Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Waliambiwa na Mungu wao...sababu wakiwaacha hawatoishi kwa amani.

Tuletee wewe historia inayoonyesha Israel haikuvamia hapo middle east, kwamba hapo nikwao.
Sikukubishia ila nilitaka utoe simulizi ieleweke.Kumbe waliambiwa na Mungu?Basi walipewa nchi hiyo na Mungu waitwae.
 
Isaiah 1:9-17 Yahweh called Israel Sodom, because it spreads evil and is unjust.
 
Sikukubishia ila nilitaka utoe simulizi ieleweke.Kumbe waliambiwa na Mungu?Basi walipewa nchi hiyo na Mungu waitwae.
Na baada ya kuitwaa walienda wapi, mpaka ikakaliwa na watu wengine?. Na Mungu wao ndio huyo aliewarudisha 1948?. Ambae Leo anaenzi ushoga udumu hapo nchini kwao au?.
 
Bado mnasema Israel ndo Taifa Lenye Nguvu...
Anakupiga Mtu halafu onyo anatoa Mwingine Ole wako umrudishie 🤣🤣..
Ina maana anajua Ukimrudishia Watu watajua kuwa hana Nguvu 🤣🤣 kama anavyosifiwa
Maneno yako ni kweli kabisa na katika kuongezea upande wangu kwani we unadhani Israel ndio kapiga huko Iran. Ndege zimetokea Gulf states ndio zimepiga hapo inaonyesha ni US ndio kapiga sio Isreal. We jiulize kwanini kabla ya siku hio ya kupiga US alipeleka F16 kutoka US kwenda Gulf states kama sio yeye kahusika.

Afu Iran huwa hamuogopi US hata US atishe vipi Iran akaitaka kupiga Israel hamuogopi US. Hivi US atafanya nini kwa Iran zaidi ya anacho fanya Yemen.
 
Bado mnasema Israel ndo Taifa Lenye Nguvu...
Anakupiga Mtu halafu onyo anatoa Mwingine Ole wako umrudishie 🤣🤣..
Ina maana anajua Ukimrudishia Watu watajua kuwa hana Nguvu 🤣🤣 kama anavyosifiwa
Mbona Backup ni issue ya kawaida, maana huyo aliyetoa onyo anavijinasaba vya kiyaudi. Mbona huyo Muajemi hasiejua kutengeneza hata Betri ya gari maana Teknolojia analetewa nae anapata backup kutoka Russia
 
Na baada ya kuitwaa walienda wapi, mpaka ikakaliwa na watu wengine?. Na Mungu wao ndio huyo aliewarudisha 1948?. Ambae Leo anaenzi ushoga udumu hapo nchini kwao au?.
Naamini umesimuliwa walienda wapi na kwa nini.Hao walioikalia nchi iliyoachwa na Israel walitokea wapi?.Kwani kabla hawajaifuata ardhi ya waisraeli walikuwa wanaishi wapi?Kwa nini wasirudi kwao kwa asili?Kuhusu ushoga,hiyo siyo hoja ya uzi au majadiliano haya.Ushoga ulianza miaka na miaka mfano tu kwenye biblia Sodoma na Gomorah umeelezwa.Labda ndiyo chaguo lao ingawa si wote.Sijajua hilo.
 
Waliambiwa na Mungu wao...sababu wakiwaacha hawatoishi kwa amani.

Tuletee wewe historia inayoonyesha Israel haikuvamia hapo middle east

Mshachelewa.
Uzuri wao Iran wana pesa ya mafuta ila ubongo sifuri, ndio sababu idara zao zote muhimu zina mawakala wa Israel, wanapata taarifa zote muhimu, mpaka kiongozi gani yupo wapi kwa muda muafaka, ndio maana kila wakishambulia mlengwa mochwari, iwe Lebanon, Syria, Gaza au Tehran, Ayatollah anaweza kuwa ndani ya target kwa sababu hata ile ajali ya iliyomuua Rais wao nina mashaka makubwa ni mkono wa hawa wataalam, kumbuka kulipua kwa pagers za Hezbullah na ajali fake iliyomuua Samora Machel wa Msumbiji miaka ya 80, balaa
 
Bado mnasema Israel ndo Taifa Lenye Nguvu...
Anakupiga Mtu halafu onyo anatoa Mwingine Ole wako umrudishie 🤣🤣..
Ina maana anajua Ukimrudishia Watu watajua kuwa hana Nguvu 🤣🤣 kama anavyosifiwa
Mbona Backup ni issue ya kawaida, maana huyo aliyetoa onyo anavijinasaba vya kiyaudi. Mbona huyo Muajemi hasiejua kutengeneza hata Betri ya gari maana Teknolojia analetewa nae anapata backup kutoka Russia
 
Israel baada ya kuchakaza vibaraka, sasa amegeukia godfather wao. Shambulio lolote la Irani kwa israeli litakua limetoa kibali cha israeli kutumia uwezo wake wote dhidi ya mfadhili wa magaidi ya kiislam
 
huyo waziri hana akili,hawawezi kuimaliza irani,wanapoteza muda wao bure
 
Mbona Backup ni issue ya kawaida, maana huyo aliyetoa onyo anavijinasaba vya kiyaudi. Mbona huyo Muajemi hasiejua kutengeneza hata Betri ya gari maana Teknolojia analetewa nae anapata backup kutoka Russia
Usiwe kila na shabiki kisai hiki hujui hata Russia anatumia kamikaze drone kutokea Iran

Hivi nyie mnaakili kweli?
 
Ayatollaah watamfanyia u P-Diddy haki ya nani, shauri yake naona anajitia kiburi, if Iran will retaliate, that will be the end of Iran..!!
 
Yaani hao hao wazungu walioitunga biblia halafu waiogope tena biblia?

Hayo uliyonukuu ni maneno ya kina Isaya ambao ni watu kama wewe sema wameileta kisomi zaidi ili kuwapumbaza wajinga kama wewe.
Eti nasikia quran ililetwa na allah kinyumenyume. Eti ni kweli yahee?
 
Yaan unasema Iran sifuri wakati dola ya uajemi imetawala mpaka huko ulaya. Huwajui waajemi wewe endelea kusoma udaku mitandaoni.

Ipo kwenye vikwazo Tangu 1979 mpaka Leo, lkn wanamaisha Bora kuliko ww ambae huna vikwazo vyovyote, wanaviwanda vya kila aina, wanatengeneza drone Bora na za Bei nafuu kuliko nchi yeyote Ile. Halafu unawaita wanaakili sifuri. Wewe ndio utakua na akili Sifuri.

Hao Israel unaowasema wanaishi kwa misaada hata budget yao inafadhiliwa na wahisani huku wakiwa mil 9 tu, halafu unalinganisha na nchi yenye watu mil 90 na inajitefmgemea kwa Kila kitu licha ya vikwazo kibao kutoka kwa mabwana wa Israel .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…