Well done Jakaya Kikwete

Well done Jakaya Kikwete

Hata kama alikopa kazi imeonekana ,wengine walikopa pesa ikaishia kuwanufaisha wao na familia zao, pia aliweza kukomesha yale mambo ya unanijua mimi nani au Rizi kapiga simu.
Propaganda hizo
 
Jakaya Kikwete sasa hivi tunaweza kusema is a seasoned politician.

Amepitia mengi, mazuri na mabaya.

Ingawaje urais wake watu walidiriki kumwita ati dhaifu, ndani ya hii miaka mitano wananchi wameona maana ya uvumilivu wa Kikwete.

Nampongeza sana Kikwete vile vile kwa kumpigia tafu Mama Samia, dhidi ya makundi hasi, mengine yakiwa na sura ya kikabila.

Sisi wana CCM long time tunashukuru kuwa sasa chama kinarudi kwa wenye chama ambao wengine ni waasisi.

Mimi kadi yangu ni ya 1977.

Waliingizwa watu ambao wengine wametoka vyama vya upinzani na kuwaacha makada halisi.

Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
1977 hiyo ni ile ya TANU AU CCM?? na unaweza kunitajia jina la Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar es salaam na safu yake ya Uongozi kipindi hiko??
 
Bahati mbaya hujui lolote
 
Kikwete huyu mtu bhana , daah Mungu ampe maisha marefu Sana Sana ... Nilimchukia Sana by 2015 Ila Kwa sasa nimeona thamani yake kabisa kabisa.. sometimes huwa tunajifunza Kwa Gharama kubwa Sana
Maneno mujarrab kabisa
 
1977 hiyo ni ile ya TANU AU CCM?? na unaweza kunitajia jina la Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar es salaam na safu yake ya Uongozi kipindi hiko??
TYL-TANU Youth League, hiyo ni kabka ya CCM hadi Jan 1977.
Siku nyingi tumeanza kuwasahau kina Songambele.

Lakini mwenyekiti Kamati ya majadiliano ya kuanzisha CCM kutoka vyama vya TANU na ASP alikuwa mzee Thabit Kombo.
 
Haukuwa umelegea alikuwa MTU wa uwazi na ukweli....sio Hiloe jiwe

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
alikuwa na uwazi ndio lakini mkuu kuna mambo ambayo alikuwa achuku hatua lakini akawa hachukui kuhusu ufisadi. Natamani Samia awe na uwazi kam wa JK na kuwa mchukaji hatua k wa wabadhirifu na wazembe
 
CCM mtaendelea kunyukana tu, mlishakiharibu chama chenu baada tu ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi...

Bwana "macho kwenye ubondo" hebu eleza ni lini CCM haijawahi kuwa na makundi ya ndani au wenyewe mnaita mitandao???
 
Jakaya Kikwete sasa hivi tunaweza kusema is a seasoned politician.

Amepitia mengi, mazuri na mabaya.

Ingawaje urais wake watu walidiriki kumwita ati dhaifu, ndani ya hii miaka mitano wananchi wameona maana ya uvumilivu wa Kikwete.

Nampongeza sana Kikwete vile vile kwa kumpigia tafu Mama Samia, dhidi ya makundi hasi, mengine yakiwa na sura ya kikabila.

Sisi wana CCM long time tunashukuru kuwa sasa chama kinarudi kwa wenye chama ambao wengine ni waasisi.

Mimi kadi yangu ni ya 1977.

Waliingizwa watu ambao wengine wametoka vyama vya upinzani na kuwaacha makada halisi.

Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
Tanzania kwanza. Mengine baadae. Tusipofikiria ukubwa wa Tanzania yetu, kwa kuweka mbele ukabila, udini na hata makundi yenye milengo ya kujibinafsisha yenyewe kwanza, tutapoteza tunu za nchi yetu. Nchi yetu lazima tuipenfa na kuitendea haki sisi wenyewe.
 
CCM mtaendelea kunyukana tu, mlishakiharibu chama chenu baada tu ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi...

Bwana "macho kwenye ubondo" hebu eleza ni lini CCM haijawahi kuwa na makundi ya ndani au wenyewe mnaita mitandao???
Contradictions ni engine ya social change katika jamii yoyote.
Mnyukano katika CCM ni suala la kawaida sana, lakini mwisho kunakuwepo consesus juu ya maamuzi ya wengi.
Huo ndo uzuri wa CCM miaka yote.
Sasa miaka mitano iliyopita watu wanaogopa kumpa ukweli Mwenyekiti JPM, fear ruled at theexpense of your life.

Kina Mzee Magula wamepewa sumu, NDANI ya vikao vya chama.
Kwa nini tusimshukuru Mungu kwa mabadiliko?
 
Back
Top Bottom