Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Hii mikwara na tambo ni kwa pande zote. Utasikia iran nayo ikishambuli hujitatapa shambulio lisijibiwe. Sasa ni mwendo wa mikwara tu huku urusi naye akitia neno nyuma ya iran
 
Kwa hiyo nini ushauri wako wa mwisho kwa Iran?
 
Hata Saddam alirusha scuds mpaka akasifiwa zaidi ya kuwa praised god!Hatimaye akanyongwa hadharani huku anatukana hovyo na kulia kama katoto.
Usifananishe Saddam na IRAN.
Saddam walimuekea vikwazo vya kiuchumi na silaha on top of that wakam disarm kwa kisingizio Cha kua ana silaha za sumu na maangamizi. Baada ya kuona hana tena silaha hatari na ndipo wakampiga mande na hakuna nchi iliyoingilia zaidi ya kulaani tu.
Mnadhani mazingira yale yatajirudia kwa IRAN?
 
Urusi kapeleka silaha kibao pamoja na AD za kutosha, kwahyo Iran nae ombaomba tu hamna kitu pale
 
Nini kitashindikana kama mlengwa akili zake ni zilezile na mbinu hizohizo?
 
Acha hizi ndoto kijana! Russia anashughulishwa na NATO kwenye vita vyake ba Ukraine.
Hawezi kwa sasa kumpa back up Iran labda silaha tu.
 
Trump akiingia white house nakuhakikishia Iran inaenda kuwa kama iraq ya Saddam Hussein
 
Kwa hiyo,ukitulia unaona muungano huo waa muda wako jf badara ya kuangalia katuni BRICS utakuwa na ubavu kwa USA achilia mbali Ulaya?
Katuni mpya ya tom and Jerry imetoka fanya haraka kuitafuta unapotez
Acha hizi ndoto kijana! Russia anashughulishwa na NATO kwenye vita vyake ba Ukraine.
Hawezi kwa sasa kumpa back up Iran labda silaha tu.
Tumia akili vita vikitokea na iran nato ndiyo wanapata tabu kule ukrain...ndiyo maana marekani analia sana kwa Israel asichochee vita
 
Asante sana!
Hapo Zamani Marekani Ilikuwa inakaliwa na Wahindi wekundu au Tunaweza Kuita Red Indian au Red indians..

Na Ilikuwa Ikiitwa Turtle Island Vipi na wenyewe Wanaruhusiwa Kurudi na Kudai Nchi yao kutoka kwa Wamarekani baada ya kukaliwa kwa Miaka zaidi ya 800 bila Wao kuitawala?
 
Teh teh teh hapo Ukraine kuna nini
 
Katuni mpya ya tom and Jerry imetoka fanya haraka kuitafuta unapotez

Tumia akili vita vikitokea na iran nato ndiyo wanapata tabu kule ukrain...ndiyo maana marekani analia sana kwa Israel asichochee vita
Sorry.Sijaelewa hilo neno katuni sikuliandika.Sijajua limetokea wapi.
 
US kwa miongo mingi imekuwa ikimtafuta (kumlia timing) Iran ajae kwenye mfumo; sasa kama kweli huyu Muajemi ni kidume haya avurumishe makombora mengine ndani ya Islael.
 
Hiyo ni tofauti.Watadai nchi ambayo wamo humohumo kivipi sasa?Labda ungeeleza kwamba wawakatae wageni wabaki wao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…