Uzuri wao Iran wana pesa ya mafuta ila ubongo sifuri, ndio sababu idara zao zote muhimu zina mawakala wa Israel, wanapata taarifa zote muhimu, mpaka kiongozi gani yupo wapi kwa muda muafaka, ndio maana kila wakishambulia mlengwa mochwari, iwe Lebanon, Syria, Gaza au Tehran, Ayatollah anaweza kuwa ndani ya target kwa sababu hata ile ajali ya iliyomuua Rais wao nina mashaka makubwa ni mkono wa hawa wataalam, kumbuka kulipua kwa pagers za Hezbullah na ajali fake iliyomuua Samora Machel wa Msumbiji miaka ya 80, balaa