We kijana acha punyeto na kusagana mara moja, tabia mbaya alaa..

mkuu elezea zaidi hapo kwenye mikosi
wenzako wote ulosoma nao shule na mkamaluza pamoja na tena wewe ndie uliefaulu vizuri zaidi yao, wamepata kazi, wameoa, wanafamilia, mali na watoto nyumbani πŸ’

mpiga nyeto upo upo tu na mibahasha barabarani kila siku kutafuta kazi, hauwishortlested kwenye written wala oral interviews, na muda usiokua mrefu unakosa sifa za kuajiriawa kabisa kwasababu umri umekutupa mkono πŸ’

gentleman,
nyeto ni mkosi unaotembea nao kila siku, mkono unaopigia nyeto una laana ni mchafu, mwili wako, sura yako, maneno yako, moyo wako umejaa uchafu unawaza uchafu tu, hupendeki daima,

Baraka na neema za Mungu haziambatani na mtu mchafu aliehalalisha uovu nafsini na mwilini mwake kua haki, zinakukimbia wenzako wana neemeka kirahisi tu πŸ’
 
hili povu sas mkuu,
hujajibu swali badala yake umeanza kumshambulia muulizaji
 
Nani aliyekudanganya mpiga punyeto na kusagana hawezi kutungisha mimba au kupata mimba?
Nyie ndio mnaosababisha CCM iendelee kubaki madarakani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hili povu sas mkuu,
hujajibu swali badala yake umeanza kumshambulia muulizaji
no, no, no, nooo...

sijamshambulia muuliza swali, naeleza tu bayana juu ya athari za kimwili na kiroho anazokumbana nazo mpiga nyeto maeneo mbalimbali.
wapiga nyeto wengi ni rejected kwenye kazi na hata uchumba au mahusiano. wana mikosi sana...

yaani kwa bahati inaweza tokea amepata kazi ya mchongo, safari au scholarship lakini at the end of the time ikawa declined 🀣

nadhan sifahamu na wala sijui ikiwa muuliza sawali anajua kupiga nyeto au mpiga nyeto...

naeleza kwa yeyote yule, hususani mpiga nyeto anaesoma reply mahususi πŸ’
 
😁😁😁Kwani ukiwa tajiri ndio unapaswa kuumwa HIV na kaswende?
Baadhi ya watu wanaamini kupiga punyeto,ni kwamba mtu anakua kakosa pesa ya kumpa mdada au mmama,amalize ashki zake,ilhali kuna hadi mawziri wana huo uraibu,rejea yule waziri wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,alimlikwa na CCTV akinyetuka,ilhali ni mtu mwenye wadhifa na pesa.
 
Hahaha waache waone hatuna pesa.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ USITUTISHE
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ USITUTISHE
hamna kutishana hapa gentleman,
ni kuelezana ukweli tu, ila sasa saa zingine ndio hivyo tena ukweli unaweza kua mgumu, unaweza kua mchungu, unatisha na kutia hofu,

lakini itabidi uzoee tu, maana hakuna namna nyingine sasa πŸ’
 
hamna kutishana hapa gentleman,
ni kuelezana ukweli tu, ila sasa saa zingine ndio hivyo tena ukweli unaweza kua mgumu, unaweza kua mchungu, unatisha na kutia hofu,

lakini itabidi uzoee tu, maana hakuna namna nyingine sasa πŸ’
Nilikua nakutania tu, lakini kimsingi ni kweli punyeto ina madhara kama ukizidisha, nielewe vizuri hapa (kama ukizidisha).
 
Nilikua nakutania tu, lakini kimsingi ni kweli punyeto ina madhara kama ukizidisha, nielewe vizuri hapa (kama ukizidisha).
achana na nyeto tu kwa ujumla gentleman mbona pisi kali zipo kila mahali aise πŸ’
 
achana na nyeto tu kwa ujumla gentleman mbona pisi kali zipo kila mahali aise πŸ’
Mimi nishaachana na iyo michezo lakini siwezi kuwashambulia ambao bado wanafanya maana naelewa hatua za makuzi ya mwanaume, vile vile naongelea kitu kisayansi sio kwa mihemko aunkufata mkumbo, ni kweli punyeto ina madhara kama mpigaji akizidisha.... anyway izo pisi kali zinavutwa mkuu?
 
hapo nimekupata uzuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…