
Kwa hiyo,ukitulia unaona muungano huo wa BRICS utakuwa na ubavu kwa USA achilia mbali Ulaya?Ndiyo, kama Urusi wameonyesha hadi noti ya Brics wakitaka kuondoa utegemezi kwa dola itakua sahihi kuassume kwamba wanahitaji wanachama zaidi katika hili kusudio. Iran hatonyimwa msaada ila hautakua mkubwa au hautakuja kwa wakati
kwa sababu nato iko upande wa israel na brcs iko upande wa palestina kama unaakili timamu nadhani ushagundua na maanisha niniWakiwa wanapambana akina nani dhidi ya nani?
Sidhani kama itakuingia akilini leo hii,Waarabu wa Oman wakianza kudai Zanzibar ni nchi yao na wapo tayari kuitetea kwa namna yoyote ile iwayo!Marekani ilikuwa koroni la Israel kwa miaka mikini. Hivyo ni watu wenye uhusiano wa kidamu pia
Ni mimi huyo genius ninaye jitangaza ili nipate wabishi ili wanithibitishe wenyewe ...hiyo ni kweli urussi amekwisha ichukua ukrain yote tena hiyo kete akisukuma wala hatumii silaha yoyote..kuichukua ukrain...Tokalini genius akajitangaza, nitolee upumbavu apa.., umeandika ugoro mtupu
Nilichogundua ni kwamba bado hata kanuni za uandishi hauzijui.Kwa hiyo kukuelewa inahitajika kamusi na karatasi ya kuchambua sentensi zako.kwa sababu nato iko upande wa israel na brcs iko upande wa palestina kama unaakili timamu nadhani ushagundua na maanisha nini
In a long run nafikiri wanaweza kufikia huko. Kwakua kipindi cha vita baridi East & co iliweza kutishana na Us & co na kilichofanya wawe na uwezo huo ni pamoja na kua wengi basi hata safari hii nafikiri wingi wao utawabebaKwa hiyo,ukitulia unaona muungano huo wa BRICS utakuwa na ubavu kwa USA achilia mbali Ulaya?
Wingi si hoja.Wana nini?Umoja ni nguvu kwenye kuvunja kuni tu na siyo mambo ya maendeleo,teknolojia na uvumbuzi.In a long run nafikiri wanaweza kufikia huko. Kwakua kipindi cha vita baridi East & co iliweza kutishana na Us & co na kilichofanya wawe na uwezo huo ni pamoja na kua wengi basi hata safari hii nafikiri wingi wao utawabeba
Huwezi kutofautisha kwasababu Israel imeundwa na wazungu hasa Wamarekani na Waingereza mwaka 1948 ili wakalinde maslahi yao pale mashariki ya kati.Unaitofautishaje USA na Israel?Hebu tofautisha tuone mkuu.🤔
Yaani hao hao wazungu walioitunga biblia halafu waiogope tena biblia?Isaya 60:9-10
[9]Hakika yake visiwa vitaningojea,
Na merikebu za Tarshishi kwanza,
Ili kuleta wana wako kutoka mbali,
Na fedha yao na dhahabu yao pamoja nao,
Kwa ajili ya jina la BWANA, Mungu wako,
Kwa ajili yake Mtakatifu wa Israeli,
Kwa kuwa amekutukuza wewe.
[10]Na wageni watajenga kuta zako,
Na wafalme wao watakuhudumu;
Maana katika ghadhabu yangu nalikupiga,
Lakini katika upendeleo wangu nimekurehemu.
Hao USA wanajipendekeza kama Neno la Mungu linavyosema