Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
- Thread starter
- #21
IT FRIGHTENS FOR REAL.Inategemea na shock absorbers zetu, lakini miezi 8 hadi 12 ni mingi sana.
Maana sisi ni nchi inayotegemea kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje kuanzia teknolojia hadi mafuta. Thamani ya shilingi ikishuka kwa sababu yao maana yake bei ya kila kitu itapanda mara mbili au tatu. Hapo ndio utaona mshahara wa mtu mzima unatosha kununua mahitaji ya ndani tu.