Wazungu/West wako mbali sana, wamefikia hadi kwenye supu ya box/kopo!

Mchina huyu๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Your browser is not able to display this video.
 
Vyakula vya hovyo kabisa.

Kama unaweza kupata nyama imechinjwa leo na kupikwa leo ukala unaenda kuhangaika na chakula kimekaa kwenye makabati miezi kadhaa.

Hayo waachieni wao na staili yao ya maisha
Chajabu sie ndo tunazeeka nakufa haraka acheni ujuaji
 
Kula vyakula vyenye kemikali ndo kuwa mbali? Wazungu wanasumbuliwa mno na obesity.
Obesity ni janga la dunia sio wazungu pekee
Kwao limekuwa kubwa sababu ya awareness kwamba watu wanajitambua na kutoa taarifa
Tech iko juu inarahisisha kazi
Upatikanaji wa chakula kitam watu wanakula kupitiliza
Yah na uwepo wa industrial foods
Lakini hii haiondoi ukweli kuwa kwa Sasa wengi wanaenda kwenye organic foods ambazo zinapatikana
 
Wewe ndio unaleta porojo, halafu na pia upunguze kuwaabudu wazungu
 
Hata wazungu wengi sana wanakula natural tena wengi mno ndio maana kwa KFC na macdonald sio migahawa ya watu wenye kipato Bali maskini
Halafu Kwa bongo hapa mtu akienda kula KFC anaona ni ufahari mkubwa anapost mpaka kwenye social media page yake๐Ÿ˜‹
 
Labda dunia yako na Dr Janabi. Utapiamlo bado ni janga kubwa kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara. Acha kudanganywa na hao mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ