Wazungu waanza kuambiana ukweli

Kama gay hawakubaliki huko Qatar, kwa nini wanalialia.......they are doing an abomination na bado wanataka kuwa recognized! wakae hukohuko ambako wameruhusiwa, siyo kulazimisha kwenda kuchafua jamii za watu wengine...
My point is not even gays being allowed in Qatar.

My point is the gay swagger jacking hypocrisy and contradiction.

But I don't expect you to understand that.

That would be expecting too much.
 
Wewe kweli hauna kitu kichwani sasa Qatar walipewa na nani? miaka 12 yote toka wamepewa mlikuwa wapi? huyo anayestahili ni nani? hata South Africa alivyopewa hao hao jamaa zako walipiga kelele mwisho wa kakaa kimya. Kitu kizuri ni England kutolewa tupumzike na kelele zao hizi, badala ya kupambana na njaa zao huko wivu kwa jamaa. Issue yote Qatar hajawapa deal yoyote ya biashara na hao mbwa wa ndio wamejaa huko wanafanya kazi leo wanjifanya wanaonea huruma wahindi wakati kwao tu walitaka kuwapeleka Rwanda, wanafiki wakubwa
 
My point is not even gays being allowed in Qatar.

My point is the gay swagger jacking hypocrisy and contradiction.

But I don't expect you to understand that.

That would be expecting too much.
Uko sahihi, hayo matakataka ya ushoga siwezi kuyaelewa kiundani.......paruaneni tu huko wenyewe devil worshipers.
 
Hata kama hafla ni ya mpira, hauna hakika kama wameenda kuangalia mpira au mpira ni kisngizio cha kupata visa.
 
We ulikuwepo wakati wa kusain huo mkataba au kwamba wao na FIFA hawajui sheria ya mikataba?
Pombe inaweza ikaruhusiwa, lakini muuzaji akakosa. Kumbuka Qatar ni nchi ya Kiislaamu. Wafanya biashara ndogondogo wote ni Waislamu. Waislamu hawanywi wala kuuza pombe, sasa mnataka pombe viwanjani atawauzia nani? Mbona kuwenye michezo ya mpira nchi nyingi hukataza vilevi uwanjani, kwa nini mnahoji kukosekana pombe Qatar as if pombe ni shemu kubwa ya mchezo wa soccer.
 
Si kila utamaduni wakigeni unakataliwa Qatar but ule utamaduni unaoenda kinyume na values na morals zao.

Sio kila kitu Cha mzungu kibaya but baadhi kama ushoga, pombe, fornication etc
 
Uko sahihi, hayo matakataka ya ushoga siwezi kuyaelewa kiundani.......paruaneni tu huko wenyewe devil worshipers.
Devil hayupo, ni ujinga mwingine huo.

Ukibisha thibitisha.
 
Si kila utamaduni wakigeni unakataliwa Qatar but ule utamaduni unaoenda kinyume na values na morals zao.

Sio kila kitu Cha mzungu kibaya but baadhi kama ushoga, pombe, fornication etc
Pombe Qatar mbona inakubaliwa pia.

Contradictions tupu.

Ukijiona nchi yako inataka kushikilia sana utamaduni wake na kuacha kuingiliwa na tamaduni za wengine, usiombe ku host World Cup.

Ukiomba ku host World Cup, maana yake ukubali kuwa Cosmopolitan.

Qatar inataka kuwa nchi ya kileo na yenye ushawishi kimataifa, halafu hapohapo inakataa gharama za nchi kuwa nchi ya kileo yenye ushawishi wa kimataifa.

Contradictions.
 
Waheshimu tu hizo Sheria, just for few days
 
Kwasababu wewe unafikiria ule mchezo wa kizungu unaowakilishwa na zile Rangi za upinde wa Mvua unaufanya wewe

Hawa tuwapige marufuku kutumia upinde wa mvua wetu. Wabuni alama yao.
 
Kwasababu wewe unafikiria ule mchezo wa kizungu unaowakilishwa na zile Rangi za upinde wa Mvua unaufanya wewe
Ulizia vizuri wanaoenda kufanya kazi za ndani arabuni wanavyolawitiwa usipime! Kinguvu afadhali mzungu anatogoza
 
Kwani zile ni sherehe za madrasa?
 
mna akili fupi ndio maana hamtakuwa huru kifikra mwenzenu kaongea ili kuwafanya nyiny pro ukolon msidhanie kuwa wazungu wanaunga mkono mnayoyachukia ila im reality huyo hapingi lolote kuhusu wazungu baada ya WC kuisha muombe arudie hayo maneno
 
muda wote wapo uwanjan sio ?
 
Sijawai fuatwa nyumban kuhubiriwa ushoga au utamaduni wa wazungu , ni nyiny viherehere vyenu mnaoish kwa kuoga na ndo nyiny mnasema wanasambaza wkt mnajipeleka kuangalia mambo yao tena bila kuombwa
 
Kitabu gani cha dini kilichosema mpira dhambi au wajiropokea tu kama **** bc ngoja nikatafute pesa me
sheria gan ya dini inasema usinywe pombe uwanjan ila kanywe pombe sehem fulan
 
Kwani hujui sheria za Qatar? Kwamba wabadili sheria zao kwa kitu cha mwezi mmoja hapa bongo miaka 60 tangu uhuru bado katika ni ile ile [emoji23][emoji23][emoji23].
vingine havipo kweny sheria ndio maana wametumia neno tamaduni sio sheria
 
Kama mwenzao vile.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…