wamefanya la maana mno, porns na mitandao ya ngono imeharibu na ilichangia kuharibu watoto, vijana na wazee.
Zilichangia mno kuleta na kuhamasisha mambo ya ufirauni na ushoga. Pia zinachangia kuleta mihemko ya ajab na ya kishetani kwa rika zote.
Tena wapige life ban watakuwa wamekomboa vizazi vyetu na mambo ya ngono zembe na mambo ya ajabu
Na nashauri mitandao yote inayotangaza biashara za umalaya, ukahaba na ushoga kama insta, telegram na pamoko ipigwe life ban na ifutwe yote haifai
Ibaki mitandao yenye maana kama twitter
PIA BAA ZOTE, KUMBI ZOTE NA VIWANJA VYOTE VINAVYOTUMIWA NA MALAYA NA MAKAHABA KWAAJILI YA BIASHARA ZA UKAHABA ZIFUNGWE NA ZIFUTWE KABISA POLICE WAMWAGWE MAENEO HAYO ILI KUDHIBITI MALAYA.
TANZANIA NI KISIWA CHA AMANI NA BARAKA. HATUTAKI HARAMU.