Wamekudanganya, vyakula vyote huko vinauzwa supermarket. Junk foods vyakula vya mtaani ndio vinapigiwa kelele na vinaliwa karibia na kila mtu.Inategemeana mkuu kwa Amerika wananiambia ukitaka kula kitu fresh kama nyama ya ngombe au ya kuku unatakiwa uwe na pesa asilimia kubwa vya kula vingi ni vya supar market xa makopo lakini uhalisia unachokula sio
Vyakula vya Makopo vina sumu na huko wanakula maskini, vyakula vya asili wanakula wenye uwezo....
Wewe ndyo unaleta porojo kwenye swala nyeti la afya, huwezi kusema supu za Makopo zina virutubisho, wenye akili timamu hawawezi kukuelewaWewe acha porojo zako, hata bongo kuna raia wengi sana wenye obesity kwa kushindia kula wali, sembe, soda, vitumbua na chips mayai.
Vyote wanavyokula vinatoka nje ila wanajitahidi sana kutengeneza ajira sanaMkuu hata sisi haswa Tanzania tungeamua kula vizuri ni rahisi tu hata zaidi kwa sababu tanzania kuna vyakula vya kutosha🤔🤔
Watu 300m vs 60m unategemw ratio nzurii , pili nchi iliyowekeza kwenye singeli na udaku Kwa upande wa media VS nchi inayogusia Kila nyanja za maisha ya raia wake , unategemea Tz wakianza fuatilia afya za watu tutabakia Salam , Tz tuna wagonjwa WENGI san wanajulikana baada ya kuleta mahospitalini Kwa magonjwa mengineHivi uanjua US ni taifa dhaifu sana kwa upande wa afya za watu wake, obesity ni janga kubwa kwao.
Unajua ni makampuni mangapi ya vyakula kutokea USA yamepigwa marufuku kufanya biashara katika mataifa mengine?
Swali zuri sana. Na-bet hana jibu kwa sababu amedanganya.Kwa nini hatuamui kula vizuri?
Na wanauza dunia nzima huku wengine wamebaki wanebenua midomo kama chuchunge tunataka vyakula "natural" "organic" blah blahVyote wanavyokula vinatoka nje ila wanajitahidi sana kutengeneza ajira sana
Sio chakula imagine wanaajiri wangapi hicho kiwanda
Mkuu, processed food hiyo. Zimejaa chemicals na preservatives. Ndiyo maana wazungu wanaugua sana cancers.Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
View attachment 3158974
View attachment 3158975
View attachment 3158976
Sijakataa kwamba Tz hakuna wagonjwa, na hakuna nchi ambayo hakuna wagonjwa.Watu 300m vs 60m unategemw ratio nzurii , pili nchi iliyowekeza kwenye singeli na udaku Kwa upande wa media VS nchi inayogusia Kila nyanja za maisha ya raia wake , unategemea Tz wakianza fuatilia afya za watu tutabakia Salam , Tz tuna wagonjwa WENGI san wanajulikana baada ya kuleta mahospitalini Kwa magonjwa mengine
Karibia kila kitu unachokula duniani leo kina chemicals, hakuna ushahidi wazungu wanaugua sana cancers kwa sababu ya kula processed food. Wazungu wana vinu vingi vya nyuklia, viwanda vya bidhaa karibia zote, pombe kali za kila aina, sigara, plastics kila mahali, wamechimba madini muda mrefu sana n.k hizi zote ni risks factors.Mkuu, processed food hiyo. Zimejaa chemicals na preservatives. Ndiyo maana wazungu wanaugua sana cancers.
Kweli kabisaNa wanauza dunia nzima huku wengine wamebaki wanebenua midomo kama chuchunge tunataka vyakula "natural" "organic" blah blah
Huku tunaokula vya asili tunautapiamlo,kipindukipindu. Huko wanakokula vyenye sumu hawana utapiamloVyakula vya Makopo vina sumu na huko wanakula maskini, vyakula vya asili wanakula wenye uwezo....
Wote tuna utapiamlo?Huku tunaokula vya asili tunautapiamlo,kipindukipindu. Huko wanakokula vyenye sumu hawana utapiamlo