Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Tafadhali mkuu japo kwa kifupi, walianzisha anzishaje?Huwezi maana Israel ni USA 2.0...
Na Ndo walioanzisha Taifa la Israel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali mkuu japo kwa kifupi, walianzisha anzishaje?Huwezi maana Israel ni USA 2.0...
Na Ndo walioanzisha Taifa la Israel
Nani kakudanganya wewe huyo Rais aliekufa na helicopter, hiyo helicopter ilikuwa imetengenezwa USA yani wewe unahuasama na Myaudi alafu unatumia teknolojia yake. Muajemi anachojua zaidi ni kufuga ngamia na majini tu, hapo kwa kweli yupo vizuri.Usiwe kila na shabiki kisai hiki hujui hata Russia anatumia kamikaze drone kutokea Iran
Hivi nyie mnaakili kweli?
Imemvunja moyo nani wazayuni wa jf vichwa vimekatwaIran tulioaminishwa ina nguvu sio hii kabisa, imewavunja moyo kabisaa
Ndio wewe nikuulize baada yakuvamia nchi ya watu na kuamuliwa wawaue wenyeji watakaowakatu na Mungu wao wa mchongo ambae wao pia hawamuamini , walikua wakiishi wapi?. Umeambiwa ulete ushahidi nje vitabu vya dini kuonyesha kua hapo nikwao umekataa. Tuwekee basi maandiko yanayoonyesha hapo ninchi yao ya asili.Naamini umesimuliwa walienda wapi na kwa nini.Hao walioikalia nchi iliyoachwa na Israel walitokea wapi?.Kwani kabla hawajaifuata ardhi ya waisraeli walikuwa wanaishi wapi?Kwa nini wasirudi kwao kwa asili?Kuhusu ushoga,hiyo siyo hoja ya uzi au majadiliano haya.Ushoga ulianza miaka na miaka mfano tu kwenye biblia Sodoma na Gomorah umeelezwa.Labda ndiyo chaguo lao ingawa si wote.Sijajua hilo.
Angie mara ngapi au hakuwahi kuwepoTrump akiingia white house nakuhakikishia Iran inaenda kuwa kama iraq ya Saddam Hussein
Israhell mikwara kama wazayuni wa jfUS kwa miongo mingi imekuwa ikimtafuta (kumlia timing) Iran ajae kwenye mfumo; sasa kama kweli huyu Muajemi ni kidume haya avurumishe makombora mengine ndani ya Islael.
Mlisema Israel hawezi kurusha hata jiwe ndani ya Iran, leo hii vilio vitupu huko kwenuImemvunja moyo nani wazayuni wa jf vichwa vimekatwa
Israhell maneno matupuVyovyote vile utakavyoelewa ila Iran asithubutu kujibu.
Mpaka muda huu ni mtuhumiwa so cha kufanya ni yeye kukaa kimya kusubiri uamuzi wa mahakama.
Iran atalipizaje sasa?Iran ilipize kisasi tuone super power atafanya nini.. 😂
Kilio kipi tuoneshe hata klipu mojaMlisema Israel hawezi kurusha hata jiwe ndani ya Iran, leo hii vilio vitupu huko kwenu
Ayatollaah watamfanyia u P-Diddy haki ya nani, shauri yake naona anajitia kiburi, if Iran will retaliate, that will be the end of Iran..!!
Wewe unajua mzayuni wa jf ila wenyewe hawajuiWala hata vita ya 3 haifiki Iran atakua kesha pasuliwa, simu zinatembea mataifa yote ya magharibi kimya kimya jinsi ya kumalizana nae kabla hajafikia level ya Kim kiduku, Uzuri walikua wanamtafutia sababu nae kwa ujinga kajiingiza mtegoni
A aaa
Kwahyo unapingana na viongozi wako wa kidini waliosema wanajeshi wake wamepelekwa jongomeo?Kilio kipi tuoneshe hata klipu moja
Iran atalipizaje sasa?
Mitambo ya kutengeneza missile aliyoitoa China imeharibiwa.
Mifumo ya ulinzi wa anga aliyopewa na Putin nayo pia imeharibiwa.
Radar imelipuliwa ikateketezwa na mazayuni.
Sasa hivi analala uchi tu kama mwanamwali anayesubiri kupigwa pumbu.
Hii komenti wakiisoma marafiki zangu Ritz na Webabu nahisi urafiki utakufa. Akiiona faiza Foxy najua ndio sitakubaliwa tena, maana nabembeleza mapenzi.
Maneno yenu haya mnasema tokea mwaka 79Safari hii iran ifyate mkia tu ili ibaki salama. Ikijibu itadhalilishwa vibaya,
Ndege mia zimeua mgambo wanne israhell bora jktsumaKwahyo unapingana na viongozi wako wa kidini waliosema wanajeshi wake wamepelekwa jongomeo?
Ndege mia zimeingia chumbani kwenu na kuondoka bila pingamizi, yaani anga lenu lipo uchi kabisaNdege mia zimeua mgambo wanne israhell bora jktsuma
Hata wazayuni juzi wamekamata watu kwamadai kwamba wanatumika na Iran wazayuni wa jf mmekatwa vichwaaaUzuri wao Iran wana pesa ya mafuta ila ubongo sifuri, ndio sababu idara zao zote muhimu zina mawakala wa Israel, wanapata taarifa zote muhimu, mpaka kiongozi gani yupo wapi kwa muda muafaka, ndio maana kila wakishambulia mlengwa mochwari, iwe Lebanon, Syria, Gaza au Tehran, Ayatollah anaweza kuwa ndani ya target kwa sababu hata ile ajali ya iliyomuua Rais wao nina mashaka makubwa ni mkono wa hawa wataalam, kumbuka kulipua kwa pagers za Hezbullah na ajali fake iliyomuua Samora Machel wa Msumbiji miaka ya 80, balaa
Zimeingia chumba kipi ewe mzayuni wa jf hata kugugo huweziNdege mia zimeingia chumbani kwenu na kuondoka bila pingamizi, yaani anga lenu lipo uchi kabisa