Mimi Nina marafiki washkaj weng bakabaka.Baba police waone ivyo ivyo wakikucholea case you finished
Akiwa ana uniform je?Huwa hamtaniani?Nisamehe mheshimiwa mimi Nina marafiki zangu wengi ila tunataniana akiwa hana uniform.
Mkuu wewe mjeshi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Acheni shobo za kifamba kwa wanaume wenzenu.
Huna unalojua.Kisa chako ni cha kufikirika hakina ukweli hakiwezi kufanikiwa kwa njia hiyo, labda kama umeongeza chumvi na hiyo chumvi ndo imeharibu hii stori
Inawezekana jamaa walienda kiungwana na wakafata utaratibu na dogo akaachiwa ila wewe umekuja kuiwasilisha kwa njia ya kuwa walienda kibabe.
Ubabe pale haufanyi kazi mzee
Hizo enzi zimepita,Kila sehemu Pana utaratibu, utakuja kuumia one day, unafanya makosa eti na ndugu/ washikaji ni Ma soldiers watakuja kunikomboa , leave in peace 🕊️✌️sawa tunashukuru kwa mchango wako.
Tena sio kwa nguvu tu na vitisho juu.na dogo anaondoka
Nadhani kuna mikoa bado ujafika umekosa exposure.
AiseeMkuu hili nilishuhudia mwenyewe maneno ya bunju B.
Mjeda mmoja alimuadhibu dogo alikuwa mwizi, watu wamesema mpaka wamechoka mzazi anaendelea kumtetea.
Dogo alienda kujichanganya KUIBA kwa huyo mwanajeshi akaruka ukuta akaingia.
sasa kuna camera halafu dogo alienda mchana kumbe jamaa yupo ndani.
Dogo akakamatwa alikuja kupigwa mtaani kabisa watu wanaona na akawa anasema atakayesogea namuunganisha dogo kapigwa mpaka anakata moto akachukua simu akapiga polisi kuna maiti ya mwizi sehemu Fulani akaondoka.
Picha inaanza huyo polisi unaemletea shida mwenyewe hana mamlaka ya kumtoa mtuhumiwa akiwa detainedHuna unalojua.
Tembea katavi, kigoma, tabora na mikoa mingine.
Ishi na bakabaka mdogo wangu urafiki wao ni bora kuliko fungua fanta
Sina haja ya kukulazimisha, utaki tulia
Asante kwa kushiriki
ChaiHao unaowaona afya mgogoro ni hatari sana
Kaa nao mbali
Ok. Ni quartes siyo kambini! Magari binafsi! Hapo sawa. Ila kwenye kumpa mimba mjeda?!Anhaa mkuu hayo si magari ya jeshi magari binafsi yao anaingia kota wanapoishi.
Dogo anaenda kuchukua gari anatengeneza na marekebisho mengine.
Hilo sitalisema maana nita expose zaidi wahusika.Ok. Ni quartes siyo kambini! Magari binafsi! Hapo sawa. Ila kwenye kumpa mimba mjeda?!
Rudi kasome stori huna ulichoelewa mpaka sasa.Picha inaanza huyo polisi unaemletea shida mwenyewe hana mamlaka ya kumtoa mtuhumiwa akiwa detained
Alafu wewe ndo ukamletee fujo eti amuachie kisa umeenda kibabe ili yeye aje ahojiwe na kushtakiwa? Zile silaha wanazobeba nje ya kituo ndo kazi zake hizo kwaajili ya watu wanaotaka watuhumiwa waachiwe kibabe
Ukilifikiria hilo tu utajua ni jinsi gani umeleta chai isiyo na mbele wa nyuma
Kwanini unapenda kukurupuka ndugu?Hizo enzi zimepita,Kila sehemu Pana utaratibu, utakuja kuumia one day, unafanya makosa eti na ndugu/ washikaji ni Ma soldiers watakuja kunikomboa , leave in peace 🕊️✌️
kama hujawah kuona usibishe mkuu au uliza wenyeji uambiwe mpaka matamko yalitolewa kuwaombacwajeda waheshimu mamlaka nyingine ,Kila sehemu kuna taratibu zake,acha kuwadanganya watu humu
Mkuu kuna vitu ukikosa exposure huwezi kubali.kama hujawah kuona usibishe mkuu au uliza wenyeji uambiwe mpaka matamko yalitolewa kuwaombacwajeda waheshimu mamlaka nyingine ,
Nafikiri umepata somo utawapelekea elimu pia mnaodanganyana vijiweni.Rudi kasome stori huna ulichoelewa mpaka sasa.
Soma kutulia mdogo wangu
Ndugu Hance Mtanashati kheri ya mwaka mpya .Kuna mmoja rika langu tumekuwa wote tangu utotoni.
Sasa alipokuwa mjeda akaanza utemi wa kifala akitamka kila mmoja amuogope .
Kuna siku akajaa kwenye anga zangu nilimkanda sana mpaka leo heshima.
Ndiyo nimejifunza kuwa licha ya utandawazi na elimu kuwa bure bado kuna watu ni wajinga hawajui pindi wanapoonewa na polisi wachukue hatua gani wao wanaamini kuwa na urafiki na askari wa jwtz ndo salama yaoNafikiri hata wewe umejifunza.
Asante kwa kushiriki mdogo wangu
Siku njema.