Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Usiwe kila na shabiki kisai hiki hujui hata Russia anatumia kamikaze drone kutokea Iran

Hivi nyie mnaakili kweli?
Nani kakudanganya wewe huyo Rais aliekufa na helicopter, hiyo helicopter ilikuwa imetengenezwa USA yani wewe unahuasama na Myaudi alafu unatumia teknolojia yake. Muajemi anachojua zaidi ni kufuga ngamia na majini tu, hapo kwa kweli yupo vizuri.
 
Ndio wewe nikuulize baada yakuvamia nchi ya watu na kuamuliwa wawaue wenyeji watakaowakatu na Mungu wao wa mchongo ambae wao pia hawamuamini , walikua wakiishi wapi?. Umeambiwa ulete ushahidi nje vitabu vya dini kuonyesha kua hapo nikwao umekataa. Tuwekee basi maandiko yanayoonyesha hapo ninchi yao ya asili.
 
US kwa miongo mingi imekuwa ikimtafuta (kumlia timing) Iran ajae kwenye mfumo; sasa kama kweli huyu Muajemi ni kidume haya avurumishe makombora mengine ndani ya Islael.
Israhell mikwara kama wazayuni wa jf
 
Iran ilipize kisasi tuone super power atafanya nini.. 😂
Iran atalipizaje sasa?

Mitambo ya kutengeneza missile aliyoitoa China imeharibiwa.

Mifumo ya ulinzi wa anga aliyopewa na Putin nayo pia imeharibiwa.

Radar imelipuliwa ikateketezwa na mazayuni.

Sasa hivi analala uchi tu kama mwanamwali anayesubiri kupigwa pumbu.

Hii komenti wakiisoma marafiki zangu Ritz na Webabu nahisi urafiki utakufa. Akiiona faiza Foxy najua ndio sitakubaliwa tena, maana nabembeleza mapenzi.
 
Ayatollaah watamfanyia u P-Diddy haki ya nani, shauri yake naona anajitia kiburi, if Iran will retaliate, that will be the end of Iran..!!

Mbona maneno hayo waliyasema kabla na Iran akashambulia ??
 
aisee Iran hana Baba wala mama, mwenzie anababaake anayemkingia kifupi.

Ni busara Iran apige zake kimya japo nayenyewe sio sawa kwa mustakabali wa Uhuru wao.
Iran ameishi kwa vikwazo miaka mingi, wenzie wako free kutrade popote pale Leo ameonyesha pamoja na vikwazo anaweza kusimamia anachokiamini na hata kuzipiga pale Uhuru wake unapoingiliwa.

Heko Waajemi, mmeonyesha you are true warriors na dunia ilipaswa kusimama upande wenu ili haki ya Wapalestina isimame.
 
Wala hata vita ya 3 haifiki Iran atakua kesha pasuliwa, simu zinatembea mataifa yote ya magharibi kimya kimya jinsi ya kumalizana nae kabla hajafikia level ya Kim kiduku, Uzuri walikua wanamtafutia sababu nae kwa ujinga kajiingiza mtegoni

A aaa
Wewe unajua mzayuni wa jf ila wenyewe hawajui
 

Umekuwa msemaji wa Marekani ?? na uliona hicho alichopiga Irani ?
 
Hata wazayuni juzi wamekamata watu kwamadai kwamba wanatumika na Iran wazayuni wa jf mmekatwa vichwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…