Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

wamefanya la maana mno, porns na mitandao ya ngono imeharibu na ilichangia kuharibu watoto, vijana na wazee.

Zilichangia mno kuleta na kuhamasisha mambo ya ufirauni na ushoga. Pia zinachangia kuleta mihemko ya ajab na ya kishetani kwa rika zote.

Tena wapige life ban watakuwa wamekomboa vizazi vyetu na mambo ya ngono zembe na mambo ya ajabu

Na nashauri mitandao yote inayotangaza biashara za umalaya, ukahaba na ushoga kama insta, telegram na pamoko ipigwe life ban na ifutwe yote haifai

Ibaki mitandao yenye maana kama twitter

PIA BAA ZOTE, KUMBI ZOTE NA VIWANJA VYOTE VINAVYOTUMIWA NA MALAYA NA MAKAHABA KWAAJILI YA BIASHARA ZA UKAHABA ZIFUNGWE NA ZIFUTWE KABISA POLICE WAMWAGWE MAENEO HAYO ILI KUDHIBITI MALAYA.

TANZANIA NI KISIWA CHA AMANI NA BARAKA. HATUTAKI HARAMU.
Mkuu mpaka pamoko unaijua duh
 
Tumie VPN lakini tovuti kama www.inxxx.com Iko online na kule kuna categories nyingi za kuangalia ikiwepo category ya pornstar

Ipo www.assoass.com web murua kabisa ni wewe na bando lako tu[emoji41][emoji3061]
Tuliomaliza kuangalia sasa tunakoment ,,shwain zako izo mambo zinatuharibia watoto wetu shwain kabisa bora hata zilivyofungiwa kwanza
 
wamefanya la maana mno, porns na mitandao ya ngono imeharibu na ilichangia kuharibu watoto, vijana na wazee.

Zilichangia mno kuleta na kuhamasisha mambo ya ufirauni na ushoga. Pia zinachangia kuleta mihemko ya ajab na ya kishetani kwa rika zote.

Tena wapige life ban watakuwa wamekomboa vizazi vyetu na mambo ya ngono zembe na mambo ya ajabu

Na nashauri mitandao yote inayotangaza biashara za umalaya, ukahaba na ushoga kama insta, telegram na pamoko ipigwe life ban na ifutwe yote haifai

Ibaki mitandao yenye maana kama twitter

PIA BAA ZOTE, KUMBI ZOTE NA VIWANJA VYOTE VINAVYOTUMIWA NA MALAYA NA MAKAHABA KWAAJILI YA BIASHARA ZA UKAHABA ZIFUNGWE NA ZIFUTWE KABISA POLICE WAMWAGWE MAENEO HAYO ILI KUDHIBITI MALAYA.

TANZANIA NI KISIWA CHA AMANI NA BARAKA. HATUTAKI HARAMU.
Wachache wataelewa hili .. ni zaidi ya liberation kwa afya na akili za waliokuwa wahanga aliyeleta hili Jambo anastahili pongezi
 
"Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana."
😆😆😆😳

Yaani, indirect, umewashauri watu watumie VPN kuona picha za X
 
[emoji23][emoji23][emoji23] watu wa chaputa tunawaona jinsi wanavyoweka kikao apo. Sema wamefanya vizuri sana, maana watu wasingeacha huu uasherati bila nguvu.
 
Kila MTU ana Uhuru wa kufanya kitu chochote kinachompa furaha ,

Sema fresh inapokuja swala la internet hakuna serikali inaweza control ndo maana ikaitwa international network,

Uta filter some traffic lakini watu wakiamua wanazipata content zozote wanazotaka na mda wowote
 
Uzuri, sio wote wana elimu ya VPN. Sasa katika watu 10 wenye uelewa ni 4 na 6 waliobaki hawaelewi, huoni kama serikali itakua imefanikiwa hapo
Afu ukumbuke hyo pamoko ni guest book inayopatika katika site ya free guest book.com kwahyo ili kuitoa lazima u contacts za GB.com.

Sababu uwezi kufungia (guest book .com website ) yote kutokana na inatoa customize pages nyinge kama hiyo ambazo zinaweza tumika hata kwa kazi nyingine
 
FB_IMG_16297057582874478.jpg
 
Back
Top Bottom