Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Unaweza kutuma hata picha hata za kuediti ili tuamini habari yako kama hutojari lakini.
 
Nimecheka sana mpaka watu wanadhani nimewehuka hahaha FaizaFoxy Ritz Malaria 2
 
Hivi ni vitisho tu.
Hata kabla ya May na Oktoba mosi USA waliitisha Iran hivi hivi.
 
Aisee lilikuwa suala la musa kwa Iran, now picha inasafishwa negative soon tutaiona printed 😀!.
USA haina ubavu wa kuingia vitani na taifa lingine kwa sasa especially kama Iran ambayo inajiweza katika angle nyingi.
Tambua akijihusisha na Iran basi ategemee Russia kujaribu silaha zake kupitia Iran na ategemee vita ya kishia kuzuka huo ukanda.
Maana vikundi vya wanamgambo vya kishia vyote viko huo ukanda.
Nadhani unaelewa nani ataumia zaidi.
Maana wataanza kuharibu miundombinu ya USA iliyopo hapo middle east .
 
Tangu lini Iran ilikatazwa kitu na USA na ikatiii mmesaau Tramp na mikwara yake lkn alipelekewa moto Iran anawajua adui zake ndani nnje. Ivyo viuma vitapepea tu Hiii trip target ni kambi za jesh na wajeda wanyewe,
 
Waandika mambo mengi ambayo mwisho wake ni ujinga. Hao west&USA& ISRAEL siwalitaka Asad asiwe Raisi wa Syria mpaka leo wamefikia wapi?. Sasa kama hapo kwa Asad wameahindwa unafiikiri nirahisi kwa muajemi anatengeneza Siraha zake Mwenyewe?.
 
Mbona huko Ukrein hapeleki Jeshin amsaidie au aruhusu tu Ukrein avurumushe makombora Moscow?.
 
Waandika mambo mengi ambayo mwisho wake ni ujinga. Hao west&USA& ISRAEL siwalitaka Asad asiwe Raisi wa Syria mpaka leo wamefikia wapi?. Sasa kama hapo kwa Asad wameahindwa unafiikiri nirahisi kwa muajemi anatengeneza Siraha zake Mwenyewe?.
Muajemi ni mrahisi kuliko Msyiria. Soma historia.
 
Walokole kama ninye ni jaanga ..mabom yamerushwa kutoka mbali huko karibia kilometa 140 ndo unasema Walsingham..Iran hivi kwa akili y kawida makombora na ndege ni kipi kina urahis kukilenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…