Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

Mzeeeh!
Umesahau kuwa nchi hii inajiendesha kulingana na MTUKIO na TAHARUKI?

Muda wa kujiuliza, kutafiti na kulinganisha hatuna mkuu
 
Saa nyingine huwa hata naona aibu baadhi ya mambo, unagomea mchele tani kadhaa. Kisha watoto wa nchi nzima huko mashuleni na hospital wanapewa chanjo kwa hisani uliyekataa mchele wake?
Tusaidiwe kwenye angle nyingine nyingine Ila sio kwenye CHAKULA hapo nasema big NO..

""THERE IS NO FREE LUNCH IN AMERICA""

Hatujafikia huko kusaidiwa Michele na MAFUTA YA ALIZETI

Misaada HIYO ipelekwe GAZA, SUDANI, UKRAINE NA SASAIVI CONGO DRC
 
Hivi maelewano tatizo ni nini.
.......Tatizo ni huo msaada hatujauomba sisi
.....ko mtanzania sio mjinga kupokea kitu ambacho hajaombwa wala kuwa na shida nacho
 
Ukijifanya kutengeneza hiyo Dawa unauwawa unakuwa Targeted na Watu wanaoFund hiyo research yako nao wanakuwa Targeted.
Kwanini uwawe? Kama wataweza kukuua ukiwa unatengeneza dawa ya UKIMWI.
Je, watashindwa kufanya chochote kutudhuru sisi kama wanania?
Mbona hela za misaada huwa hawakatai?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wanatengeneza pesa kwa matatizo wanayoanzisha wenyewe. HIV ni case study, walitaka kufanya hivyo kwa covid ila iliwatandika wao kabla ya kutufikia sisi.

It's a business wala hamna kingine, wangetaka kufuta race yetu huenda wangeweza, they're miles away in terms of everything.
 
Mpaka sasa Tanzania unahangaika na umeme wa mgao, uhaba wa madawati, uhaba w madrasa, afya bora na maji safi. Tutaweza ligi na mzungu anayetaka kuishi mwezini?
 
Kwanini uwawe? Kama wataweza kukuua ukiwa unatengeneza dawa ya UKIMWI.
Je, watashindwa kufanya chochote kutudhuru sisi kama wanania?
Mbona hela za misaada huwa hawakatai?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
UKIMWI ni Family Planning Ndugu na Target yao kubwa ni "Sub Sahara" unajua maana ya "Sub Sahara" yaani sisi Negros angalia Data za UKIMWI huku kwetu halafu nenda kwao ukaone.

Hii Mentality ya kupenda vya Dezo na sasa wana Nano technology Mzee usifikiri tunapendwa sana.
 
Wapi mtaala wa beberu unasema CHANJO inasababisha AUTISM?

Mtaala wa BEBERU unasema chanjo is SAFE and EFFECTIVE
Ulichokiandika, akisoma Beberu anacheka sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Huwezi ukawa msomi bila lugha ya MabeberuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Halafu ukakazia kabisa Autism, is safe and effectiveπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Umbumbumbu tu! Waziri kAAMUA KUTEMBELE UMBUMBUMBU WETU!
1.P2 zinatoka Pawaga?.
2. Kondom zinatoka kondoa.?
3. Lady Pepeta zinatoka Kamachumu?
4. Coca zinatoka Kishumundu?
5. chanjo zote za watoto za matone na sindano zinatoka Tabora?
6. KFC , PIZZA HUT wanatengeneza kuku na pizza kwa fomula ya uru kishumundu?
 
Hakuna lolote. Unajishebedua tu ila ujumbe umefika kikamilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…