Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

Israel baada ya kuchakaza vibaraka, sasa amegeukia godfather wao. Shambulio lolote la Irani kwa israeli litakua limetoa kibali cha israeli kutumia uwezo wake wote dhidi ya mfadhili wa magaidi ya kiislam
Uwezo wote angetumia kuifuta hamas kwanza
 
Zimeingia chumba kipi ewe mzayuni wa jf hata kugugo huwezi
Mmedhihirisha anga lenu ni jeupe sana, yaani lile shambulizi lenu mmelifanyia mkiwa Tehran mkaogopa kuwafata wayahudi kwao, wayahudi wao wakaamua kuwafata huko huko kwenu na ndege zote mia, S300, S400, Bavar zote kwa umoja wao wzimeshindwa kudondosha hata ndege moja kweli!! Aibu gani hii
 
Wamemfata nani mzayuni wa jf unaongea kama huna kichwa
 
Bado mnasema Israel ndo Taifa Lenye Nguvu...
Anakupiga Mtu halafu onyo anatoa Mwingine Ole wako umrudishie 🤣🤣..
Ina maana anajua Ukimrudishia Watu watajua kuwa hana Nguvu 🤣🤣 kama anavyosifiwa

Mungu hakuwa mjinga kuwaacha wasambae dunia nzima kama mateka na wakimbizi .
Wakati wa kuwarejesha kwao umefika .
Ni wapumbavu tu wanaobisha uwepo wa Mungu na historia ya kutokea kwa Taifa hilo ambalo asili yake ni Uajemi. Kwa hiyo hao wa Israel ni waajemi kwa asili ndio maana hata ndani ya Iran wapo . Urusi wapo ,Itali wapo ,Uingereza ,wapo,Ujerumani ,wapo,Marekani wapo ,Ufaransa wa wapo , Na nchi zote karibu zote za Ulaya mashariki wapo ,Afrika ya Kaskazini wapo ,Afrika kusini wapo, mashariki ya kati ndio wamejichanganya kila mahali. Sasa katika hali hiyo watakosaje watu wa kuwapigania kwa kiwango chochote .

Na Marekani mara nyingi wanaingilia hiyo vita ili kuepusha madhara makubwa yanayoweza kutokea kwa sababu ni wazi kuwa katika teknolojia wanayoibuni kila siku mayahudi hawawezi kukubali taifa lao liangamizwe na mtu yeyote . Katika hali ya kutetea taifa lao watajibu mapigo ya kuangamiza watu wengi na miundombinu na miradi ya Nchi za magharibi ikiwemo visima vya mafuta na pia miradi ya Nyuklia inayofadhiliwa na Urusi . Kwa ni busara tu inayotumika kuionya Israel kuingia kwenye nchi na nchi kama Irani yenye watawala magaidi wanaosaidiwa na Urusi bila kujua kuwa vita haina macho . Iraki ilikua na nguvu kubwa sana lakini ilipoanza kuhangaika na Mombo ya Israel badala ya maendeleo yake ikasambaratishwa .
Libya ilikua na nguvu na uchumi mkubwa sana ilipoanza kuhangaika na mambo ya Israel na kutisha kuifuta kwenye Ramani ya dunia ,ilisambaratishwa. Ujerumani lilikua taifa kubwa lenye nguvu kubwa sana na Hitler akiwa mtawala mtata sana ,kosa la kuwaza kuwafuta wayahudi kwenye uso wa dunia likawa ni anguko lake . Sasa kwa satu wanaofikiri kuwa bibilia ni kijitabu tu wataabika sana Irani itakapoanguka na kupotea kabisa kwenye nchi kubwa duniani .

Mungu aliwaweka pale kwa kazi yake na alijua ni wabishi na wanamsimamo mgumu sana lakini wakati wa kusudi lake ukitimia watarejea na kuwa watiifu kwa Masihi Yeshua au Yesu.

Irani pia inadhaminiwa na Urusi na China na Korea ,Yote hayo ni Mataifa makubwa yenye nguvu za kiuchumi .
Irani kama Irani haina uwezo bila kuwa na marafiki wenye nguvu .
Ukiona marafiki danampambambania rafiki yao basi ujue ana manufaa kwao.

Kwa hiyo Irani ikijidanganya kuwa itaishambulia Israel ijue ndio mwisho wake kwa sababu Israel ina watu wenye uwezo mkubwa wa kisayansi na wamejiwekeza kwenye Mataifa makubwa ya magharibu.
Muda utasema na maandiko yatatimilika kama yalivyoandikwa.
 
Umekuwa msemaji wa Marekani ?? na uliona hicho alichopiga Irani ?
Iran alipiga nini sasa?

Ayatolla alipata mshituko mkubwa na sasa hivi anakaribia kufa.

Warusi walimdanganya wameweka mifumo ya ulinzi wa anga, Mazayuni yakatimba hadi chumbani yakawa yanajichagulia pa kupiga.

Innalilah wainalilah raijun!
 
Ningekupa elimu ...sema basi...kwanza putin kesha chukua ukrain yote hadi sasa niulize kivipi ? Kuna kete putin ajaisukuma tu... akiisukuma ukrain yote inakuwa yake bila ya vita ni kete ya uhakika kwa asilimia 100...niulize ni kete gani? Kama hapa JF kuna mtu jinius kama mimi aniambie ni kete gani hiyo... nitamtumia vocha sasa hivi.....
Umeijua kete ya urusi kutokea wap mkuu🤣
 
Mungu hakuwa mjinga kuwaacha wasambae dunia nzima kama mateka na wakimbizi .
Wakati wa kuwarejesha kwao umefika .
Ni wapumbavu tu wanaobisha uwepo wa Mungu na historia ya kutokea kwa Taifa hilo ambalo asili yake ni Uajemi. Kwa hiyo hao wa Israel ni waajemi kwa asili ndio maana hata ndani ya Iran wapo . Urusi wapo ,Itali wapo ,Uingereza ,wapo,Ujerumani ,wapo,Marekani wapo ,Ufaransa wa wapo , Na nchi zote karibu zote za Ulaya mashariki wapo ,Afrika ya Kaskazini wapo ,Afrika kusini wapo, mashariki ya kati ndio wamejichanganya kila mahali. Sasa katika hali hiyo watakosaje watu wa kuwapigania kwa kiwango chochote .

Na Marekani mara nyingi wanaingilia hiyo vita ili kuepusha madhara makubwa yanayoweza kutokea kwa sababu ni wazi kuwa katika teknolojia wanayoibuni kila siku mayahudi hawawezi kukubali taifa lao liangamizwe na mtu yeyote . Katika hali ya kutetea taifa lao watajibu mapigo ya kuangamiza watu wengi na miundombinu na miradi ya Nchi za magharibi ikiwemo visima vya mafuta na pia miradi ya Nyuklia inayofadhiliwa na Urusi . Kwa ni busara tu inayotumika kuionya Israel kuingia kwenye nchi na nchi kama Irani yenye watawala magaidi wanaosaidiwa na Urusi bila kujua kuwa vita haina macho . Iraki ilikua na nguvu kubwa sana lakini ilipoanza kuhangaika na Mombo ya Israel badala ya maendeleo yake ikasambaratishwa .
Libya ilikua na nguvu na uchumi mkubwa sana ilipoanza kuhangaika na mambo ya Israel na kutisha kuifuta kwenye Ramani ya dunia ,ilisambaratishwa. Ujerumani lilikua taifa kubwa lenye nguvu kubwa sana na Hitler akiwa mtawala mtata sana ,kosa la kuwaza kuwafuta wayahudi kwenye uso wa dunia likawa ni anguko lake . Sasa kwa satu wanaofikiri kuwa bibilia ni kijitabu tu wataabika sana Irani itakapoanguka na kupotea kabisa kwenye nchi kubwa duniani .

Mungu aliwaweka pale kwa kazi yake na alijua ni wabishi na wanamsimamo mgumu sana lakini wakati wa kusudi lake ukitimia watarejea na kuwa watiifu kwa Masihi Yeshua au Yesu.

Irani pia inadhaminiwa na Urusi na China na Korea ,Yote hayo ni Mataifa makubwa yenye nguvu za kiuchumi .
Irani kama Irani haina uwezo bila kuwa na marafiki wenye nguvu .
Ukiona marafiki danampambambania rafiki yao basi ujue ana manufaa kwao.

Kwa hiyo Irani ikijidanganya kuwa itaishambulia Israel ijue ndio mwisho wake kwa sababu Israel ina watu wenye uwezo mkubwa wa kisayansi na wamejiwekeza kwenye Mataifa makubwa ya magharibu.
Muda utasema na maandiko yatatimilika kama yalivyoandikwa.
Sasa kwanini Wasionye Israel Waje kuonya Iran..

Yaani Chukulia Wewe Ni mwalimu Kuna mwanafunzi W Darasa la pili kampiga makofi na Fimbo mwanafunzi wa Darasa la sita halafu unamuonya mwanafunzi wa Darasa la.Sita na unamuambia asirudishe kumpiga wala kumuadhibu atakiona Cha moto..

Kwanini usimuonye Mwanafunziwa Darsa la Pili aache kumchokoza??
 
Yaani hao hao wazungu walioitunga biblia halafu waiogope tena biblia?

Hayo uliyonukuu ni maneno ya kina Isaya ambao ni watu kama wewe sema wameileta kisomi zaidi ili kuwapumbaza wajinga kama wewe.
Wajinga ni wale wanaoamini Mungu anaweza yote kabisa, ila hawezi kujifanya mwanadamu na akazaliwa kwa njia ya kibinadamu wakati huo huo ni Mungu katika umbo la binadamu (wapinga uweza wa Mungu huamini haya)

Ila tunaoamini Mungu hana mipaka, vidole vyetu juu kabisa

Na wewe ni miongoni mwa hao?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jisomeeni

US defense chief: Iran ‘should not make the mistake of responding to Israel’s strikes’

By Reuters

“Iran should not make the mistake of responding to Israel’s strikes, which should mark the end of this exchange,” Austin says in a statement.
Mara ngapi wametoa hayo maonyo na wanapigwa kwenye mshono, US wenyewe ndio walimuomba Israel isiishambulie Iran kwenye maeneo ya nuclear na mafuta kwamba wakiogopa consequences ya majibu kutoka Iran
 
Bahati mbaya washirika wa Irani ni wale wapuuzi ambao hawanaga msaada wa moja kwa moja inapotokea vita. Marekani ikitokea vita anamsapoti mshirika wake kuanzia vifaa vya kijeshi, intelijensia, personnel nk. Urusi na wenzake hawanaga huo uwezo so Iran ajue likitokea lolote imekula kwake atachakazwa within days
 
Back
Top Bottom