Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

Hii haina kuripoti kwa sababu kasi za kliniki aziuzwi kwa Siri mfano kadi ya kliniki katika hospital ya Ifisi(Hospital ya Wilaya Mbeya vijijini) inauzwa tsh5000/=
 
Hii haina kuripoti kwa sababu kasi za kliniki aziuzwi kwa Siri mfano kadi ya kliniki katika hospital ya Ifisi(Hospital ya Wilaya Mbeya vijijini) inauzwa tsh5000/=
Kwa maana hii hakuna bei maalumu Kila hospital inajipangia tu mwingine alisema kwao inauzwa 2000
 
Kama mambo yenyewe ndio haya hizo booklets kadi ziwekwe mtandaoni watu wawe wanazishusha tuu wenyewe kupunguza adha hii na nina pendekeza ziitwe booklet nusu kadi nusu
 
Inaonekana Wanaume hatutakiwi tena humu duniani,Yani kipaumbele na upendeleo maalum nowadays wanapewa madem na mashoga,Sasa hebu niambie utoe sate kisa umezaa mtoto wa kiume,ni mtanzania Gani maisha haya atatamani azae kidume?We are fcked.
Kuna ukweli ndani yake
 
Watanzania tumezidi kulalamika .

Mimba uipate wewe afu utake vya bure

Acheni upumbavu tutafute hela hata kwa kuiba ili ufe mapema
 
Ni kwamba unaota au huu uzushi umeutoa wapi. Hotuba tumesikiliza hizo fomu ni bure. Watu wengine mna mapepo siyo bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…