Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Propaganda hizoHata kama alikopa kazi imeonekana ,wengine walikopa pesa ikaishia kuwanufaisha wao na familia zao, pia aliweza kukomesha yale mambo ya unanijua mimi nani au Rizi kapiga simu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Propaganda hizoHata kama alikopa kazi imeonekana ,wengine walikopa pesa ikaishia kuwanufaisha wao na familia zao, pia aliweza kukomesha yale mambo ya unanijua mimi nani au Rizi kapiga simu.
Kwa kutumia bundukiWanaoshangilia yanayoendelea wala si ccm. Hao ni wa upande mwingine. Miaka 6 nyuma ilikuwa shida kukatiza mtaani na jezi ya ccm. Magu alikitoa chama shimoni.
Utakufa na kijiba cha roho mbinafsi mkubwaNaongea yale ninajua tunabaguliwa kwa barabara Mbeya.
Ulitaka nisifu Chato nisikokujua?
Asante!Utakufa na kijiba cha roho mbinafsi mkubwa
1977 hiyo ni ile ya TANU AU CCM?? na unaweza kunitajia jina la Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar es salaam na safu yake ya Uongozi kipindi hiko??Jakaya Kikwete sasa hivi tunaweza kusema is a seasoned politician.
Amepitia mengi, mazuri na mabaya.
Ingawaje urais wake watu walidiriki kumwita ati dhaifu, ndani ya hii miaka mitano wananchi wameona maana ya uvumilivu wa Kikwete.
Nampongeza sana Kikwete vile vile kwa kumpigia tafu Mama Samia, dhidi ya makundi hasi, mengine yakiwa na sura ya kikabila.
Sisi wana CCM long time tunashukuru kuwa sasa chama kinarudi kwa wenye chama ambao wengine ni waasisi.
Mimi kadi yangu ni ya 1977.
Waliingizwa watu ambao wengine wametoka vyama vya upinzani na kuwaacha makada halisi.
Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
Bahati mbaya hujui loloteJakaya Kikwete sasa hivi tunaweza kusema is a seasoned politician.
Amepitia mengi, mazuri na mabaya.
Ingawaje urais wake watu walidiriki kumwita ati dhaifu, ndani ya hii miaka mitano wananchi wameona maana ya uvumilivu wa Kikwete.
Nampongeza sana Kikwete vile vile kwa kumpigia tafu Mama Samia, dhidi ya makundi hasi, mengine yakiwa na sura ya kikabila.
Sisi wana CCM long time tunashukuru kuwa sasa chama kinarudi kwa wenye chama ambao wengine ni waasisi.
Mimi kadi yangu ni ya 1977.
Waliingizwa watu ambao wengine wametoka vyama vya upinzani na kuwaacha makada halisi.
Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
'Sikulijua hili', Asante.Mgeni huchukuliwa mkuu kuliko mwenyeji, kwa heshima.
Maneno mujarrab kabisaKikwete huyu mtu bhana , daah Mungu ampe maisha marefu Sana Sana ... Nilimchukia Sana by 2015 Ila Kwa sasa nimeona thamani yake kabisa kabisa.. sometimes huwa tunajifunza Kwa Gharama kubwa Sana
TYL-TANU Youth League, hiyo ni kabka ya CCM hadi Jan 1977.1977 hiyo ni ile ya TANU AU CCM?? na unaweza kunitajia jina la Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar es salaam na safu yake ya Uongozi kipindi hiko??
Pole na msiba!Bahati mbaya hujui lolote
Picha hii inaonesha ni kwa nini ufahamu wetu hupungua kadri tunavyo ...... Yaani sitting/business room haina hata shelf la vitabu!!!
Bora nipauke tu Ila yeye kashaendaWw utafaidika na kipi zaidi kuendelea kupauka kama chaki
alikuwa na uwazi ndio lakini mkuu kuna mambo ambayo alikuwa achuku hatua lakini akawa hachukui kuhusu ufisadi. Natamani Samia awe na uwazi kam wa JK na kuwa mchukaji hatua k wa wabadhirifu na wazembeHaukuwa umelegea alikuwa MTU wa uwazi na ukweli....sio Hiloe jiwe
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Njia ni hiyo hiyo kwa woteBora nipauke tu Ila yeye kashaenda
Tanzania kwanza. Mengine baadae. Tusipofikiria ukubwa wa Tanzania yetu, kwa kuweka mbele ukabila, udini na hata makundi yenye milengo ya kujibinafsisha yenyewe kwanza, tutapoteza tunu za nchi yetu. Nchi yetu lazima tuipenfa na kuitendea haki sisi wenyewe.Jakaya Kikwete sasa hivi tunaweza kusema is a seasoned politician.
Amepitia mengi, mazuri na mabaya.
Ingawaje urais wake watu walidiriki kumwita ati dhaifu, ndani ya hii miaka mitano wananchi wameona maana ya uvumilivu wa Kikwete.
Nampongeza sana Kikwete vile vile kwa kumpigia tafu Mama Samia, dhidi ya makundi hasi, mengine yakiwa na sura ya kikabila.
Sisi wana CCM long time tunashukuru kuwa sasa chama kinarudi kwa wenye chama ambao wengine ni waasisi.
Mimi kadi yangu ni ya 1977.
Waliingizwa watu ambao wengine wametoka vyama vya upinzani na kuwaacha makada halisi.
Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
May Mwendazake's soul rest in whatever state God deems him fit and to never ever be another leader like him again. Ameeeen.
Contradictions ni engine ya social change katika jamii yoyote.CCM mtaendelea kunyukana tu, mlishakiharibu chama chenu baada tu ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi...
Bwana "macho kwenye ubondo" hebu eleza ni lini CCM haijawahi kuwa na makundi ya ndani au wenyewe mnaita mitandao???