Wazoefu na wataalamu wa mapenzi nisaidieni maana sielewi shida nini?

Baada ya kuachana kitapita kipindi kifupi kidogo ambacho mwanamke anakua na chuki dhidi yako, kwaiyo kaa nao mbali, ukipita muda mrefu hakuna interaction yoyote kati yenu siku mtakapokuja kuonana tena inakua amani tu.
Sawa sawa mkuu je hii husababishwa na nini msaada tutani tafadhali..
 
Umesema uko wapi?
 
Anahah Hawa viumbe wa kike ni wa kwenda nao vizuri.Kuna mmoja ana story kama yako tulikulana kwa kupandiana dau.Baada ya siku tatu naona anaanza mazoea ya kunipigia simu,mara nakusalimia anhaha.
Mazoea yakawa yanaongezeka mara nimekumic nataka tuonane halafu ukipiga shoo anataka malipo.Kesho kutwa utaskia naomba hela ya kula anahaha.yani tukutane kimalaya halafu yeye atake kuhudumiwa 🀣🀣
 
Tatizo unatumia pesa kuwapata inreality hizo pesa ni kidogo hazitoshi kugawanya,so in the beggining wanahisi wamepata mgodi,wakikujua wanagundua chokeri unadhqni wataacha kukuchukia
 
The way you treat them unapokuwa nao ndo tatizo liko hapo, mbona simple tu πŸ€’ 😎
 
😁😁😁 unawapa pesa
Demu yoyote unaye muaford kwa pesa ni malaya tu
Baadhi ya Mademu hawalitambui hili kiufupi awajielewi wanajiona kama wife material
Sas jiulize wafe material gani mbaka aone hela
 
😁😁😁 unawapa pesa
Demu yoyote unaye muaford kwa pesa ni malaya tu
Baadhi ya Mademu hawalitambui hili kiufupi awajielewi wanajiona kama wife material
Sas jiulize wafe material gani mbaka aone hela
Ok kumbe shida inakuja pale yeye hajitambui kama ni malaya ilhali mimi namtambua kuwa tunaenda kimalaya..
 
Umesema uko wapi?
Swali lako hili mbona limekaa kiaina sana
Sina kituo maalum kwa sasa
Maana namove sana hii nchi naweza kukwambia niko Geita baada ya wiki ukasikia niko Mbeya.
Naishi kwa kupokea simu
Then naingia kwenye mission.
 
😁😁😁 unawapa pesa
Demu yoyote unaye muaford kwa pesa ni malaya tu
Baadhi ya Mademu hawalitambui hili kiufupi awajielewi wanajiona kama wife material
Sas jiulize wafe material gani mbaka aone hela
Nimekuelewa but hao ambao hawataki pesa sikutani nao ujue..
 
Tatizo unatumia pesa kuwapata inreality hizo pesa ni kidogo hazitoshi kugawanya,so in the beggining wanahisi wamepata mgodi,wakikujua wanagundua chokeri unadhqni wataacha kukuchukia
Hawafiki hata kunijua wengi wao but tukifanya business sex, wao wanataka waweke makao hicho ndio tunakosana sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…