Ama kama ni ng'ombe unaenda buchani na kuwaambia wakukatie ya MbavuDah raha ya supu ulikimbize jogoo mpaka utoe kajasho🤗
Hivi uanjua US ni taifa dhaifu sana kwa upande wa afya za watu wake, obesity ni janga kubwa kwao.Amini wako mbali sana tena wanakula fresh foods ndio maana life span Yao ni kubwa hasa Japan na US na China pia
Mwisho watasema hata soda ni lishe piaHiyo supu ya kopo ndo mnaita lishe?
Mbona jambo la kawaida Sana hili? One minute food zipo dunia nzima wala sio kitu cha kushangaza na havijaanza leo ama jana.Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
View attachment 3158974
View attachment 3158975
View attachment 3158976
Wewe acha porojo zako, hata bongo kuna raia wengi sana wenye obesity kwa kushindia kula wali, sembe, soda, vitumbua na chips mayai.Hivi uanjua US ni taifa dhaifu sana kwa upande wa afya za watu wake, obesity ni janga kubwa kwao.
Unajua ni makampuni mangapi ya vyakula kutokea USA yamepigwa marufuku kufanya biashara katika mataifa mengine?
Vyakula vya hovyo kabisa.Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
View attachment 3158974
View attachment 3158975
View attachment 3158976
Vyakula vya hovyo kabisa.Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
View attachment 3158974
View attachment 3158975
View attachment 3158976
Supu ya kwato sijawahi ielewaSupu ya kongolo vile ulipate limelegea legea gegedu, gegedu huipati kwenye hivo vikopo
Wengi kwa mama ntilie huwa mnakula supu mbichi, nyama ngumu kama manati.Vyakula vya hovyo kabisa.
Kama unaweza kupata nyama imechinjwa leo na kupikwa leo ukala unaenda kuhangaika na chakula kimekaa kwenye makabati miezi kadhaa.
Hayo waachieni wao na staili yao ya maisha
Acha kuwaza kimaskini wewe. Nunua ukapikr kwako.Wengi kwa mama ntilie huwa mnakula supu mbichi, nyama ngumu kama manati.
Wahafidhina 😁Ama kama ni ng'ombe unaenda buchani na kuwaambia wakukatie ya Mbavu
Kisha unaenda kuitengeneza Kwa kuweka pilipili kichaa hata nne mwenyewe 🤗
Analeta Ujuaji Wa Kishamba Baada Ya Kubwia Alkasusu na Kushushia Na Winston SportsNani kakuambia vyakula vya kopo vina sumu?? Mbona huko wanakoishi kwa hivyo vyakula vya makopo ndio wana life expectancy kubwa zaidi? Kama ni sumu kwa nini wastani wao wa maisha ni mkubwa sana kutuzidi sisi??
Hayo mambo ya ladha asilia ni myths na mozoea tu, hata watu wengi wa West wakija huku huwa wanaona ugali ni chakula kisicho na ladha, dagaa hazipandi, makongoro yana harufu mbaya n.kShida ya vya kula vya huko havina laza asilia kama ni supu ya kuku unakuta Haina laza ya asilia ya kuku au ni ngombe unakuta Haina laza ya asilia ya ngombe Kuna dada zangu wako marekani wananiambia kuhusu hayo mambo na wakija bongo huwa wanasema. Wana furaia vya kula na kama ni nyama wanakula haswa nyama maisha ya huko kama hujayazoea utapata shida sana
ExposureVyakula vya Makopo vina sumu na huko wanakula maskini, vyakula vya asili wanakula wenye uwezo....
Supu ya kuku tamuDah raha ya supu ulikimbize jogoo mpaka utoe kajasho🤗
Inategemeana mkuu kwa Amerika wananiambia ukitaka kula kitu fresh kama nyama ya ngombe au ya kuku unatakiwa uwe na pesa asilimia kubwa vya kula vingi ni vya supar market xa makopo lakini uhalisia unachokula sioHayo mambo ya ladha asilia ni myths na mozea tu, hata watu wengi wa West wakija huku huwa wanaona ugali ni chakula kisicho na ladha, dagaa hazipandi, makongoro yana harufu mbaya n.k
Uhakika hamna kupinga. Mambo mengine tuwaachie wao tuDah raha ya supu ulikimbize jogoo mpaka utoe kajasho🤗