Week end yangu inaenda murua sana! Nimefurahi sana kusoma hizi sms..

Niliwahi kudondokea kwa mshangazi mmoja muuza supu enzi za ujana wangu
Nilikunywa supu mpaka nilikuwa nimenenepa Sana kiasi Cha hata kushindwa kutembea nusu saa.

Ashukuriwe Mungu ,Eliza alipata mume akanibwaga Kama maji ya Michele .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo screenshot mbili za mwanzo tu, inaonekana bibie anaelekea kibla ila kijana, kwenye medani ya ushawishi hayuko sawa, atamgonga huyo sababu bibie mwenyewe anaonekana kutaka, ila sio kwamba kijana yuko vizuri kwenye kumjaza mtu na akajaa
 
Sema kweli mkuu,πŸ₯±
 
Happy huyo mchumba ndio anaminyege

Kwahiyo dogo unaliwa weweπŸ˜€

Usisahau H.I.V mzee kapo sana kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…