Wazoefu wa mambo ya familia nipeni ushauri

Muoe kwanza halafu ndio ulete uzi...

Otherwise kitendo cha kukaa kinyumba na mwanamke hakiwezi kuzidi makosa au kasoro hizo unazotaka zirekebishwe
 
we ndo unashida jitathimini pale ulipokosea, unaonekana we nidhaifu mbele ya huyo mke wako hivyo anakuendesha vile anavyotaka yeye kiufupi ashakuweka makwapani
 
Waliobakwa je ,waliofiwa na waume zao je
Widows, not single mothers. Big difference! Usiwe mbishi Jombaa, kuna single mothers wangapi waliotokana na kubakwa?

Usijaribu ku-sanitize sbb za mwanamke kuwa single mother zaidi ya 99.99% ni vichomi. Mwanaume anayewaoa huwa namuonaga hajielewi.

Mwanaume aliyezaa nae kamshindwa wewe unafikiri una u-special gani? Hata single mothers huwa wanawazuia watoto wao wa kiume endapo watataka kuoa wanawake wenye watoto tayari.
 
....ushaumia,wahi haraka kutoka. Usikute hata watoto wengine ni wake
 
Single maza ni special kua mchepuko Wala sio hata nyumba ndogo. Yaani siku umekaukiwa kabisa ndio unatafuta, mpe bia mbili, chukua gesti (nakazia gesti sio kwake au kwako)
Ukishapona shida yako, Rudi kwa mkeo.
Sasa wewe unaweka ndani kabisa? Matatizo unayaingiza ndani mpaka chumbani, mbaya zaidi baba wa mtoto Yuko hai? Aisee you are not serious.
 
Kaka ukikaa kizembe utakufaa kwa stress za kulisha watoto wasiokuwa wakoo nasemaa WANA BABA ZAOOOO.. akitaka mwanamke abaki yeye watoto wasepe kwa baba zao au bora abaki huyo mmoja wa kwake vinginevyo WASEPE YEYE NA WATOTO. USIMUMUNYE MANENOOOO SEMA HAYA KWA UKALIII.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…